Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOCHA JKT RUVU AMETAJA KILICHOWAFANYA WASHINDWE KUIFUNGA SIMBA

Baada ya pambano la ligi kuu Tanzania bara kati ya JKT Ruvu vs Simba kumalizika kwa sare ya bila kufungana, makocha wa timu zote waliuzungumzia mchezo huo uliokuwa wa kwanza kwa JKT Ruvu ambao ndio...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKWARA MZITO!! MADIWANI MBEYA MARUFUKU KUSAFIRI NA MBEYA CITY

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makala amepiga marufuku Madiwani kutumia fedha za serikali kusafiri na timu Ya Mbeya City, Makala amesema hayo ni matumizi mabaya ya fedha wakati akihutubia kikao cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video: GOLI LA MAN UNITED, MATOKEO NA MSIMAMO WA EPL BAADA YA MECHI ZA AUGUST 27

Goli la dakika za jioni liliihakikishia Manchester United pointi tatu nyingine katika mchezo wao wa tatu tangu kuanza kwa ligi ya EPL na hatimaye kuwa na pointi 9 kwenye kapu lao. Marcus Rashford...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SALUTI JOHN BOCCO!  SALUTI IBRAHIM AJIB!

Mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajib (katikati) akipambana kuwatoka mabeki wa Ndanda FC Na Athumani Adam Jana kwenye uwanja wa Azam Complex kule Chamanzi, John Bocco alifunga mara mbili wakati Azam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZAZA ATUA WESTHAM UNITED

Mchezaji raia wa Italia na klabu ya Juventus, Simone Zaza amesajiliwa na klabu ya Westham kwa mkopo wa muda mrefu. Mshambuliaji huyu anakuwa mchezaji wao wa 11 kumsajili na anafikisha kiwango cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIASIA AIKACHA NIGERIA

Samson Siasia aliyekiongoza kikosi cha wanaume cha Nigeria kushinda medali ya shaba kwenye michuano ya Rio Olympic amejiuzulu nafasi hiyo kwa kile alichodai kuwa ni mfumo uliokosa nidhamu kwao....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YAANZA VPL KWA KUCHUKUA POINTI 3 KWA AFRICAN LYON

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka Tanzania bara Yanga SC wameanza vizuri msimu mpya wa waligi kwa kuibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya African Lyon iliyopanda daraja msimu huu. Donald Ngoma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YAPATA PIGO, KIPA WAKE NAMBA MOJA DEO MUNISHI AFIWA NA BABA YAKE

Mlinda lango namba moja wa Yanga Deogratius Munishi ‘Dida’ amefiwa na baba yake mzazi leo mchana, imeelezwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyoandikwa kwenye ukurasa wa Facebook wa Naipenda Yanga bado chanzo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GENK YAENDELEZA USHINDI UBELGIJI

Baada kufanikiwa kupata ushindi Alhamisi iliyopita na hatimaye kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya Europa League, klabu ya KRC Genk anayoitumikia Mbwana Samatta imeendeleza matokeo ya ushindi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FABREGAS KUONDOKA CHELSEA?MWENYEWE KAANIKA UKWELI WOTE KWENYE INSTAGRAM YAKE

Chelsea wameanza vizuri mbio za kuwania ubingwa wa EPL chini ya kocha wao mpya Antonio Conte. Wameshinda mechi zote tatu na kujikusanyia alama 9 kibindoni sambamba na Manchester City na Man United....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video: SIKU MOJA NITAREJEA CHELSEA – LAMPARD

Mfungaji wa muda wotekwenye klabu ya Chelsea Frank Lampard ambaye kwasasa anaitumikia New York City FC ya Marekani amesema siku moja atarejea kwenye Stamford Bridge. Lampard ali-comment hivyo wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AGUERO KUIKOSA MANCHESTER DERBY, GUARDIOLA ANENA

Sergio Aguero anaweza kufungiwa michezo mitatu baada ya kumpika kiwiko beki wa West Ham Winston Reid jana na kuwa na uwezekano wa kuukosa mchezo dhidi ya mahasimu wao Manchester United. Mshambulizi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIA NINAYO, SABABU NINAZO NA NGUVU NINAZO, NATAMANI KUONA NAPATA TENA NAFASI...

Na Baraka Mbolembole LICHA ya kuzurura kwa miaka kumi katika vilabu vya Ashanti United, Mtibwa Sugar, Simba SC, Azam FC, Coastal Union, kiungo ‘maestro’ Abdulhalim Humoud hakuweza kufikia kiwango kile...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHKODRAN MUSTAFI ALIITOSA CITY, AKABANIWA NA MOYES SASA YUPO NA WENGER

Na Athumani Adam Tetesi zimekuwa kweli mapema wiki hii pale Arsene wenger alipokamilisha usajili wa beki Shkodran Mustafi. Usajili wa beki huyo Mjerumani mwenye miaka 24 kutoka klabu ya Valencia ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANAWEZA KUWA HAZARD MPYA? SOUTHAMPTON YAMTWAA SOUFIANE BOUFAL

Inawezekana kabisa kukawa na wachezaji wengi vijana am ao wamekuwa wakifaanishwa na wachezaji wengi wakubwa lakini mara nyingi ikiwa ni wachezaji wawili wanaotikisa dunia yaani Cristiano Ronaldo au...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHEZAJI AVUNJIWA MKATABA BAADA YA KUGUNDULIKA ANAMAAMBUKIZI YA HIV

Zikiwa zimepita siku nne tu tangu asajiliwe na klabu ya Al Ittihad inayoshiki ligi kuu ya Misri, Samuel Nlend, 21, mkataba wake umevunjwa baada ya klabu yake mpya kugundua mchezaji huyo anamaambukizi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMEISIKIA HII YA RIO FERDINAND KUWAHI KUOMBA KUSAJILIWA NA WENGER?

Beki kisiki wa zamani wa Manchester United Rio Ferdinand amefichua kwamba kuna wakati alimuomba Arsene Wenger amsajili bure mwaka 2014. Ferdinand, ambaye kwa sasa ni mchambuzi wa soka alijiunga na QPR...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AGUERO NJE YA KIKOSI CHA TAIFA, MICHUANO YA KUFUZU KOMBE LA DUNIA.

Chama cha soka nchini Argentina kimetoa taarifa kuwa mchezaji wa klabu ya Manchester City, Sergio Kun Aguero 28, atakosa michezo ya kufuzu kombe la dunia baada ya kuumia katika mchezo dhidi ya West...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIGEZO ALIVYOVITAJA BOSS WA AZAM, SIMBA NA YANGA HAZIKWEPI KUCHEZA AZAM COMPLEX

Katika vitu ambavyo vimechukua headlines katika soka la bongo hivi karibuni ni pamoja na Azam kutaka kuutumia uwanja wao wa Azam Complex katika mechi zote ambazo wanakuwa wenyeji dhidi ya Simba na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAMSTRING KUMWEKA MESSI ‘MATATANI’ ARGENTINA

Lionel Messi anaweza kuukosa mchezo wa kufuzu fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 wakati timu yake ya taifa Argentina itakapovaana na Uruguay na Venezuela baada ya timu yake ya Barcelona kuthibitisha...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>