Picha; Wakati dili la Mourinho likionekana kufa, Ferguson aonekana kwenye...
Wakati mashabiki wengi wa Manchester United wakiwa na hasira na hofu baada ya leo asubuhi kushuhudia mchezaji ambaye alikuwa akihusishwa na kujiunga na Man United kwa muda mrefu Renato Sanchez...
View ArticleBAADA YA KUCHWAPWA 2-0 NYUMBANI, KOCHA WA MBEYA CITY AELEZA SABABU ZA KIPIGO
Kocha mkuu wa Mbeya City Kinnah Phiri (kulia) akiwa na mtangazaji wa Clouds FC na Clouds TV akifanya nae mahojiano baada ya kumalizika mchezo wa Mbeya City vs Yanga Kocha mkuu wa timu ya Mbeya City...
View ArticleRenato Sanches: Mambo 6 ya kufahamu kuhusu kijana huyu aliyewakataa Man United
Renato Sanches amekamilisha usajili wake wa kwenda Bayern Munich akitokea Benfica kwa ada ya uhamisho €35 million, baada ya kufukuziwa kwa muda mrefu na Manchester United. Hivi hapa ni vitu 6...
View ArticleVAN PLUIJM: YANGA IMEPAMBANA KUTWAA VPL
Kocha mkuu wa Yanga Hans van Pluijm amesema ushindi ilioupata timu yake dhidi ya Mbeya City kwake ndiyo umempa rasmi ubingwa wa ligi msimu huu. Yanga imefikisha jumla ya pointi 71 ambazo haziwezi...
View ArticleEXCLUSIVE: MACHUPA UVUMILIVU UMEMSHINDA, AMEAMUA KUFUNGUKA KUBORONGA KWA SIMBA
Mchezaji wa zamani aliyewahi kutamba na klabu ya Simba na timu ya taifa ya Tanzania Athumani Machupa amevunja ukimya na kuamua kufunguka juu ya mwenendo mbovu wa klabu yake ya zamani. Machupa amekuja...
View ArticleBINGWA TAYARI VPL, KATI YA TIMU HIZI 5 NANI WATAUNGANA NA COASTAL?
Kikosi cha timu ya JKT Ruvu Stars Baada ya Yanga SC kufanikiwa kutetea ubingwa wao wa ligi kuu ya kandanda Tanzania Bara (VPL) ushindani na vita kali zaidi sasa umebaki miongoni mwa timu tano ambazo...
View ArticleHILI NDILO GOLI LA MSIMU LA TAMBWE DHIDI YA MBEYA CITY.
Yanga wameichapa Mbeya City kwa bao 2-0 kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya na kuendelea kujikusanyia pointi za kutosha kunako VPL, Yanga imefikisha jumla ya pointi 71 baada ya kucheza...
View ArticleBAADA YA YANGA KUTANGAZA UBINGWA, JE WAJUA CHIPUKIZI MWASHIUYA ALIPOTOKEA...
Tazama exclusive interview hapa ya Geofrey Mwashiuya.
View ArticleLa Liga: Miaka 23 ya kumbukumbu Mbaya Ya Siku Ya Mwisho Ya ligi Kwa Madrid –...
Real Madrid bado wana nafasi ya kushinda ubingwa wao wa 33 wa ligi siku tatu zijazo lakini wana kumbukumbu mbaya za kugombea ubingwa mpaka siku ya mwisho ya ligi. Mnamo msimu wa 1991/92, Real...
View ArticleHivi ndivyo Liverpool inavyoweza kuifanyia roho mbaya Man Utd isiweze...
Kufuatia matokeo ya jana usiku ya Jumanne katika uwanja wa Upton Park, matumaini ya Manchester United kucheza kwenye michuano ya ulaya msimu ujao kuwa kwenye mashaka makubwa. Kikosi cha Louis van...
View ArticleMASELA WALIOBET NA KUSHINDA ZAIDI YA MILIONI 160 NA KUNYIMWA PESA ZAO NA...
Jumapili ya wiki hii pale maeneo ya mwenge katika kampuni ya SUPERBET masela walichukua mikeka yao kama kawaida na kuweka mzigo.Usiku baada ya michezo mbalimbali kumalizika basi mikeka ikatema asubuhi...
View ArticleListi ya vilabu tajiri duniani, Madrid, Barca zaongoza, Man Utd yaongoza kwa...
Mapato makubwa ya fedha zinazotokana na mauzo ya haki za matangazo ya TV , mauzo jezi na mapato ya udhamini wa jezi, wadhamini na ushiriki wa Champions league umeendelea kuzipa uthamani mkubwa vilabu...
View ArticleEXCLUSIVE INTERVIEW NA ELIUS MAGULI,JE MSIMU UJAO ATAKUA TIMU GANI?
Ligi kuu Tanzania (VPL) inaelekea ukingoni na muda si mrefu dirisha la usajili litafunguliwa,Dauda tv imekutana na mshambuliaji hatari wa STAND UNITED na kufanya nae mazungumzo juu ya mustakabadhi wa...
View ArticleAZAM NA SIMBA ZAPIGANA VIKUMBO KUMUWANIA KOCHA WA HARAMBEE STARS
Na Baraka Mbolembole Azam FC na Simba SC zimeingia katika vita ya kumuwania mkufunzi, Bobby Williamson raia wa Scotland. Inaonekana wazi kuwa Azam itaachana kwa mara ya tatu ndani ya miaka minne na...
View ArticleMAREFA WA BONGO KUCHEZESHA PAMBANO LA ETHIOPIA VS GHANA
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limewateua waamuzi wanne kuchezesha mchezo Na. 27 kati ya Ethiopia dhidi ya Ghana kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana 2017 utakaofanyika...
View ArticleSERENGETI BOYS KUKIPIGA NA MAREKANI J’PILI
Timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys imetua salama jijini Goa, India kwa ajili michuano maalumu ya soka ya kimataifa kwa vijana (AIFF Youth Cup 2016 U-16)...
View ArticleSHAMRASHAMRA ZA UBINGWA,YANGA YAPIGA MKWARA.
Yanga sc inatarajia kuweka sherehe kubwa baada ya kupata ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania lakini uongozi wa klabu hiyo kupitia msemaji wao Jerry Muro yapiga mkwara mzito. bofya hapa kuangalia mkwara...
View ArticleKatika miaka 14 iliyopita hakuna mwanasoka aliyeingiza fedha nyingi zaidi ya...
Wakati Real Madrid wakitajwa kuwa kuwa klabu ya soka yenye thamani zaidi duniani, huku Manchester United wakitajwa kuwa klabu iliyotengeneza faida kubwa zaidi kwa mwaka uliopita, pia imetolewa listi ya...
View Article