TFF NI WAKALA WA VILABU?
Na Isack Makundi, Babati -Manyara TFF kirefu chake ni Tanzania Football Federation, kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia mvutano juu ya mapato kati TFF na vilabu hasa hivi vikubwa (Yanga na Simba) kuwa...
View ArticleKAKA YAKE SCHWEINSTEIGER AMPIGA DONGO MOURINHO
Mchezaji anayesubiriwa kwa hamu kutua Manchester United bado hajatua. Taarifa za vyombo mbalimbali vya habari zimekuwa zikitaja wachezaji ambao Jose Mourinho atawaondoa kwenye kikosi chake. Mapema...
View ArticleMCHANGANUO HUU WA USAJILI WA POGBA NI FUNZO KWA VILABU NA WACHEZAJI
Kwa takriban mwezi mmoja sasa, suala la uhamisho wa kiungo wa Juventus Paul Pogba limekuwa ni habari kubwa mno kutokana na pesa anayotajwa kutaka kununuliwa na Manchester United. Uhamisho wa Pogba...
View ArticleMO AANZA KUTIA MKWANJA SIMBA
Mkurugenzi Mtendaji na rais wa makapumni ya Mohammed Enterprises Ltd (MeTL Group) Mohammed Dewji ‘MO’ ametoa kiasi cha shilingi milioni 100 kwa klabu ya Simba kwa ajili ya kusaidia zoezi la usajili...
View ArticleJOHN OBI MIKEL ABADILI JINA
John Obi Mikel ameamua kubalisha jina lake. Jina lake halisi alikuwa anaitwa Michael John Obi, lakini Shirikisho la Soka nchini Nigeria kwa bahati mbaya walikosea herufi wakati wakimwandikisha jina...
View ArticleKAULI YA KWANZA YA SANE BAADA YA KUTUA MAN CITY
Manchester City wamekamilisha usajili wa winga kutoka Schalke o4 Leroy Sane kwa mkataba wa miaka mitano. Kinda huyo (20), ambaye alikuwa akiwaniwa na vilabu kadhaa barani Ulaya inaarifiwa amesajiliwa...
View ArticleCHAMA CHA SOKA UTURUKI, CHAFANYA KWELI. WAAMUZI 94 WAFUKUZWA KAZI.
Mamlaka ya soka nchini Uturuki chini ya chama cha soka cha nchi hiyo (TFF) kimeamua kuwafukuza kazi viongozi wa soka nchini humo wakiwemo waamuzi ambao idadi yao inafikia 94. taarif zinasema kuwa...
View ArticleDRAYMOND GREEN AYAZUA, NIDHAMU YAKE YAZUA MASWALI.
Draymond Green ameibuka katika siku za karibuni kama mmoja wa wachezaji walioleta mapinduzi kwenye mchezo wa mpira wa kikapu kwa nafasi anayocheza huku akionyesha kuwa mhimili mkubwa wa klabu yake ya...
View ArticleRio2016: Kwa mara ya kwanza Olimpiki kushirikisha timu ya wakimbizi
Popole Misenga ni mmoja ya maelfu ya wanamichezo ambao watashiriki kwenye michezo ya Olimpiki 2016. Misenga atakuwa mmoja wa wakimbizi 10 watakaunda timu itakayobeba bendera nyeupe ya Olimpiki katika...
View ArticleKAMA NI KWELI, YANGA INAFANYA MAKOSA KATIKA AFYA YA HAJI MWINYI
Na Baraka Mbolembole KIPAJI kikubwa cha uimbaji cha Ray C na Chid Benz kimekwamia katika matumizi ya madawa ya kulevya ‘Janga hatarishi zaidi kwa vijana hivi sasa.’ Kuna picha imeendelea kusambaa kwa...
View ArticleMAFANIKIO YA LA MASIA BAADA YA FC BARCELONA KUNUNULIWA 1954, MO ATAFUATA…?
Na Baraka Mbolembole Baada ya uongozi wa Simba SC kufungua mazungumzo rasmi na tajiri Mohammed Dewji kuelekea mpango wa mabadiliko-kutoka mfumo wa kadi hadi Simba kampuni wengi wamekuwa na shauku ya...
View ArticleKWANINI SANE AMEFANYA MAAMUZI YA KUTUA MAN CITY CHINI YA GUARDIOLA?
Kila mchezaji ana aina ya uchezaji ambayo humvutia mtazamaji. Na kila kocha ana aina ya mfumo ambao kuna baadhi ya wachezaji wanaweza kuendana nao na wengine kushindwa kabisa. Kuna namna mchezaji mpya...
View ArticleZitto Kabwe: Sababu zangu kwanini Naunga mkono MO kuwekeza Simba ila asipewe...
20 Billions Tshs Endowment Fund for Simba SC ni moja ya pendekezo bora zaidi kutolewa na Mwanamichezo nchini kwetu. Mohamed Dewji anapendekeza kuwa yeye atatoa tshs 20bn na kuziweka kwenye Endowment...
View ArticleMchezo wa heshima wa Rooney kati ya United vs Everton kuweka rekodi hii
Mchezo wa heshima ya kuitumikia Manchester United kwa miaka zaidi ya 10 ya Wayne Rooney utakaopigwa leo kati ya Manchester United vs Everton utaingia kwenye historia ya kuwa mchezo wa vilabu...
View ArticleARSENAL KUTWAA TAJI CHINI YA ARSENE WENGER NI NDOTO – SUTTON
Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea na Celtic Chris Sutton amepigilia msumari wa moto kwa Arsenal kwa kusema kwamba kamwe wasitarajie ubingwa kama timu hiyo itaendelea kuwa chini ya Arsene Wenger....
View ArticleYANGA NI MABINGWA WA TANZANIA MARA 25, SIYO 26!
Na Zaka Zakazi Mei 22, 2016, nahodha wa Yanga, Nadir Haroub Ally Upapa ‘Canavaro’ aliinua kwapa kupokea kombe la ubingwa wa Tanzania uliohesabiwa na shirikisho la soka hapa nchini TFF kama ubingwa wa...
View ArticleSIMBA YACHEZEA KICHAPO MOROGORO
Wekundu wa Msimbazi Simba SC baada mfululizo wa matokeo mazuri katika mechi zao za kirafiki, leo wamejikuta wakilala bao 1-0 kutoka kwa timu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni KMC, mchezo...
View ArticleMBABE WA TAMBWE ATEMWA RUVU SHOOTING
Beki wa kati wa George Osei ametemwa na klabu ya Ruvu Shooting ambayo tayari imeshatangaza nyota wake iliowasajili na kuwatema taya kwa ajili ya msimu wa VPL 2016/2017. Osei anakumbukwa na wengi baada...
View ArticleHATIMAYE MAVUGO ATUA DAR
SIKU moja baada ya mfanyabiashara maarufu nchini na mwanachama wa Simba SC, Mohammed Dewji ‘Mo’ kuichangia klabu hiyo shilingi milioni 100 za usajili, hatimaye wamefanikiwa kumleta mshambuliaji wa...
View ArticleROONEY ASAIDIA MASIKINI PESA ZA MECHI YAKE
Zlatan Ibrahimovic amecheza kwa mara ya kwanza kwenye dimba la Old Trafford akiwa kama mchezaji wa Manchester United walipocheza na Everton katika mchezo maalum kwa ajili ya Wayne Rooney ulioisha bila...
View Article