MANCHESTER UNITED WATAIFIKIA REKODI YA ARSENAL KUTWAA MARANYINGI FA CUP TANGU...
FA Cup ndiyo kombe la zamani zaidi duniani, kwa mara ya kwanza lilianzishwa msimu wa 1871-72, likihusisha vilabu vyote vya England (Premier League, Football League na hata vilabu ambavyo haviko kwenye...
View ArticleVIDEO: UNAJUA KAMA SUAREZ ALIKUWA ANATEMBEA UMBALI MREFU KWENDA MAZOEZINI KWA...
Luis Suarez amefunguka juu ya ugumu aliokumbana nao katika historia ya maisha yake ya soka. Suarez ambaye ambaye ameibuka mfungaji bora wa La Liga na Ulaya kwa ujumla msimu huu baada ya kupachika...
View ArticleHAWA HAPA WATEULE 11 BORA VPL 2015/16
Na Baraka Mbolembole Ligi kuu ya kandanda Tanzania inataraji kufikia tamati siku ya kesho Jumapili. Kwa msimu mzima wachezaji wamefanya jitihada kuzisaidia timu zao. Hapa nakuletea ‘ Wateule Wangu 11...
View ArticleKESSY: NITAKUJA KUSEMA KITU KWA AJILI YA MASHABIKI WANGU WA SIMBA,...
Na Baraka Mbolembole Mlinzi mpya wa Yanga SC, Hassan Kessy Ramadhani ‘Dan Alves’ amefurahia usajili wake kwa mabingwa hao mara mbili mfululizo wa ligi kuu Tanzania Bara (VPL,) na amesema atarudi Dar...
View ArticleMANCHESTER UNITED WAMETANGAZA UAMUZI MAPYA IKIWA LEO WATASHINDA UBINGWA WA FA...
Leo Manchester United wanavaana na Crystal Palace katika mchezo wa fainali ya kombe la FA utakaopigwa kwenye uwanja wa Wembley. United hawakuwa na msimu mzuri baada kuishia hatua ya makundi UEFA na...
View ArticleJose Mourinho kutangazwa kuwa kocha wa Man United leo? Taarifa hii hapa
Manchester United wanategemea kumtangaza Jose Mourinho kuwa kocha wao mkuu leo, tangazo rasmi la usajili wa kocha huyo linategemewa kutolewa leo baada ya mchezo wa fainali ya FA Cup baina ya Manchester...
View ArticleMANCHESTER UNITED YATWAA FA CUP NA KUIFIKIA REKODI YA ARSENAL
Manchester United wametoka nyuma na kuichapa Crystal Palace na kutwaa kombe la FA Cup kwenye uwanja wa Wembley kupitia goli la ushindi la Jesse Lingard katika muda wa nyongeza baada ya sare ya goli...
View ArticleMBEYA CITY: TUNAKAMILISHA MSIMU KWA ‘KUIUA’ NDANDA FC
KIKOSI cha Mbeya City Fc kesho jumapili kinashuka kwenye uwanja wa Sokoine jijini hapa kucheza mchezo wa kufungia msimu wa 2015/16 katika ligi kuu ya soka Tanzania bara dhidi ya wageni Ndanda Fc...
View ArticleJose Mourinho to Man United – Done Deal
Hatimaye tetesi zinageuka kuwa kweli, Manchester United watamtangaza Jose Mourinho kuwa kocha wao, shirika la utangazaji la Uingereza BBC limeripoti. Mourinho amekuwa nje ya kazi tangu alipofukuzwa...
View ArticleFAINALI YA UEFA NA DENI LA TORRES KWA SIMEONE
Na Mahmoud Rajab Ni stori yenye fundisho kubwa sana. Katika maisha ya binadamu kuna mambo mengi sana ya kujifunza. Kuna kipindi cha mafanikio na wakati wa mpito ambapo mambo huwa hayaendi kama...
View ArticleSABABU 5 ZINAZODHIHIRISHA MARTIAL NI MCHEZAJI MKUBWA DUNIANI
Ni ukweli usiofichika kwamba Anthony Martial ni moja ya wachezaji waliopata mafanikio makubwa sana katika msimu huu wa EPL. Kinda huyo wa raia wa Ufaransa alijiunga na Manchester United kwa ada ya...
View ArticleVan Gaal akiri Imefika Mwisho – Neville Asema Mourinho Ataleta Makombe Lakini...
Kocha wa Manchester United Louis van Gaal aliondoka katika hoteli waliyofikia na tiku yake huku akizungumza maneno kwamba ‘it’s over’ baada ya jana kuripotiwa rasmikwamba Jos Mourinho angechukua nafasi...
View ArticleKUNANI PALE TANGA?
Klabu ya African Sports imeungana na vilabu vingine vya Tanga (Coastal Union na Mgambo JKT) kuipa mkono wa kwaheri ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara baada ya kuchapwa bao 2-0 na Mtibwa Sugar kwenye...
View ArticleMGOSI, BARTHEZ, NGOMA DROO KUTIKISA NYAVU VPL
Musa Hassan Mgosi amefunga goli lake la kwanza kwenye msimu wa ligi ya Vodacom Tanzania bara ambao umehitishwa leo kwa timu zote kushuka viwanjani kukamilisha ligi. Mgosi ambaye alisajiliwa na klabu...
View ArticlePICHA 3: MASHABIKI WA SIMBA WAMFUTA JASHO TSHABALALA
Mlinzi wa kushoto wa Simba Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ leo amekabidhiwa zawadi na mashabiki wa timu hiyo ambao wamevutiwa na kiwango chake na kuamua kumpa zawadi hiyo kama mchezaji bora wa Simba wa...
View ArticlePICHA 15: HIVI NDIVYO AFRICAN SPORTS ILIVYOIAGA VPL MBELE YA MTIBWA
Kikosi cha African Sports cha jijini Tanga leo kimecheza mchezo wake wa mwisho wa ligi kuu ya Vodacom baada ya kupanda msimu huu kikitokea ligi daraja la kwanza ambako kinarejea tena baada ya...
View ArticleMO AIBUKA NA UJUMBE MZITO BAADA YA SIMBA KUCHAPWA NA RUVU JKT
Uvumilivu umemshinda Mohhamed Dewji baada ya mwendelezo wa matokeo mabovu ya klabu ya Simba ambayo imemaliza ligi kwa kichapo cha bao 2-1 kutoka kwa Ruvu JKT na kushindwa kumaliza ligi nyuma ya...
View ArticleMR. FREE-KICK ALIYEZIUA YANGA, AZAM, ATOA KAULI YAKE YA MWISHO COASTAL UNION
Mlinzi wa Simba SC Miraji Adam aliyekuwa anacheza kwa mkopo kwenye klabu ya Coastal Union ameandika ujumbe kupitia account yake ya facebook kuwaaga mashabiki wa Coastal Union mara baada ya mchezo wa...
View ArticleJose Mourinho: Mambo 10 ya kufanya kuelekea kwenye mafanikio Man Utd – Part 1
Kuteuliwa kwa Jose Mourinho kuwa kocha mkuu wa Manchester United kumrithi Louis Van Gaal sasa limebaki kuwa suala la utaratibu tu. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 53 atakuwa na majukumu mengi...
View ArticleBaada ya kumfukuza kabla ya mkataba kumalizika – hiki ndio kiasi cha fedha...
Hatimaye tetesi zimegeuka kuwa kweli – utawala wa Louis Van Gaal katika klabu ya Manchester United umefikia mwishoni lakini utaigharimu mamilioni ya fedha klabu hiyo. Kocha huyo wa kidachi alisaini...
View Article