Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

NANI ATAWEZA KUIZUIA BAYERN MUNICH….HAWA WATAWEZA KWELI?

$
0
0

baye

Najua swali kama hili mashabiki wa Arsenal watajibu sana kwenye comment kama wao ndio wataweza kuwazuia Bayern Munich na moto walioanza nao kwenye msiu huu wa ligi.

Hapa nazungumzia club gani itaweza kuizuia Bayern kwenye ligi ya BundeSliga baada ya hawa jamaa kucheza mechi 8 za mwanzo na kutoka na point kamili 24. Kama mambo yakiendelea hivi hivi kwa muda wa mrefu basi wanaweza kuonyesha dalili kubwa ya kuwa mabingwa wa mapema sana.

Sasa leo wanakutana na Wender Bremen ambayo ni club yenye ushindani pia ndani ya ligi ya Bundesliga. Matumaini kwa wasioipenda Bayern hasa mashabiki wa Borussia ambao wapo nafasi ya pili wanategemea sana Wender Bremen washinde ili waweze kupunguza tofauti ya points.

Kikosi cha Bayern kipo kamili na hali kama ile ile ya mechi dhidi ya Borussia sasa tusitegemee kuona kiwango kibovu. Majibu ya maswali yetu yote yapo kupitia StarTimes siku ya Jumamosi Octpber 17 ambapo Wender Bremen itacheza dhidi ya Bayern Munich.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>