PICHA 12: MATUKIO YALIYOJIRI NJE YA UWANJA FAINALI YA NDONDO CUP 2016
Mashindano ya Ndondo Cup yananogeshwa na mashabiki wake kwa asilimia kubwa, ubunifu na aina yao ya ushangiliaji umekuwa ukiwavutia hata wale ambao hawana mazoea ya kuangalia mpira. Sasa Julai 30...
View ArticleKISIGA AJIZOLEA MIZAWADI NDONDO CUP
Baada ya Temeke Market kubuka mabingwa wa Ndondo Cup 2016 kwa kuifunga Kauzu FC magoli 3-1, Shabani Kisiga ‘Malone’ alitangazwa mchezaji bora wa mechi hiyo lakini pia mchezaji bora wa mashindano ya...
View ArticleKUFUNGWA NOMA SANA, CHIFU WA KAUZU KALOWA ‘CHAPACHAPA…’
Chifu wa Kauzu ni shabiki wa Ndondo ambaye amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na style zake za ushangiliaji huku akipata mashabiki wengi wanaopenda vituko na mbwembwe zake pindi anapokuwa...
View ArticleKAMA USAJILI WA EURO MIL 90 WA HIGUAIN JUVE NI KWA AJILI YA UEFA, BASI...
Na Mahmoud Rajab Pesa, pesa, pesa. Pesa ni kitu cha ajabu sana hapa ulimwenguni. Inaweza kufanya chochote kile kwa mantiki ya kutimizwa matakwa fulani. Katika soka ndiyo usiseme, imekuwa ni kama...
View ArticleNENO LA ZLATAN BAADA YA KUFUNGA GOLI LA KWANZA AKIWA MAN UNITED
Zlatan Ibrahimovic anaamini kwamba kuna kitu kizuri anakiona mbele ya Manchester United baada ya kufunga goli lake aina ya bicycle-kick, ukiwa ni mchezo wake wa kwanza tangu asajilie klabuni hapo....
View ArticleSAMATTA UWANJANI LEO LIGI KUU UBELGIJI
Mbwana Samatta leo anatarajiwa kuonekana tena katika nyasi za Ulaya pale timu yake ya Genk itakapovaana na KV Oostende katika muendelezo wa mechi za ufunguzi katika Ligi Kuu ya Ubelgiji maarufu kama...
View ArticleNIONAVYO MIMI: MO APEWE SIMBA LAKINI SIYO KWA 51% – 2
Katika sehemu ya kwanza ya makala hii, nilianza kwa kumjadili Mo na historia yake ndani ya Simba. Nilienda mbali nakukumbushia kidogo kilichokuwa kikitokea zamani enzi za wafadhili. Kwa kifupi,...
View ArticleZLATAN HAWEZI KUWA MFALME WALA LEGEND LABDA SEHEMU NDOGO YA MASHUJAA WA MAN...
Na Mahmoud Rajab Muda uliokuwa ukisubiri wa na watu wengi juu ya Zlatan sasa umewadia. Wiki nne zimeshapita tangu mchezaji huyo ambaye anaaminika kuwa na ‘personality’ kubwa kuthibitishwa kuwa...
View ArticleBiashara mbaya za usajili za Barca katika muongo 1 uliopita
Uhamisho wa Adriano Correia kwenda Basiktas kwa ada ya uhamisho wa 600,000 euros ni maamuzi mengine mabaya katika soko la usajili yaliyofanywa na bodi ya klabu ya FC Barcelona. Tuangalie maamuzi...
View ArticleSAMATTA ATUMBUKIA NYAVUNI MECHI YA KWANZA LIGI YA UBELGIJI
Akitokea benchi zikiwa zimesalia dakika 10 mechi kumalizika, Mbwana Samatta amefunga bao lililoipa ushindi Genk kwenye mchezo wao wa kwanza wa ligi ya Ubelgiji (Belgium Pro League) na kuisaidia timu...
View ArticleKila unachohitaji kujua kuhusu soka katika Olympic 2016
Mchezo wa soka haukwemo kwenye mashindano haya mara mbili tu, mwaka 1896 na 1932. Kuelekea mashindano ya Olympic ya mwaka huu vifuatavyo ndio vitu unavyopaswa kujua kuhusu mchezo wa soka katika Rio...
View ArticleVideo: DIEGO COSTA AMENASWA AKIMWAMBIA SERGIO RAMOS ANATAKA KUIHAMA CHELSEA
Kuna video imeenea kwenye mitandao ya kijamii baada ya mechi ya kirafiki wakati wa pre-season kati ya Chelsea dhidi ya Real Madrid iliyopigwa huko Michigan, Marekani. Chelsea ilipoteza mechi hiyo kwa...
View ArticleVideo: RANIERI ANAENDELEA KUHARIBU DILI LA MAHREZ KUTUA ARSENAL
Boss wa Leicester City Claudio Ranieri amewafurahisha wengi wakati akihojiwa na Sky Sports kuhusu tetesi za nyota wake Riyad Mahrez kuihama klabu hiyo. Mara zote amekua akiongea bila kujiamini...
View ArticleWENGER AUPONDA USAJILI WA POGBA UNITED
Wakati wa Michuano ya Euro mwaka huu iliyofanyika nchini Ufaransa, Pogba alikuwa mchezaji muhimu sana kwa taifa la Ufaransa lakini allishindwa kuwapa ubingwa baada ya kufungwa na Ureno kwenye mchezo...
View ArticleSIMBA YANUKIA MIKONONI MWA MO, ATAJA SABABU YA KUTOPELEKA OFA KWA MAANDISHI
Ikiwa ni siku moja tu baada ya wanachama wa klabu ya Simba kuridhia mabadiliko ya klabu yao kutoka kwenye mfumo wa sasa wa uanachama hadi kuwa kampuni ambayo itaendeshwa kibiashara, bilionea Mohamed...
View ArticleNYOTA WA CHELSEA ATIMKIA UJERUMANI
Baba Rahman ajiunga na Schalke Mambo hayakuwa mazuri kwa Baba Rahman kunako klabu ya Chelsea. Beki huyo wa kushoto wa mwenye asili ya Ghana msimu uliopita alijiunga na Chelsea akitokea klabu ya...
View ArticleJicho la 3: ‘MSISHANGILIE MABADILIKO YASIYO RASMI HIVI SASA, JIULIZENI PIA NI...
Na Baraka Mbolembole WAKATI baadhi ya wanachama/mashabiki wa klabu ya Simba SC walipojaribu kutaka kumshambulia mwenyekiti wa kamati ya usajili, Zacharia Hans Poppe mara baada ya timu yao kupoteza 1-0...
View ArticleBale Akodi kisiwa cha karibu billioni 2 kumchumbia demu wake
Gareth Bale alikodi kisiwa cha Tagomago, kilichopo karibu na Ibiza ili kufanya shughuli ya kumposa mchumba wake Emma Rhys-Jones. Kwa mujibu wa ripoti mchezaji huyo wa Real Madrid alikikodi kisiwa hicho...
View ArticleSABABU ZA KIMASOMO ZIMECHANGIA KUICHAGUA NDANDA SC, NAWASHUKURU MASHABIKI WA...
Na Baraka Mbolembole KIUNGO wa zamani wa Yanga SC, Salum Telela amewashukuru mashabiki wake aliowaacha katika timu hiyo na kusema kuwa sababu za kimasomo ndizo zimemfanya kuichagua timu ya Ndanda SC...
View ArticleMTANZANIA ANAECHEZA ZAMBIA AMEITAJA SABABU YA JINA LAKE KUONDOLEWA KIKOSI CHA...
Juma Luizio-mchezaji wa timu ya Zesco United ya Zambia Na Baraka Mbolembole MSHAMBULIZI Mtanzania anayekipiga katika timu ya Zesco United ya Zambia leo Jumanne anaweza kufahamu hatima yake kuhusu...
View Article