GOLIKIPA MTANZANIA ANAYECHEZA LIGI KUU MSUMBIJI AVUNJIKA MKONO
Na Baraka Mbolembole MLINDA mlango wa zamani wa JKT Oljoro, Bady Abdul ambaye kwa sasa anacheza soka la kulipwa katika timu ya Chingari de Tete ya ligi kuu Msumbiji amevunjika mkono wake wa kulia na...
View ArticleHODI JANGWANI
Na Isack Makundi, Babati-Manyara Napenda kumshukuru Mungu kwa wema wake mkubwa kwa amani ambayo ameendelea kutupa Tanzania wengine wanaitamani lakini hawaipati. Napenda kutoa pongezi zangu za dhati...
View ArticleUJIO WA POGBA NA KUREJEA KWA HESHIMA YA MANCHESTER UNITED ULAYA
Na Mahmoud Rajab Katika hali yoyote ile mtu kupata mafanikio kila wakati hujisikia vibaya pale anapopita kwenye changamoto kubwa ya kutopata ile raha aliyozoea kwa muda mrefu. Katika mchezo wa soka,...
View ArticleMAKONDA AFAFANUA POST YAKE KUHUSU YANGA ILIYOZUA UTATA INSTAGRAM
Siku za hivi karibuni, habari ya town katika michezo ni uamuzi wa wanachama wa Yanga kuamua kuikodisha timu yao pamoja na nembo kwa Yusuf Manji ambaye pia ni Mwenyekiti wa klabu hiyo kongwe zaidi...
View ArticleHISTORIA YA JEZI NAMBA ‘6’ MANCHESTER UNITED KATIKA EPL
Mnamo msimu wa mwaka 1992-1993 ligi kuu ya nchini England ilianza kutambulika kama ‘ENGLISH PREMIER LEAGUE (EPL) ‘ Ni ligi inayohusisha Club 20, Manchester ikiwa ni moja ya timu ya mpira inayoshiriki...
View ArticleHUMUD AFUATA NYAYO ZA NGASSA, UHURU, ASAINI AFRIKA KUSINI
Na Baraka Mbolembole KIUNGO wa zamani wa Ashanti United, Mtibwa Sugar, Simba SC na Azam FC amesaini mkataba wa mwaka mmoja katika timu ya Real Kings FC. Humud ambaye alikuwa nahodha wa Coastal Union...
View ArticleMCHANGO WA YEO POGBA NYUMA YA MAFANIKIO YA PAUL POGBA
Paul Pogba ni jina ambalo limegonga vichwa vya habari kwa muda mrefu sana, lakini jana likashika zaidi baada ya kusajiliwa rasmi na klabu ya Manchester United. Safari ya soka ya Paul Pogba imeanzia...
View ArticleFIESTA IMOOOOO YAFANYA USAJIRI RASMI WA WASANII WATAKAO TUMBUIZA.
Kampuni ya clouds media leo imesajiri rasmi wasanii mbalimbali wa bongo flava na hip hop kwa ajiri ya kutumbuiza katika takribani mikoa 15 ya Tanzania bara tamasha hilo litakapopita.nimekusogezea hapa...
View ArticleLIST MPYA YA WANASOKA 10 WANAOLIPWA MKWANJA MREFU DUNIANI
Kwa mujibu wa mtatndao wa sokkaa.com, wachezaji wawili bora duniani Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wamewaacha wengine mbali katika kuvuta mkwanja mrefu kwa upande wa wacheza soka. Ronaldo, ambaye...
View ArticleHENRY, NEVILLE, CARAGHER WATABIRI BINGWA WA EPL, TOP FOUR
Kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa ligi, wachambuzi wa soka katika kituo cha runinga cha Sky Sports wametoa utabiri wao timu itakayotwaa ubingwa na zile zitakazomaliza katika nafasi nne za juu. Katika...
View ArticleHILI NDIYO TAIFA LILILOZOA MEDALI 32 HADI SASA OLYMPIC 2016
Mashindano ya Olimpiki ya Rio 2016 yanazidi kutimua vumbi mjini Rio de Janeiro nchini Brazil. Mataifa mbalimbali yameendelea kushinda medali mbalimbali za Dhahabu, Fedha na Shaba. Marekani wanaongoza...
View ArticleExclusive: HIMID MAO AMEZUNGUMZIA OFFER TATU ALIZOWAHI KUPATA NJE YA TANZANIA
Na Baraka Mbolembole KUELEKEA game ya Ngao ya Jamii siku ya Jumatano ijayo na msimu mpya wa ligi kuu Tanzania inayotaraji kuanza mwishoni mwa wiki ijayo www.shaffihdauda.co.tz imefanya mahojiano na...
View ArticleARSENE WENGER: NAOGOPA KUSTAAFU
Arsene Wenger amesema kwamba mustakabli wake ndani ya Arsenal unategemea na matokeo ya timu hiyo baada ya msimu huu wa ligi kukamlizika, lakini akasisitiza kwamba ataendelea kubaki kwenye soka bila...
View ArticleMGOSI ASTAAFU SOKA
MSHAMBULIAJI mkongwe na nahodha wa Simba SC, Mussa Hassan Mgosi amestaafu rasmi soka na sasa anakuwa Meneja wa timu hiyo. Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba SC, Hajji Manara amethibitisha...
View ArticleKAPOMBE AIOTA YANGA NGAO YA JAMII
Mtanandao rasmi wa klabu ya Azam FC umeripoti kwamba, beki wa kulia waklabu hiyo, Shomari Kapombe, ameweka wazi kuwa afya yake inaendelea vizuri baada ya kufanikiwa kurejea dimbani huku akidai kuwa...
View ArticleTUNAHITAJI USHINDI WA KWANZA NYUMBANI-MWAMBUSI
Kocha msaidizi wa Yanga Juma Mwambusi amesema kikosi chao kinahitaji ushindi kwenye mchezo wao wa kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya MO Bejaia unatarajiwa kuchezwa Jumamosi August 13 kwenye uwanja wa...
View ArticleYANGA V BEJAIA NI NAFASI YA MWISHO KWA MABINGWA WA BARA
Na Baraka Mbolembole MABINGWA na wawakilishi pekee wa Tanzania Bara katika Caf Confederation Cup 2016, timu ya Yanga SC kesho Jumamosi wataikabili MO Bejaia ya Algeria katika mchezo wa kundi la...
View ArticleHII NDIYO KAULI YA JUMA NDANDA LIUZIO KUELEKEA AL AHLY V ZESCO
Na Baraka Mbolembole MSHAMBULIZI wa Tanzania, Juma Ndanda Liuzio amekata tamaa ya kucheza michuano inayoendelea ya Caf Champions League 2016. Jina la Liuzio lilichelewa kutumwa kwa Shirikisho la soka...
View ArticleUJUMBE WA SCHWEINSTEIGER KWENDA KWA MASHABIKI WA UNITED
Bastian Schweinsteiger amesisitiza kwamba bado ana furaha kuishi jijini Manchester licha ya kutojumuishwa kwenye kikosi cha timu hiyo na kocha Jose Mourinho. Mjerumani huyo ameondolewa na kuwekwa...
View ArticleSababu kwanini Paul Pogba amefungiwa kucheza vs Bournemouth
Kiungo mpya wa Manchester United Paul Pogba amesimamishwa kuitumikia timu yake kwa mchezo wa kwanza wa Premier League, chama cha soka cha England kimethibitisha. Pogba, 23, alirejea Old Trafford...
View Article