VIDEO- COSTA ANG’AA HISPANIA IKISHINDA 8-0 NYUMBANI
Uhispania wamefungua kampeni yao ya harakati za kufuzu fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 kwa ushindi wa kishindo wa mabao 8-0 dhidi ya Liechtenstein usiku wa kuamkia leo. Diego Costa alifungua...
View ArticleVIDEO- BALE APIGA MBILI WALES IKIICHAPA MOLDOVA 4-0 CARDIFF
Wales wameendeleza mwenendo wao mzuri baada ya Michuano ya Euro kufuatia kuibuka na ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya Moldova, mchezo wa kufuzu fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 uliofanyika Uwanja...
View ArticleCLATTENBURG KUAMUA MANCHESTER DERBY
Mark Clattenburg ametangazwa kuwa mwamuzi ambaye atachezesha pambano la wikiendi kati ya mahasimu wawili wa jiji la Manchester, Manchester United na City. Pep Guardiola na Mourinho wanakutana kwa mara...
View ArticleMOURINHO NA GUARDIOLA WAZUA HOFU JESHI LA POLISI ENGLAND, MAAFISA 400 KULINDA...
Uhasama mkubwa uliopo kati ya Jose Mourinho na Pep Guardiola na ongezeko la hofu kutokana ukubwa wa mchezo wa Manchester United na City umefanya jeshi la polisi kujipanga namna kuweka ulinzi thabiti...
View ArticleJULIO KATANGAZA SABABU ZA KUSTAAFU KUFUNDISHA SOKA
Jamhuri Kihwelu ‘Julio’-Kocha Mwadui FC Kocha wa Mwadui FC Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema ataamua kustaafu kufundisha soka endapo baadhi ya matukio yataendelea kujitokeza katika ligi kuu ya Tanzania...
View ArticleRATIBA VPL JUMATANO SEPTEMBER 7
Baada ya ligi kuu Tanzania bara kupigwa mwishoni mwa juma lililopita, ligi hiyo itaendelea tena katikati ya juma hili (Jumatano September 7) kwa mechi tatu katika viwanja vya miji tofauti. Mabingwa...
View ArticleNDANDA VS YANGA – KULINDA REKODI VS KUVUNJA REKODI
Ligi kuu Tanzania bara itaendelea tena Jumatano ya September 7 kwa mechi tatu kuchezwa kwenye viwanja tofauti, game ya Ndanda FC vs Yanga ni miongoni mwa mechi kali inayosubiriwa kwa hamu na wadau wa...
View ArticleCanada na Honduras kwenye kashfa ya kuwahonga El Salvador ili kufuzu kombe la...
Timu ya taifa ya El Salvador imedai kwamba wamekataa rushwa ya fedha waliyoahidiwa ili wapoteze mchezo wa leo jumanne wa kugombea kufuzu kucheza kombe la dunia 2018 vs Canada. Katika mkutano wa...
View ArticleVIDEO-RASHFORD APIGA HAT-TRICK ENGLAND U21 IKIIFUMUA NORWAY 6-1
Kinda wa Manchester United na timu ya taifa ya vijana U21 Marcus Rashford ameng’ara kwenye mchezo wa Kundi la 9 kuwania kufuzu mucheza michuano ya Euro kwa vijana baada ya kupiga hat-trick dhidi ya...
View ArticleUFARANSA YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA BELARUS
Ufaransa imeanza kampeni za kufuzu fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 kwa kusuasua baada ya kulazimishwa suluhu na Belarus, mchezo uliopigwa jijini Barysaw. Olivier Giroud, Antoine Griezmann na...
View ArticleURENO BILA YA RONALDO YALALA 2-0 MBELE YA USWISI
Mabingwa wa Ulaya Ureno jana wameanza kampeni yao ya kusaka ushiriki wa Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Russia vibaya baada ya kuchapwa mabao 2-0 dhidi ya Uswisi kwenye mchezo wa Kundi B uliofanyika...
View ArticleDONDOO MUHIMU KUELEKEA MANCHESTER DERBY
Na Athumani Adam Kwenye El Classico Barcelona ya Pep Guardiola ilikua na rekodi nzuri dhidi ya Madrid ya Jose Mourinho. Sasa makocha hawa wapo nchini Uingereza, Guardiola akifundisha Manchester City...
View ArticleVIDEO- NEYMAR APIGA MOJA BRAZIL IKISHINDA 2-1, ARGENTINA YAKALIWA KOONI
Mechi 5 za Kanda ya nchi za Amerika ya Kusini chini ya usimamizi wa Shirikisho la Soka kwa Nchi za Amerika ya Kusini (CONMEBOL) kusaka mataifa manne yatakayofuzu moja kwa moja kucheza World Cup mwaka...
View ArticleGUARDIOLA VS MOURINHO, TUMEWAACHA MUIVUNJE SAHANI.
Dunia katika soka inaweza kuwa imetekwa na majiji mawili maarufu yaani Real Madrid na Barcelona. Hawa wanafanya wanachotaka na wanashinda wanavyojisikia huku pia wakiwa wamebeba wachezaji wawili bora...
View ArticleUMEMKARIRI JORGE MENDES? HUYU NDIYE ANAYEAMUA MAISHA YA CRISTIANO RONALDO NA...
Wengi wanaweza kuwa wanamfahamu na kufurahishwa na kazi ya wakala Jorge Mendes katika kila linapokuja suala la biashara za wateja wake kwani ni wakala wa wachezaji na makocha maarufu duniani kuanzia...
View ArticleVIDEO- ZLATAN AMEMUONYA KIPA WA MAN CITY CLAUDIO BRAVO
Mshambuliaji wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic haachi vituko, licha kuwa mjivuni mkubwa lakini pia ni mtu mwenye dhihaka sana. Mshambuliaji huyo ambaye mpaka sasa msimu huu ndiye kinara wa mabao...
View ArticleYANGA YASHINDWA KUTOBOA REKODI MTWARA
Uwanja wa Nangwanda Sijaona umeendelea kuwa mgumu kwa Yanga baada ya kushindwa kupata ushindi kwa mara nyingine kufuatia kulazimishwa suluhu na Ndanda kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania. Mchezo wao wa...
View ArticleAJIB, MAVUGO, WAIPA SIMBA POINTI 3 MBELE YA RUVU SHTOOTING
Mgoli ya Ibrahim Ajib na Laudit Mavugo yameipa Simba pointi tatu dhidi ya Ruvu Shooting kwenye mchezo uliomalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa magoli 2-1. Ruvu Shooting ambao ndio wamepoteza...
View ArticleAZAM MWENDO MDUNDO, WAINYUKA PRISONS 1-0 SOKOINE
AZAM FC leo wameendeleza wimbi la ushindi baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 mbele ya Tanzania Prisons, mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo ambao ulikuwa...
View ArticleKAULI YA HAJI MANARA KUHUSU MASAU BWIRE BAADA YA USHINDI YA RUVU SHOOTING JANA
Haji Sunday Manara, Afisa habari wa Simba SC Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba Haji Sunday Manara amesema kwamba, ushindi waliopata jana dhidi ya Ruvu Shooting ni ishara ya...
View Article