VAN PLUIJM: YANGA SIYO NGOMA
Licha ya Yanga kupata ushindi kwenye mchezo wake wa kimataifa wa kombe la shirikisho barani Africa dhidi ya Esparanca ya Angola, kuna baaddi ya watu wamekuwa wakise, kukosekana kwa wachezaji wawili wa...
View ArticleKOCHA WA ESPARANCA AIWASHIA YANGA TAA YA KIJANI MAKUNDI CAF
Kocha mkuu wa Esparanca Zoram Manojlovec (kulia) amesema timu yake inanafasi ndogo ya kufuzu hatua ya makundi kombe la shirikisho ukilinganisha na Yanga Kocha wa GD Sagrada Esperanca Zoram Manojlovec...
View ArticleUBINGWA WA LEICESTER ILIKUWA NI HABARI MBAYA KWA STAR WA MISRI
Habari za Leicester kutwaa ndoo ya EPL zilikuwa mbaya kwa Mido ambaye ni mchezaji wa zamani wa Tottenham. Mido ambaye jina lake halisi ni Ahmed Hossam, alikuwa mchezaji wa Tottenham kuanzia mwaka...
View ArticleMWADUI YAPELEKA JANGWANI KOMBE LA VPL
Kocha wa Mwadui FC ametangaza kuikabidhi rasmi Yanga kombe la VPL baada ya kuichapa Simba kwa bao 1-0 kwenye mchezo wa ligi kuu uliochezwa kwenye uwanja wa taifa jioni ya leo. Simba watajilaumu kwa...
View ArticlePICHA 17: JULIO NA MWADUI YAKE WALIVYOIPA YANGA KOMBE LA VPL
Jumapili ya May 8, 2016, kikosi cha Mwadui FC kiliichapa Simba SC bao 1-0 kwenye uwanja wa taifa na kuchochea zaidi moto wa Yanga kutwaa ubingwa wa VPL msimu huu. Kocha wa Mwadui, Jamhuri Kihwelo...
View ArticleAJIB NDO BASI TENA VPL 2015-16
Mwamuzi Anthony Kayombo aliyechezesha mchezo kati ya Simba dhidi ya Mwadui FC akiuonesha kadi nyekundu Ibrahim Ajib Kadi nyekundu aliyooneshwa mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajib inamfanya kukosa mechi...
View ArticleJULIO: SIMBA INALAANA!!
Kocha mkuu wa Mwadui FC Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameiambia timu ya Simba kwamba inalaana ndiyo sababu ya kushindwa kufanya vizuri kwenye michuano ya ligi kuu Tanzania bara kwa muda mrefu. Julio anadai...
View ArticleUCHAGUZI WA KIFA WAVURUGIKA VURUGU YATOKEA
Uchaguzi wa chama cha mpira wa miguu Kinondoni KIFA ulifanyika jana .uchaguzi huo uligubikwa na dosari mbalimbali ambazo zilipelekea vurugu na uchaguzi huo kuvunjika bila kupata matokeo ya mwisho ya...
View ArticleMGOSI: WACHEZAJI WA SIMBA TUNASTAHILI KUUAWA
Mshambuliji na nahodha wa kikosi cha Simba SC Mussa Hassan Mgosi Mshambuliaji mkongwe na nahodha wa kikosi cha Simba SC Musa Hassan ‘Mgosi’ ameshindwa kujizuia kuonesha kusikitishwa na matokeo mabaya...
View ArticleRASMI: KESSY ATIA DOLEGUMBA YANGA
Beki wa kulia wa Simba SC, Hassan Ramadhani Kessy (katikati) akitia dole gumba kwenye fomu za mkataba wa kujiunga na Yanga Kuna msemo wa Kiswahili unasema ‘ukisusa wenzio wala’, msemo huu umetimia...
View ArticleVIDEO YA AZAM FC WAKICHUKUA NAFASI YAO YA PILI KWA KUITUNGUA KAGERA SUGAR
Azam FC imerejea nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) baada ya kuichapa Kagera Sugar mabao 2-1 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Kambarage, Shinyanga Click hapa...
View ArticleVIDEO: SIMBA WALIVYOPELEKA SUKARI JANGWANI, WALALA KWA MWADUI
Goli pekee lililofungwa na Jamal Mnyate kwenye mchezo wa Simba vs Mwadui lilitosha kupeleka shangwe na nderemo mitaa ya Jangwani kwa kuwa mabingwa kwa mara nyingine tena wa ligi ya Vodacom Tanzania...
View ArticleMTOTO WA MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA ASAJILIWA VILLARREAL
Kinda wa kitanzania Akram Afif mwenye uraia wa Qatar amekuwa mchezaji wa kwanza kutoka Qatar kusajiliwa na klabu ya Hispania. Mtoto huyo wa mchezaji wa zamani wa klabu ya Simba SC Hassan Afif...
View ArticleKutoka Lisbon mpaka Milan: Mabadiliko yaliyotokea kwa Atletico Madrid na Real...
Real Madrid na Atletico madrid kwa mara nyingine tena watakutana katika mchezo wa kuamua yupo ni bora barani ulaya, hata hivyo mengi yamebadilika tangu mara ya mwisho timu hizi zilipokutqna katika...
View ArticleNI 5000 TU, DAKIKA 90 ZA CITY VS YANGA KESHO
Maandalizi ya mchezo namba 218 wa ligi kuu ya soka Tanzania bara kati ya Mbeya City fc na Yanga ya Dar es Salaam uliopagwa kuchezwa kesho kwenye uwanja wa Sokoine jijini hapa yamekamilika na...
View ArticleLa Liga: Barca kubeba ubingwa siku ya mwisho ya ligi kwa mara 10 au Madrid...
Katika makombe 23 waliyoshinda FC Barcelona ya La Liga, tisa kati ya hayo walishinda siku ya mwisho ya ligi. Jumamosi wiki hii, wanaweza kushinda kombe lao la 10 katika siku ya mwisho ya ligi. Karibia...
View ArticleKESSY ANAONDOKA SIMBA ‘WAKIUNGUA’ MOYONI, TABASAMU USONI
Beki wa kulia wa Simba SC, Hassan Ramadhani Kessy (katikati) akitia dole gumba kwenye fomu za mkataba wa kujiunga na Yanga Na Baraka Mbolembole Hassan Kessy Ramadhani atakuwa mchezaji wa Yanga SC...
View ArticleKAMA HAKUNA ‘MKUBWA KULIKO SIMBA’, BASI NA UONGOZI HUU UONDOKE MADARAKANI
Na Baraka Mbolembole Johann Pestalozzi alizaliwa katika mji wa Zurich, Uswisi yapata mwaka 1746. Wazazi wake walikuwa wa asili ya Kiitalia waliohamia Uswisi. Baada ya kufuzu shahada ya sheria katika...
View ArticleSERENGETI BOYS HAOOO INDIA.
Timu ya taifa ya vijana Serengeti boys wanatarajiwa kuondoka kesho kuelekea nchini INDIA ambako wataenda kushiriki mashindano hayo maalumu ya soka ya kimataifa kwa vijana (AIFF Youth Cup 2016 U-16)...
View ArticleYANGA HAIKAMATIKI
Mabingwa wa ligi ya kuu ya Vodacom Tanzania bara Yanga wameendelea kushinda mechi zao za ligi licha ya kutangaza ubingwa kabla ya mechi za ligi kumalizika. Yanga wameichapa Mbeya City kwa bao 2-0...
View Article