$ 0 0 Azam FC imerejea nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) baada ya kuichapa Kagera Sugar mabao 2-1 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Kambarage, Shinyanga Click hapa kuona highlights ya magoli ya mechi hiyo.