Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

RATIBA VPL JUMATANO SEPTEMBER 7

$
0
0

IMG_0515

Baada ya ligi kuu Tanzania bara kupigwa mwishoni mwa juma lililopita, ligi hiyo itaendelea tena katikati ya juma hili (Jumatano September 7) kwa mechi tatu katika viwanja vya miji tofauti.

Mabingwa watetezi wa VPL tayari wameondoka kuelekea Mtwara kwa ajili ya mchezo dhidi ya Ndanda FC mechi itakayochezwa kwenye uweanja wa Nangwanda Sijaona.

Azam FC wao watakuwa mkoani Mbeya kwenye uwanja wa Sokoine kukabiliana na Tanzania Prisons.

Uwanja wa taifa kutakuwa na mchezo kati ya Simba dhidi ya Ruvu Shooting waliopanda daraja msimu huu wakitokea ligi daraja la kwanza.

Hii hapa full ratiba ya mechi za Jumatano (September 7) na Jumamosi (September 10)

IMG_0138


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles