Ikiwa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kwenye klabu ya Yanga wakifanya kampeni zao, Aaron Nyanda ambaye alikuwa anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo ameamua kujutoa kwenye mchakato wa uchaguzi.
Nyanda amejitoa kwenye uchaguzi huo huku akitoa sababu kadhaa kwanini ameamua kufanya hivyo, angalia video hapa chini ujue sababu zilizomfanya Nyanda ajiweke kando.