Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

HILI NDIYO TAIFA LILILOZOA MEDALI 32 HADI SASA OLYMPIC 2016

$
0
0

Rio 2016

Mashindano ya Olimpiki ya Rio 2016 yanazidi kutimua vumbi mjini Rio de Janeiro nchini Brazil.

Mataifa mbalimbali yameendelea kushinda medali mbalimbali za Dhahabu, Fedha na Shaba.

Marekani wanaongoza mpaka sasa wakiwa wameshinda medali 11 za Dhahabu, 11 za Fedha na 10 za Shaba na jumla yake wamezoa  medali 32, wakifuatiwa na China ambao wameshajikusanyia medali 10 za dhahabu, 5 za fedha na 8 za shaba ambazo jumla yake ni medali 23.

Angali 10 bora  ya kutwaa medali katika olimpiki ya Rio.

 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>