Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TWEETS- SHEARER NA FERDINAND WAPINGANA MTAZAMO JUU YA KUSTAAFU KWA ROONEY...

Kumekuwa na majibizano mazito kwenye Twitter kati ya Allan Shearer na Rio Ferdinand juu ya Wayne Rooney na uwepo wake kwenye timu ya taifa ya England. Shearer, ambaye ni nahodha wa zamani wa England...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JE WAJUA. SOGEA KARIBU NICASIUS AKUJUZE.

Mchezaji wa zamani wa Italia na klabu ya Juventus, Alessandro Del Piero, ndiye mchezaji aliyefunga bao katika kila mashindano aliyoshiriki. Pia Rais wa Juventus Gianni Agnelli alimpa jina la utani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ROONEY AMEWEKA WAZI MWAKA ANAOTARAJIA KUSTAAFU KUCHEZA TIMU YA TAIFA ENGLAND

Wayne Rooney ameweka wazi kwamba michuano ya kombe la dunia ya 2018 itakuwa ya mwisho kwake kuitumikia timu ya taifa ya England. Nahodha huyo wa The Three Lions amekuwa kwenye kikosi cha taifa tangu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARCELONA WAMEKAMILISHA USAJILI WA MCHEZAJI MWINGINE

Barcelona imethibitisha kumsaini Paco Alcecar kutoka Valencia kwa mkataba wa miaka mitano, nyota huyo kwenye miaka 23 amehamia Nou Camp kwa ada ya uhamisho wa euro milioni 30 huku kukiwa na kipengele...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFFICIAL- ARSENAL WAMEMSAJILI PEREZ KUTOKA DEPORTIVO LA CORUNA

Arsenal wamekamilisha usajili wa mshambulizi wao mpya Lucas Perez kutoka klabu ya Deportivo La Coruna. Meneja wa Arsenal Arsene Wenger Jumamosi alithibitisha kwamba Perez (27) pamoja na beki kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAZARD AMFANANISHA KANTE NA PANYA

Eden Hazard amemfananisha kiungo mpya wa Chelsea N’Golo Kante na panya kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuzunguka uwanja mzima pindi awapo uwanjani . Nyota huyo wa Ubelgiji amevutiwa sana na aina ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FA YAMKUTA NA HATIA AGUERO, SASA KUPIGWA PINI MECHI TATU

Straika wa Manchester City Sergio Aguero amekutwa na hatia na Chama cha Soka England FA kwa kosa la kumpiga kiwiko beki wa West Ham Winston Reid Aguero anaweza kukumbana na adhabu ya kufungiwa michezo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA KUMBURUZA KESSY MAHAKAMANI

Klabu ya Simba imejiridhisha na kupeleka ushahidi kwenye kamati ya sheria na hadhi za wachezaji kuhusu sakata la usajili linalomhusu beki wa kulia wa Yanga Hassan Kessy Ramadhani na wanaamini endapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO- BEKI APEWA KADI NYEKUNDU BAADA YA KUFUNGA HAT-TRICK SWEDEN

Huko nchini Sweden kunako Ligi Kuu ya nchini humo, beki wa kati wa Norrby IF Medi Dresevic alifunga hat-trick katika ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya Tvaaker na kutolea kwa kadi nyekundu. Hilo lilikuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU KUBWA 6 ZA ULAYA ZENYE VIWANJA KAMA CHA AZAM

Na Athumani Adam Miongoni mwa habari kwenye soka hapa nchi ni suala la Azam kucheza mechi dhidi ya timu kongwe Simba na Yanga kwenyye uwanja wa Azam Complex kule Chamanzi. Wakati sakata la Azam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

POGBA AJA NA STAILI MPYA YA NYWELE, HIYO INAITWA NYOKA STYLE

Pogba ni moja ya wachezaji wenye manjonjo sana linapofika suala la kutengeza nywele zao. Tangu kurejea kwake kunako klabu ya Manchester United, mtindo wake wa nywele umekuwa kivutio kwa watu wengi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFFICIAL- STOKE CITY WAKAMILISHA USAJILI WA BONY

Stoke City wamethibitisha kumsajili kwa mkopo mshambuliaji wa Manchester City Wilfried Bony. Nyota huyo wa Ivory Coast atatumia msimu mzima kukipiga kwa Makuli hao huku kukiwa na makubaliano ya Man...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFFICIAL- NASRI ATIMKIA SEVILLA

Manchester City wamethibitisha kiungo mshambuliaji wao Samir Nasri kujiunga na Sevilla kwa mkopo wa msimu mzima. Awali iliripotiwa kwamba, Nasri angejiunga na miamba ya Uturuki Besiktas, lakini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WA SOKA WALIVYOUAGA MWILI WA BABA YAKE DIDA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHELSEA WANASA KITASA CHA FIORENTINA

Chelsea wamethibitisha kumsajili beki Marcos Alonso kutoka Fiorentina ya Italy kwa ada ya paundi mil 23. Alonso hatakuwa mgeni kwenye Ligi ya England baada ya hapo awali kuwahi kucheza katika vilabu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA 4- DAVID LUIZ ATUA LONDON TAYARI KUJIUNGA NA CHELSEA

  Beki wa PSG David Luiz akiwasili jijini London kwaajili ya kumalizana na Chelsea na kurejea klabuni hapo baada ya kuondoka misimu miwili iliyopita kwa ada ya paundi mil 50 kwenda PSG

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFFICIAL- DAVID LUIZ ARUDISHA MAJESHI CHELSEA

Chelsea wamekamilisha usajili wa beki wa kimataifa wa Brazil David Luiz kutoka Paris Saint-Germain kwa ada ya paundi mil 38 (euro mil 45). Luiz (29) anarejea Chelsea baada ya kuondoka klabuni hapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GENK YAITAHADHARISHA TFF JUU YA SAMATTA

Klabu ya Genk ambayo anacheza nahodha wa Tanzania Mbwana Samatta, imetoa tahadhari kwa benchi la ufundi la Taifa Stars hasa hususan upande wa madaktari juu ya Mbwana Samatta ambaye ataungana na kikosi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WILSHERE AMALIZANA NA BOURNEMOUTH

AFC Bournemouth wamekubali kumsajili kiungo wa Arsenal Jack Wilshere kwa mkopo wa msimu mzima. “Jack ni mchezaji wa aina yake ambaye naamini atatoa mchango mkubwa sana kwa klabu,” amesema Mtendaji Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ACACIA YASITISHA UDHAMINI WA MABILIONI STAND UNITED

Kampuni ya uchimbaji madini ya ACACIA Gold Mine ya Bulyanhulu ya mkoani Shinyanga imevunja rasmi mkataba wa kuifadhili klabu ya Stand United. Ikumbukwekwe klabu ya Stand United ilikuwa ni klabu yenye...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>