AVEVA MIKONONI MWA POLISI
Taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii zinadai kwamba, Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva anashilikiwa na jeshi la poili kwenye kituo cha Urafiki. Aveva anashikiliwa na polisi kwa kibali cha...
View ArticleTaribo West: Hivi ndivyo Nigeria tulivyoweka historia Olimpiki 96
Mnamo 3 August 1996, Nigeria ilitengeneza historia ya kuwa nchi ya kwanza ya kiafrika kuwa mabingwa wa Olympic iliyofanyika Atlanta nchini Marekani. Kwa Taribo West, mchezaji wa zamani wa vilabu vya...
View ArticleBALOZI WA CHINA, MAKONDA, WASHUSHA NEEMA NDONDO CUP
Usiku wa August 4 ubalozi wa China nchini Tanzania chini ya balozi Dkt. Lu Youqing ulizialika timu tatu zilizofanya vizuri kwenye mashindano ya Sports Extra Ndondo Cup msimu huu wa 2016. Timu...
View ArticleHATA SIR FERGUSON ALITUMIA ‘MKWANJA MREFU,’ ACHA POGBA AVUNJE REKODI…
Na Baraka Mbolembole MICHEZO 1500 ilitosha kwa Sir Alex Ferguson kutengeneza jina kubwa katika ‘miongo’ yake miwili na nusu pale Old Trafford. Wakati, Fergie alipoamu kustaafu ghafla mara baada ya...
View ArticlePICHA 20: NDONDO CUP ILIVYOTOKA USWAZI NA KUTINGA UBALOZI WA CHINA
Alhamisi August 4, mashindano ya soka la mchangani ‘Ndondo’ yalipiga hatua nyingine baada ya kutoka uswazi na kutinga katika ubalozi wa China nchini Tanzania kwa mwaliko maalum wa chakula cha jioni....
View ArticleChangamoto 5 zinazomkabili Zidane kuelekea Super Cup vs Sevilla
Real Madrid watacheza dhidi ya Sevilla katika mchezo wa 3 mfululizo wa UEFA Super Cup ambao utahusisha timu timu za Hispania pekee, mnamo tarehe 9 August pale Trondheim Norway. Mnamo 18 May,...
View ArticleUNAMJUA RAIS WA MASHABIKI WA MTIBWA SUGAR DUNIANI?
Shabiki mkubwa wa Mtibwa Sugar Suleiman Nassoro ‘Super Cicinho’ amesafiri kutoka visiwani Zanzibar hadi Dar ili kuishuhudia timu yake wakati ikicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Yanga siku ya Jumamosi...
View ArticleUTHIBITISHO WAPATIKANA KAMA MWINYI ANATUMIA AU HATUMII MADAWA YA KULEVYA
Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar Baada ya kuzagaa picha mbalimbali na taarifa kuwa mlinzi wa kushoto wa Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania Mwinyi Haji Ngwali ‘Bagawai’ anatumia madawa ya kulevya,...
View ArticleRATIBA YA PLAY-OFF UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Ratiba ya ligi play-off ya ligi ya mabingwa Ulaya imeshatoka lakini vilabu vya Manchester City ya England na Celtic ya Scotland vikionekana kupangwa na vibonde. Kikosi cha Manchester City chini ya Pep...
View ArticleAZAM YAVUTA KIFAA KINGINE TOKA MEDEAMA
Daniel Amoah kutoka Medeama-Ghana Mtandao wa azamfc.co.tz umeripoti kwamba, Azam FC imeingia mkataba na mabeki wawili, Mghana Daniel Amoah na Mzimbabwe, kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu ujao....
View ArticlePICHA: SIMBA YAMALIZANA NA NYOTA WATANO WA KIMATAIFA
Klabu ya Simba imeshawasainisha mikataba wachezaji wake wa kimataifa tayari kwa ajili ya wa ligi kuu ya soka Tanzania bara msimu unaotarajia kuanza hivi karibuni. Siku chache kbla ya kufikia sku ya...
View ArticleARSENAL YAPATA PIGO KUELEKEA EPL DHIDI YA LIVERPOOL
Mesut Ozil, Laurent Koscielny na Olivier Giroud wote watakosa mchezo wa ufunguzu wa Lifi Kuu ya England dhidi ya Liverpool, kocha Arsene Wenger amethibitisha. Watatu hao hawakushiriki mazoezi na...
View ArticleMOURINHO: RONALDO HAKUWA NA MSAADA FAINALI YA EURO
Jose Mourinho amesema kwamba Cristiano Ronaldo hakuwa na msaada wowote kwenye mchezo wa fainali wa Euro ambapo Ureno waliibuka na ushindi wa bao 1-0. Ronaldo alilazimika kutoka nje katika kipindi cha...
View ArticlePogba ana kiporo alichobakiza Old Trafford – na hivi ndio Man Utd...
Paul Pogba bado hajasaini mkataba wa kujiunga na Manchester United, lakini anataka kujiunga na klabu aliyowahi kuichezea na klabu hiyo pia inamhitaji. Sio kwa mara ya kwanza, uhamisho mkubwa...
View ArticleMAJIBU YA MOURINHO KWA KLOPP, WENGER, JUU YA PAUNDI MIL 100 ZA USAJILI WA POGBA
Jose Mourinho amewatuhumu mahasimu wake kwenye soka Arsene Wenger na Jurgen Klopp kwamba hawana maadili baada ya kukosoa uamuzi wa United kuhusishwa na ununuzi wa Paul Pogba kwa ada ya paundi mil 100....
View ArticleKABLA YA KUANZA KWA VPL 2016/17, MANARA ATOA ONYO BODI YA LIGI
Zikiwa zimesalia takribani siku 14 ili kuanza kwa msimu wa ligi kuu ya soka Tanzania msimu wa 2016/2017, afisa habari wa klabu ya Simba Haji Manara amesema hatarajii kuona mapungufu yaliyojitokeza...
View ArticleHATIMAYE MANJI ATAKA KUIMILIKI YANGA
Baada ya mfanya biashara tajiri Afrika Mohammed Dewji kuonesha nia ya kutaka kuweka mkwanja kwenye klabu ya Simba, leo tajiri mwingine wa Bongo na mwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji amewaomba wanachama...
View ArticleYANGA IMEHITIMISHA DAKIKA 45O BILA USHINDI
Yanga imeendelea kuandamwa na jinamizi la kukosa ushindi kwenye mechin zake baada ya leo Jumamosi August 6 kulazimishwa sare ya bila kufungana kwenye mchezon wa kirafiki wa kujipima nguvu dhidi ya...
View ArticleSERENGETI BOYS YAKOMAA ‘SAUZ’
Kikosi cha Serengeti Boys Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imefanikiwa kupata sare ya goli 1-1 dhidi ya timu ya vijana ya Afrika Kusini katika mchezo wa kuwania kufuzu...
View ArticleTATHMINI YANGU KUHUSU OMBI LA MANJI KUIMILIKI TIMU HIYO KWA ASILIMIA 75
Na Samuel Samuel Awali ya yote ningeomba tuitambue kwa ufupi sana klabu hii ya Young Africans ‘Yanga’ tangu ilipoanzishwa, maendeleo iliyofikia , mifumo ya uendeshaji toka kuanzishwa kwake na...
View Article