Historia ya wachezaji ghali zaidi England haitoi matumaini mazuri kwa Pogba
Uhamisho wa Paul Pogba Juventus kwenda Manchester United umevunja rekodi zote za ada za uhamisho wa wachezaji kwenye soka. Lakini kilichotokea huko nyuma wakati vilabu vya Uingereza vinapovunja...
View ArticleHABARI NJEMA: MESSI MEAMUA KUREJEA TIMU YA TAIFA ARGENTINA
Lionel Messi amethibitisha nia yake ya kurejea timu ya taifa kwa mujibu wa kauli ya aliyoitoa leo. Nyota huyo wa Barcelona alifanya uamizi wa kustaafu soka la kimataifa baada ya kupoteza mchezo wao wa...
View ArticleBAADHI YA VILABU VYAANZA KUMFUKUZIA MATA
Inaripotiwa kwamba, klabu ya Fenerbahce imeonesha nia ya kutaka kumsaini kiungo wa Manchester United Juan Mata. Mhispania huyo amejikuta kwenye sitofahamu ndani ya Old Trafford kufuatia kutua kwa Jose...
View ArticleEPL: Arsenal vs Liverpool, nani kuuanza vyema msimu jumapili hii
Ligi kuu ya England imerejea tena baada ya kuisubiri kwa takribani miezi 3, na katika wikiendi ya kwanza tu, tunabahatika kushuhudia mchezo wa timu kubwa: Arsenal vs Liverpool. Kuelekea pambano hilo...
View ArticleDIDA ATAJA SABABU ZINAZOIDHOOFISHA YANGA KIMATAIFA
Mchezo wa nane bora kati ya Yanga dhidi ya MO Bejaia unatarajia kupigwa jioni ya bleo kwenye uwanja wa taifa, wakati Yanga inaingia uwanjani kutupa karata yake ya tano ikiwa na pointi moja, ikumbukwe...
View ArticleDELE ALLI ABADILI JINA KWENYE JEZI
Kiungo mshambuliaji wa Tottenham Hotspurs Dele Alli, amebadilisha jina litakalotumika kwenye jezi yake mgongoni msimu huu kwasababu haoni uhusiano wa moja kwa moja na jina la Alli na sasa atakuwa...
View ArticleSAKATA LA KESSY KUITUMIKIA YANGA TFF YATOA UFAFANUZI
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limeweka bayana majina ya wachezaji ambao waliombewa vibali vya kushiriki katika hatua ya makundi huku likiwepo jina la mlinzi wa zamani wa Simba Hassan Kessy...
View ArticleUFUNGUZI WA LIGI YA UINGEREZA KWA UNDANI WAKE
Kuanzia leo tarehe 13 Aug mpaka 28 Aug, Pep Guardiola na Man City yake watakuwa na michezo 5, pamoja na ile ya Ulaya. Karibu katika Epl Pep, huu ndio mfano wa yanayotokea mwezi Desemba, mtunze sana...
View ArticleLeicester City waanza na rekodi hii mbaya Premier League – matokeo ya EPL
Mabingwa watetezi wa Ligi ya England Leicester City wameanza msimu wa 2016/17 vibaya kwa kipigo cha ugenini vs Hull City. Leicester wamefungwa 2-1, mabao ya Hull yakifungwa na Adama Diomande (46+2′)...
View ArticleGUARDIOLA AANZA EPL KWA USHINDI
MANCHESTER CITY chini ya kocha wake mpya, Pep Guardiola imeanza Ligi Kuu ya Soka ya England kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Sunderland Uwanjani kwake Etihad. Mapema dakika ya 4, Sergio Aguero alifungua...
View ArticleVideo: YANGA ILIVYOFUFUA MATUMAINI MAPYA KWA KUICHAPA MO BEJAIA
Yanga imefufua matumaini yake ya kusonga mbele kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya MO Bejaia ya Algeria mechi iliyochezwa Jumamosi August 13...
View ArticleTAARIFA RASMI KUHUSU HATIMA YA MGOSI MSIMBAZI
Mchezaji mkongwe wa Simba SC Musa Hassan Mgosi kesho (Jumapili August 14) ataagwa rasmi kama mchezaji wa klabu hiyo atakapokuwa akistaafu rasmi kucheza soka la ushindani. Mgosi ataagwa kwenye mchezo...
View ArticleGENK YABANWA MBAVU LIGI YA UBELGIJI
Klabu ya KRC Genk anayoitumikia Mtanzania Mbwana Samatta, Jumamosi August 13 imeshindwa kutamba mbele ya Waasland Beveren baada ya kubanwa na kulazimishwa sare ya kufungana magoli 2-2 kwenye mchezo wa...
View ArticleVideo: ASHLEY COLE ALIVYOMDHIHAKI WENGER JUU YA MBIO ZA UBINGWA WA EPL
Jana Jumamosi, mchezaji wa zamani wa Chelsea na Arsenal Ashley Cole ali-post clip ya video kutoka BBC iliozihisisha timu ambazo zinatajwa kuwa kwenye kinyang’anyiro cha ubingwa EPL. Katika video hiyo,...
View ArticleMESSI KURUDI ARGENTINA NI SOMO KWA VIONGOZI NA MASHABIKI
Na Mahmoud Rajab Lionel Messi amerudi, ndiyo amerudi, hajafika mbali alipotaka kwenda akaamua kurudi. Messi ameamua kurudi tena kulichezea taifa lake pendwa la Argentina baada ya kutangaza kustaafu...
View ArticleARSENAL MSIMU UNAANZA, KUNA KIPI CHA KUTARAJIA?
Na Richard Leonce Mimi si mpenzi sana wa usajili wa zimamoto wala usajili wa wachezaji ambao huwa wanakuta tayari ligi imeanza kwa maana ya kwamba wanakua wamekosa maandalizi ya msimu na wenzao. Ndiyo...
View ArticleHONGERENI MYSO, HAKIKA MTATUFIKISHA TUNAPOTAKA
Ijumaa August 12, shaffih.co.tz ilipata mwaliko maeneo ya Mbezi Beach wa kutembelea mazoezi ya watoto kwenye kituo cha Magnet Youth Sports Organization ambapo ilipata fursa ya kuzungumza mambo kadha...
View ArticleVideo: LEICESTER YAMPONZA MTANGAZAJI, AINGIA STUDIO KAVAA BOXER
Gary Lineker ametimiza ahadi yake ya kutangaza Show ya kwanza ya ‘Match of the Day’ ya BBC msimu huu akiwa amevaa chupi ya kiaina tu ‘Bukta’ tu ilikuwa. Lineker alianza show kwa kuvaa Bukta tofauti na...
View ArticleASANTE MUSA HASSAN MGOSI KWA KILA ULICHOFANYA KATIKA SOKA
Na Baraka Mbolembole ‘Si desturi iliyo njema kwa mtu kutamani kuishi hata kupindukia umri wake kwa sababu kila neno katika ulimwengu huu huwa jema kwa muda wake maalum na iwapo muda huo umekwisha...
View ArticleSIMBA YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA WATOZA KODI WA UGANDA
Wekundu wa Msimbazi Simba leo wamelazimishwa sare goli 1-1 kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya URA ya Uganda uliochezwa kwenye uwanja wa taifa. URA walianza kupata bao lililofungwa na...
View Article