Moja kati ya wachezaji ambao walifurahisha sana mashabiki kwenye mechi ya Liverpool dhidi ya Manchester United ni Mamadou Sakho.
Lakini Sakho na yeye pia alivutikwa sana na mchezaji mwenzake Lovren hadi baada ya mechi alimpa kiss wakiwa kwenye harakati za kushangili ushindi wao kwenye Europa League.
Sakho na Lovren wametengeneza partnership nzuri kwenye upande wa defense kiasi kwamba sekta ya ulinzi ya Liverpool kuwa salama.
Baada ya mechi dhidi ya Manchester mashabiki wengi wa Liverpool walimpa big up Sakho kwenye social network kwa kucheza vizuri.