Yanga wamefanikiwa kumaliza vyema mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara kwa kuwandika Maafande wa Ruvu Shooting kwa mabao 2-1, mchezo uliofanyika katia Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
video ya magoli yote nimekudondoshea hapa chini.