MTAZAMO WA JERRY MURO KUHUSU MANJI KUPEWA YANGA
Ndugu zangu kabla ya kuanza kutoa comment napenda sana tujue historia ya uendeshaji wa club na mpaka hapa club ilipofika kisha ndio tuje kwenye hoja ya msingi. Kwa kifupi club imekuwa haitengenezi...
View ArticleSUAREZ ASHEREKEA USHINDI WA LIVERPOOL DHIDI YA BARCELONA
Luis Suarez ameonekana kufurahishwa na ushindi wa Liverpool wa magoli 4-0 dhidi ya Barcelona kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye uwanja wa Wembley siku ya Jumamosi. Mshambulizi huyo wa timu ya...
View ArticleMATCH PREVIEW- LEICESTER CITY USO KWA USO NA MAN UNITED NGAO YA JAMII LEO
Na Mahmoud Rajab Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England Leicester City leo wana kibarua kizito pale watakapokuwa wakichuana na Mabingwa Watetezi wa Kombe la FA Manchester United kwenye mchezo wa...
View ArticleNgao ya Hisani: Mourinho mwenye rekodi mbovu vs Ranieri mgeni wa Wembley
Baada ya kusubiri kwa takribani miezi 3, hatimaye ligi kuu ya Uingereza msimu wa 2016/17 unafunguliwa leo kwa mchezo kombe la Ngao Ya Hisani kati ya washindi wa EPL Leicester vs mabingwa wa FA...
View ArticleZidane vs Perez juu ya nani wa kuuzwa kati ya Isco au James Rodriguez
Florentino Perez na Zinedine Zidane bado hawana muafaka juu ya nani aondoke kwenye kikosi ili kutoa nafasi ya Marco Asensio, kipenzi kipya cha Rais wa Real Madrid. Baada ya vita kubwa, Isco ndio...
View ArticleVideo: MAN UNITED BINGWA NGAO YA JAMII
Jose Mourinho ameanza kibarua chake Manchester United kwa kutwaa taji la Ngao ya Jamii baada ya Zlatan Ibrahimovic kupachika bao la ushindi dakika za lala salama kuishinda Leicester City kwenye mchezo...
View ArticleSAMATTA NA GENK YAKE WACHEZEA KIBANO
Mchezo wa ligi ya Ubelgiji (Belgium Pro League) kati ya Gent dhidi ya Genk umemalizika kwa Genk kuchapwa bao 1-0 na kupoteza pointi tatu muhimu. Genk ambayo inachezewa na mtanzania Mbwana Samatta...
View ArticleMAN UNITED HII, KUNA ZLATAN HALAFU KUNA MOURINHO
Jose Mourinho ni moja ya makocha ambao wamejaa ari ya ushindi, ni kocha anayejua afanyeje ili apate ushindi, ni kocha ambaye anajua apite wapi ili achukue taji au ubingwa wowote kwa njia yoyote....
View ArticleMAJIBU YA FERDINAND BAADA YA KUULIZWA ANGEPATA TABU ZAIDI KUMKABA NANI KATI...
Kabla ya mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Man United na Leicester City, Rio Ferdinand aliulizwa ni nani ambaye anadhani ingekuwa vigumu kwake kumkaba kati ya Zlatan Ibrahimovic au Jamie Vardy....
View ArticleHUU NI UJUMBE WA HAJI MANARA, SIMBA IKIADHIMISHA MIAKA 80
Happy birthday my lovely club..80 yrs anniversary Na Haji S Manara Watanzania wenzangu hususan wana Simba, tarehe kama ya leo 8-8-1936, wazee wetu ambao wengi wao tayari wapo mbele ya haki walianzisha...
View ArticleJABIR AZIZ ‘STIMA’ AUNGANA NA KISIGA, DILUNGA, RUVU SHOOTING
Na Baraka Mbolembole Shaaban Kisiga, Hassan Dilunga na sasa Ruvu Shooting imefanikiwa kumsainisha mkataba wa mwaka mmoja kiungo ‘fundi’ Jabir Aziz ‘Stima.’ Nahodha huyo wa zamani wa Azam FC ambaye...
View ArticleMAVUGO AANZA KWA BAO SIMBA
Mshambuliaji wa Simba Laudit Mavugo ambayeametua Msimbazi hivi karibuni, leo amefunga goli lake kwanza kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya AFC Leopard ya Kenya mechi ambayo imemalizika kwa...
View ArticleDone Deal: RASMI POGBA ASAINI MANCHESTER UNITED
Manchester United wamekamilisha rasmi usajili wa miaka mitano wa Paul Pogba kutoka Juventus ya Italia kwa ada ya paundi milioni 100. Pogba (23), ambaye alikuwa akihusishwa na United kwa muda mrefu,...
View ArticleNENO LA MAVUGO KWA MASHABIKI WA SIMBA
Mshambuliaji mpya wa klabu ya Simba Leudit Mavugo amesema, anaamini klabu yake mpya itafanya vizuri katika msimu wa ligi kuu ya Tanzania bara ambao unatarajia kuanza hivi karibuni. Mavugo ametoa kauli...
View ArticleVideo: POGBA AMETAJA SABABU ZA KUREJEA OLD TRAFFORD
Paul Pogba amesema “ni muda muafaka kurudi Old Trafford” baada ya kukamilisha usajili uliovunja rekodi ya dunia wa paundi milioni 89 kutoka Juventus kwenda Manchester United. Kiungo huyo mwenye miaka...
View ArticleJicho La 3: YANGA SC ‘ITATUSUA’ ILA MANJI ANAIKODI KWA KANUNI/TARATIBU GANI?
Na Baraka Mbolembole Katika dunia ya sasa kufanikiwa katika jambo lolote ni lazima kuwe na maandalizi ya kweli katika jambo husika. Lakini katika karne hii ya 21 jambo moja zaidi linalo changia...
View ArticleSIMBA YAWASHUKURU MASHABIKI
Uongozi wa klabu ya Simba na benchi la ufundi, kwa pamoja unawashukuru sana wanachama, washabiki wake na watu wote waliohudhuria kwenye sherehe za miaka 80 ya klabu yetu ambazo zilijumuisha kilele cha...
View ArticleHUU NI UTABIRI WA MOURINHO BAADA YA POGBA KUTUA OLD TRAFFORD
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho anaamini kwamba timu yake itarejesha kiasi cha fedha baada ya kuvunja rekodi ya usajili wa dunia kwa kumsajili Paul Pogba, huku akisisitiza kwamba nyota huyo...
View ArticleKilichotokea mpaka usajili wa Pogba kwenda Barca ukafia njiani
Ilikuwa July 1, 2015 — mwaka mmoja tu uliopita. Maofisa wa Barcelona, Ariedo Braida na Albert Soler, walipigwa picha na maofisa wa Juventus kutangaza makubaliano ya kimsingi ya usajili wa Paul...
View ArticleMAUMIVU YA ‘ANKLE’ YAMUWEKA NJE BEKI WA VPL
Na Baraka Mbolembole MLINZI wa kulia wa Toto Africans ya Mwanza, Salum Chuku ameshindwa kufanya mazoezi takribani wiki moja sasa kufuatia kupata majeraha katika mguu wake wa kushoto. Mlinzi huyo wa...
View Article