UCHAMBUZI WA JOSE MOURINHO KWA NAMBA
Jose Mourinho ni kama tayari vile amemalizana na Manchester United isipokuwa ni suala la wakati kufika na kutangazwa tu kuwa kocha mpya wa ‘Mashetani Wekundu’. Licha ya Van Gaal kuwapa United kombe la...
View ArticleMKUU WA WILAYA AMEUVUNJA UONGOZI WA STAND UNITED, HAYA NDIYO MAAMUZI YA BODI...
Mgogoro wa unaoendelea katika klabu ya Stand United umechukua sura mpya baada ya Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga kuuvunja uongozi wa klabu hiyo na kutanga uongozi wa mpito. Ungozi wa Stand United umepinga...
View ArticleTFF YATANGAZA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA FAINALI YA FA CUP AZAM VS YANGA
Mwamuzi mahiri nchini, Israel Mujuni Nkongo wa Dar es Salaam, Jumatano Mei 25, 2016 ameteuliwa kuwa mwamuzi atakayechezesha mchezo wa fainali za Kombe la Shirikisho maarufu kama Azam Sports Federation...
View ArticleTFF IMETAJA WAAMUZI 40 WATAKAOCHEZESHA LIGI YA MABINGWA MIKOA
Kamati ya Waamuzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limeteua waamuzi 40 watakaochezesha Ligi ya Mabingwa Mikoa (RCL) inayoanza leo Mei 23 katika vituo vinne tofauti hapa nchini. Ligi hiyo...
View ArticleTaarifa rasmi ya Man Utd kumfukuza kazi Louis Van Gaal
Hatimaye klabu ya Manchester United imethibitisha rasmi kumfukuza kazi Kocha Louis Van Gaal, taarifa rasmi ya klabu hiyo imeeleza. Taarifa ya United kupitia CEO Ed Woodward alisema: ‘Ningependa...
View ArticleVan Gaal ameyasema haya – Amemtaja Ferguson na Charlton
Baada ya Manchester United kuthibitisha kwamba ajira ya Louis Van Gaal imefikia ukingoni, kocha huyo wa kidachi nae ametoa taarifa rasmi ya kuthibitisha ajira yake imefikia mwisho. Taarifa ya Van...
View ArticleMourinho: Mambo 10 ya kufanya kuelekea kwenye mafanikio Man Utd – Part 2
Hatimaye Louis van Gaal amesitishiwa mkataba wake na Manchester United na dakili zite zinaonyesha kwamba Jose Mourinho atamrithi Mdachi huyo. Jose anakuja Man United akiwa anategemea kuinasua klabu...
View ArticleUJIO WA JOSE MOURINHO MAN UNITED NA MAMBO SABA YA KUZINGATIA ILI KUFANIKIWA
Hapana shaka yoyote kwamba Jose Mourinho ndiye kocha mtarajiwa wa Manchester United licha kutotangazwa. Hali hiyo inatokana na tetesi nyingi zinazoripotiwa huku zikichagiwa na kutimuliwa kwa aliyekuwa...
View ArticleKUELEKEA DRAW YA MAKUNDI MICHUANO YA AFRIKA, CAF YAIPIGA CHINI CLUB MOJA YA...
Kamati ya mashindano ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ambayo imekutana leo May 24 kusikiliza malalamiko ya klabu ya Stade Malien ya Bamako (Mali) juu ya klabu ya AS Vita Club ya Kinshasa (DR Congo)...
View ArticleHUENDA RONALDO AKAIKOSA FAINALI YA CHAMPIONS LEAGUE
Huenda mashabiki wa Real Madrid wakaamua kufanya maombi na dua kwa ajili ya Cristiano Ronaldo ambaye alishindwa kumaliza mazoezi pamoja na timu yake leo asubuhi kutokana na majeraha. Akiwa leo ndiyo...
View Article#UCL: Ronaldo amezungumza haya juu ya afya yake kuelekea Milan
Baada ya leo mchana kutoka taarifa kwamba Cristiano Ronaldo ameumia na huenda angeikosa fainali ya Champions League dhidi ya Atletico Madrid wikiendi hii, hatimaye Ronaldo ameongea na waandishi wa...
View ArticleCAF IMEIPA YANGA MWARABU MMOJA
Draw ya kupanga makundi mawili ya timu zitakazo chuana kuwania kufuzu hatua ya nusu fainali ya kombe la shirikisho Afrika imekamilika na kila timu imeshajua itachuana na klabu gani katika hatua hiyo...
View ArticlePICHA 10: AZAM YAFUATA NYAYO ZA SIMBA, YAZINDUA RASMI DUKA LA VIFAA VYA MICHEZO
Klabu ya Azam FC, leo imezindua rasmi duka lake la vifaa vya michezo ‘Azam Sports Shop’ lililopo Mtaa wa Swahili na Mkunguni, Kariakoo, Dar es Salaam, litakalokuwa likiuza vifaa mbalimbali vya timu...
View ArticleTPA MWANZA MABINGWA SPORTS EXTRA BONANZA
Mamlaka ya Bandari TPA Mwanza wameibuka wa Sports Extra Day Bonanza baada ya kuifunga Fastjet kwa penati 2-0 baada ya kumaliza dakika za kawaida kwa sare. Huu ni mwaka wa 3 kufanyika bonanza la Sports...
View ArticleMBEYA CITY HAKUNA KULALA, YAANZA KUSAKA NYOTA WAPYA
SIKU chache baada ya pazia la ligi kuu ya soka Tanzania bara kufungwa,Kocha mkuu wa Mbeya City FC Kinnah Phiri ameanza zoezi maalumu la kusaka nyota wapya ambao atawajumuisha moja kwa moja...
View ArticleUtajiri wa EPL: Hivi ndivyo Arsenal walivyoingiza Mkwanja kuwazidi mabingwa...
Ubingwa usiotarajiwa wa Leicester City unaweza kuwa umewafanya wawe maarufu zaidi duniani lakini Arsenal ndio timu iliyopata fedha nyingi zaidi msimu huu kwenye EPL. Takwimu rasmi zilizochapishwa leo...
View ArticleMOURINHO NI MTU SAHIHI WA KUIRUDISHA MANCHESTER UNITED KWENYE UBORA WAKE?
Na Mahmoud Rajab Muda na wakati wowote kutoka sasa Manchester United watamtangaza Jose Mourinho kama kocha mpya wa timu hiyo. Watu wengi wanaamini ujio wa Mourinho kwenye klabu ya Manchester United si...
View ArticleKUELEKEA FAINALI YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE: REKODI KALI ZINAZONYATIWA KUVUNJWA...
Na Eusebius Paul Kuweka rekodi mpya au kuifikia rekodi iliyowahi kuwekwa zamani na kuivunja kabisa ni jambo lenye furaha na fahari kubwa katika nyanja yoyote kimaisha. Lakini endapo kama utafanikiwa...
View ArticleMAMBO MATANO NILIYOJIFUNZA UEFA CHAMPIONS LEAGUE KUELEKEA SAN SIRO
Na Brian Marian Mrope(Gascoigne Brian) Diego Simeone mmoja kati ya viumbe wachache sana dunianiambao wanaweza kuwahi kuuona ufalme wa mbingu kwa hikianachotupa. Anajua sana kucheza na wakati wa...
View Article