Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOCHA LIGI DARAJA LA KWANZA UJERUMANI AJA NA A.K.A KALI INAYOFANANA NA YA...

Nchini Ujerumani ligi ya Bundesliga itaendelea tena katika viwanja mbalimbali lakini kubwa nchini humo ni kiungo wa zamani wa klabu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani Stefan Effenberg...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUELEKEA MBEYA CITY VS SIMBA, KIKOSI CHA SIMBA CHAMPA ‘WAZIMU’ KERR

Dylan Kerr, kocha mkuu wa Simba SC Na David Nyembe, Mbeya Mtanange wa ligi kuu Tanzania bara (VPL) baina ya miamba ya soka Simba SC dhidi ya Mbeya City umechukua sura mpya baada ya kocha wa Simba Dylan...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIIZA, MAGANGA, WAADHIMISHA SIKU ZAO ZA KUZALIWA

Kila mwanadamu ana siku ambayo ni muhimu kwake, lakini sote tunaungana kwa pamoja katika siku moja ambayo ni muhimu kwetu kwa pamoja nayo ni niku ya kuzaliwa. Siku hii ni muhimu kwa kila mwanadamu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RATIBA NA DONDOO MUHIMU ZA MECHI ZOTE ZA VPL ZINAZOPIGWA JUMAMOSI

Baada ya ligi kuu Tanzania bara kusimama kwa muda kupisha mechi za timu za taifa kuwania nafasi ya kucheza michuano ya kombe la dunia mwaka 2018 nchini Urusi, leo (Jumamosi) VPL inaendelea kwa michezo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

REAL MADRID KUCHUKUA POINT 3 ZA BURE AU KIPOFU ATAONA MWEZI?

Real Madrid wana nafasi ya kuchukua point 3 za bure kutoka kwa timu ambayo haifanyi vizuri kabisa kwasasa Levante. Kama ligi ya Hispania ikiisha leo basi Levante watakutana na panga la kushuka daraja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARCELONA WATARUDISHA HESHIMA AU WATACHAPWA TENA?

Mechi ya mwisho kwenye La Liga Barcelona ilichezea kichapo kutoka kwa Sevilla ambapo matokeo yalikua Sevilla 2 Barcelona 1. Baada ya kupoteza mechi ile maneno mengi yalisemwa kwamba Barcelona bila...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ORODHA YA WACHEZAJI WANAOMCHUKIA WENGER ZAIDI YA UNAVYOFIKIRIA….

5. Emmanuel Frimpong Hasira za Frimpong kwa Arsenal na Arsene Wenger zinaonekana kuongezeka kila siku. Mwaka 2014 majira ya joto, alimkosoa Wenger kwa kutumia fedha nyingi sana kumnunua Sanchez badala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WACHEKI WAKINA MESSI NA ROONEY WA BAADAE LIVE KWENYE STARTIMES.

Soka la vijana ndio mwanzo wa soka la wakubwa hapo baadae ndio maana nchi makini huwa wanawekeza sana kwenye soka la vijana. Lionel Messi alianza kuisaidia sana timu yake ya taifa akiwa kijana hadi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NANI ATAWEZA KUIZUIA BAYERN MUNICH….HAWA WATAWEZA KWELI?

Najua swali kama hili mashabiki wa Arsenal watajibu sana kwenye comment kama wao ndio wataweza kuwazuia Bayern Munich na moto walioanza nao kwenye msiu huu wa ligi. Hapa nazungumzia club gani itaweza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CANNAVARO: NAMUOGOPA AISHI MANULA…”

Nadir Haroub ‘Canavaro’, beki na nahodha wa timu ya Yanga Nahodha wa timu ya Yanga Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amekiri kuwa, anamuogopa golikipa wa Azam FC pale linapokuja suala upigaji penati dhidi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VAN PLUIJM AELEZA SABABU ZA YANGA KURUHUSU AZAM WASAWAZISHE GOLI

Hans van der Pluijm, kocha mkuu wa timu ya Yanga Kocha mkuu wa Yanga Hans van Pluijm amesema mchezo kati ya Yanga dhidi ya Azam ulikuwa mzuri licha ya timu yake kushindwa kuibuka na ushindi baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STEWART AISHUSHIA ‘RUNGU’ TFF

Stewart John Hall, kocha mkuu wa Azam FC  Baada ya mchezo kati ya Yanga dhidi ya Azam uliomalizika kwa sare ya kufungana goli 1-1, hali ilikuwa tofauti ilipofika zamu ya kocha wa Azam FC Stewart Hall...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WACHEZAJI WATANO WALIOONEKANA HAWAFAI KWA MOURINHO, WAKAWA LULU WALIKOTIMKIA

Jose Mourinho ni moja ya makocha borani Ulaya lakini amekuwa kikosolewa kwa kuua baadhi ya vipaji vya wachezaji wazuri sana. Hawa ndio wachezaji watano ambao Jose Mourinho aliwauza lakini kwa sasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO: NEYMAR ALIVYOPIGA GOLI NNE WAKATI BARCELONA IKIIUA VALLECANO KWA GOLI 5-2

Nyota wa Barcelona Neymar jana alifunga mabao manne wakati Barcelona ilipopata ushindi wa goli 5-2 mbele ya Rayo Vallecano kwenye mchezo wa ligi kuu ya Hispania (La Liga). Rayo Vallecano ndio walikuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rekodi mpya ya Bayern Munich – haijawahi kutoka Bundesliga 

Jumamosi ya jana klabu bingwa ya Ujerumani FC Bayern Munich iliendeleza ubabe wake katika Bundesliga baada ya kuiadhibu Werder Bremen na kuweka rekodi mpya kwenye ligi.    Goli pekee la Thomas Muller...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ROONEY AWEKA REKODI, AWAPOTEZEA WANAOMKEJELI

Nahodha wa United na timu ya taifa ya England Wayne Rooney jana alifunga goli katika ushindi wa mabao 3-0 nyumbani kwa Everton timu yake ya zamani, na kuweka rekodi ya kufikia magoli 187 aliyonayo Andy...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GIGGS KUMSAIDIA DEPAY, VAN GAAL AHOFIA YA DIMARIA

Inaelezwa kuwa kocha Loius Van Gaal amepata hofu juu ya winga wake mholanzi Memphis Depay na kuogopa asije akaishia kama Di Maria na kuwa flop Old Trafford. Van Gaal anasema ana imani na kijana huyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NDIO ADA YA UHAMISHO YA KWANZA KABISA YA CRISTIANO RONALDO

Historia inatamja kama mmoja wa wanasoka bora zaidi kuwahi kutokea kwenye mchezo wa mpira wa miguu, akiwa na rekodi kibao mgongoni mwake ikiwemo ya kuwa mwanasoka aliyenunuliwa kwa fedha nyingi zaidi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ILIKUWA LAZIMA THABAN KAMUSOKO APOTEZE MKWAJU WA PENALTY DHIDI YA YANGA

Golikipa wa Azam FC Aishi Manula akipangua mkwaju wa penati uliopigwa na kiungo wa Yanga Thabani Kamusoko  Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Dakika 3 kabla ya gemu kumalizika na huku matokeo yakiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA SC ‘WATAJIPIGA TENA SELFIE’ SOKOINE STADIUM?

Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Ushindi wa 1-0 dhidi ya African Sports, kisha 2-0 dhidi ya JKT Mgambo katika michezo miwili ya ufunguzi waliyocheza Mkwakwani Stadium, Tanga ulikuwa ni ‘mwanzo...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>