Nchini Ujerumani ligi ya Bundesliga itaendelea tena katika viwanja mbalimbali lakini kubwa nchini humo ni kiungo wa zamani wa klabu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani Stefan Effenberg kuteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya ligi daraja la kwanza ya Bundesliga klabu ya Pederborn.
Baada ya kutangazwa kuwa kocha wa Pededorn Effenberg anasema kuwa, Jose Mourinho anajiita ‘Special One’, Jurgen Klopp anajiita ‘Normal One’ yeye ameamua kujiita ‘The New One’.