CHAMA CHA MADAKTARI WA MICHEZO (TASMA) KUNOGESHA TAMASHA LA KANDANDA DAY
Chama cha Madaktari wa michezo Tanzania (TASMA) kinatarajia kunogesha tamasha la ‘Kandanda day’ kwa kufanya kliniki siku ya Oktoba 17 mwaka huu katika Viwanja vya TCC Chang’ombe, jijini Dar es Salaam....
View ArticleMAGUFULI CUP: BURUDANI YAIFUATA ABAJALO NUSU FAINALI
Mchezaji wa Burudani akifunga goli la ushindi huku kipa wa Tuamoyo akijaribu kuuokoa mpira bila mafanikio Timu ya Burudani imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Magufuli Cup #Hapa...
View ArticleKikosi cha wachezaji 11 wasaliti – Waliowahi kucheza katika timu pinzani za...
The Wikiendi ijayo Sam Allardyce atakuwa kocha wa kwanza kufundisha vilabu viwili pinzani vya Sunderland na Newcastle, wakati atakapoiongoza rasmi kama kocha klabu ambayo kawahi kuichezea zamani katika...
View ArticleEXCLUSIVE: VAN PLUIJM AFUNGUKA ‘KINACHOWATAFUNA’ UHOLANZI HADI KUSHINDWA...
Hans van der Pluijm, kocha mkuu wa klabu ya Yanga Timu ya taifa ya Uholanzi imeshindwa kufuzu kucheza michuano ya mataifa ya Ulaya mwaka 2016 nchini Ufaransa. Hiyo inakuwa ni mara ya kwanza tangu timu...
View ArticleEXCLUSIVE: MANJI AELEZA JINSI YANGA ITAKAVYOFAIDIKA KAMA ATAKUWA DIWANI
Yusuf Manji, Mwenyekiti wa club ya Yanga na mgombea udiwani kata ya Mbagala Kuu kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Yusuf Manji amesema suala la kuchelewa kujengwa kwa uwanja...
View ArticleMADEE ATOA NENO MICHUANO YA MAGUFULI CUP
Madee akizungumza kabla ya kuanza kwa mchezo Mabgufuli Cup #Hapa Kazi Tu Msanii kutoka kundi la Tip Top Connections Madee maarufu pia kwa jina la ‘Rais wa Manzese’ ambao ndio wandaaji wa michuano ya...
View ArticleHUAWEI Y360 HADI SASA IMEFIKA WATU WANGAPI?
Kwa wiki nne mfululizo tumekuwa tukikuwekea hapa baadhi ya Makala kuhusiana na simu ya Huawei Y360 inayouzwa kwa ushirikiano kati ya makampuni nguli ya mawasiliano nchini, Tigo na Huawei. Sababu kubwa...
View ArticleSababu kwanini Uholanzi imeshindwa kufuzu Euro 2016
Wakiwa na kikosi chao cha kizazi cha dhahabu, Uholanzi waliisumbua Spain, timu inayotajwa kuwa bora katika historia ya timu za taifa, mpaka kufikia extra time katika fainali ya kombe la dunia mwaka...
View ArticleKisa cha Santos kutaka Neymar afungiwe miezi 6 hiki hapa
Klabu ya Santos ya Brazil imeripotiwa kutuma maombi FIFA imfungie miezi sita mchezaji wao wa zamani Neymar kwa miezi 6 kama sehemu mambo yao ya kisheria dhidi ya mshambuliaji huyo na klabu yake mpya ya...
View ArticleBORUSSIA DORTMUND VS MAINZ 05 : KOCHA ANARUDI KUPAMBANA NA CLUB YAKE ZAMANI.
Licha ya kufungwa na Bayerm Munich lakini bado Borussia ipo vizuri kwenye msimamo wa ligi ambapo inashika nafasi ya pili kwenye mbio za ubingwa wa Bundesliga. Sasa kesho saa tatu na nusu usiku kupitia...
View ArticleHIVI NI VITU BINAFSI VYA ROBERT LEWANDOWSKI AMBAVYO ULIKUA HUVIJUI
Sasa hivi kila mtu anamjua Lewandowski kwa uwezo wake wake wa kutupia magoli nyavuni kwa idadi kubwa. Hivi hapa ni vitu ambavyo amevisema Lewandowski kuhusu yeye na watu wengi walikua hawavijui....
View ArticleMAGUFULI CUP: GOMS UNITED YAIDUWAZA KAUZU FC UWANJA WA BANDARI
Mshambuliaji wa Goms United akiwa amebebwa juu na mashabiki wa timu yake baada ya kufunga goli la tatu dhidi ya Kauzu FC na kuzima ndoto za Kauzu kusonga mbele kwenye michuano ya Magufuli Cup Timu ya...
View ArticleMechi 8, Assist 1, Zero Goli – Yupo Wapi Fabregas Wa Msimu Uliopita?
Mshangao mkubwa wa Premier League msimu huu ni mwanzo m’baya wa mabingwa watetezi. Baada ya mechi 8, Chelsea wapo kwenye nafasi ya 16 na pointi 8. Wakishinda mechi mbili, sare mbili na wakipoteza 4 –...
View ArticleHII NDIO SINTOFAHAM YA LIGI YA WILAYA TABORA MJINI
Ligi daraja la nne wilaya ya Tabora mjini inayoendelea katika uwanja wa vita imezua manung’uniko kwa baadhi ya vilabu kutokana na mfumo wa uendeshaji wa ligi hiyo. Kubwa ni hatua iliyofikiwa ya timu...
View ArticleWASHAMBULIAJI NI TATIZO, SIMBA IKIIVAA MBEYA CITY
Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Licha ya kusisitiza kuwa straika wake, Pape Ndaw ni mshambuliaji makini na mwenye uwezo mkubwa mkufunzi mkuu wa Simba SC, Dylan Kerr atalazimika ‘kum-bust’...
View ArticleHII NDIO MIKASA NYUMA YA PAZIA INAYOKABILI MAISHA YA MKALI WA NBA ALIYEKUTWA...
Kama wewe ni mpenzi wa michezo hususan basketball au kama ni mfuatiliaji wa burudani hasa linapokuja suala la familia maarufu nchini Marekani ya Kim Kardashian basi jina la Lamar Joseph Odom haliwezi...
View ArticleYANGA VS AZAM, NANI ATAENDELEZA USHINDI 100%?
Winga wa Yanga Godfrey Mwashiuya akiruka kwanja la beki wa Azam FC Agrey Morris wakati wa mchezo wao wa robo fainali ya michuano ya Kagame Cup mwezi Julai, 2015 Na Baraka Mbolembole Kiungo mchezesha...
View ArticleUKIACHANA NA UHOLANZI, HIZI NI TIMU NYINGINE AMBAZO ZIMEWAHI KUSHINDWA KUFUZU...
Usiku Oktoba 13, 2015 ni wa kukumbukwa sana na wapenzi wa soka duniani hasa kwa wale mashabiki wa timu ya taifa ya Uholanzi maarufu kama ‘Orange’. Timu ya taifa ya Uholanzi imeshindwa kufuzu michuano...
View ArticleKUWA MSAIDIZI YANGA NI HATUA KWA MWAMBUSI
Kocha msaidizi wa Yanga Juma Mwambusi (kushto) akiwa sambamba na kocha mkuu wa timu hiyo Hans van der Pluijm Na Simon Chimbo Msimu wa mwaka 2003-04 kocha Mholanzi Martin Jol alikataa ofa ya kuwa...
View ArticleSERIE A CHINI YA UCHUNGUZI WA RUSHWA, NDUGU YAKE BLATTER YUPO NDANI
Nchini Italia michezo ya ligi hiyo (Serie A) itaendelea katika viwanja mbalimbali, kubwa nchini humo ni uchunguzi wa polisi juu ya uuzwaji wa matangazo ya television ya Serie A. Waendesha mashtaka wa...
View Article