Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Video: GOLI LA MAN UNITED, MATOKEO NA MSIMAMO WA EPL BAADA YA MECHI ZA AUGUST 27

$
0
0

Rashford vs Hull

Goli la dakika za jioni liliihakikishia Manchester United pointi tatu nyingine katika mchezo wao wa tatu tangu kuanza kwa ligi ya EPL na hatimaye kuwa na pointi 9 kwenye kapu lao.

Marcus Rashford alikuwa shujaa wa mechi hiyo ya mwisho kati ya mechi nane zilizopigwa Agosti 27, Manchester ilikuwa ugenini kwenye uwanja wa Kingston Communications ikipambana na Hull City.

Hull v Man U 1

United inaendelea kukimbizana na Chelsea kileleni mwa ligi baada ya timu hizo kucheza mechi tatu na kushinda zote huku zikisubiri matokeo ya Manchester City yenye pointi 6 lakini ikiwa na mchezo mkononi.

Hull v Man U


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>