Klabu ya Azam FC, leo imezindua rasmi duka lake la vifaa vya michezo ‘Azam Sports Shop’ lililopo Mtaa wa Swahili na Mkunguni, Kariakoo, Dar es Salaam, litakalokuwa likiuza vifaa mbalimbali vya timu hiyo.
Hapa kuna picha 10 zikionesha matukio mbalimbali wakati wa uzinduzi wa Azam Sports Shop.
Picha zote kwa hisani ya www.azamfc.co.tz