PICHA 2: Omog na Mingange Before and After Prisons vs Simba
Kamera ya shaffihdauda.co.tz ilifanikiwa kuzinasa picha mbili za makocha Joseph Omog na Meja Mingange kabla na baada (before and after) ya mchezo wa Tanzania Prisons na Simba uliochezwa kwenye uwanja...
View ArticleHuu ndio mpango mpya wa Mourinho kwenye kikosi cha Man United
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho ameripotiwa kuwa na mipango ya kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake kufuatia kutoridhishwa na moyo wa kujitolea kwa baadhi ya wachezaji klabuni hapo....
View ArticleJames Harden, anasimika jina lake vichwani mwa mashabiki. Hashikiki.
James Harden anacheza katika kiwango chake bora kabisa cha maisha yake, pengine shukrani zimwendee kocha wake Mike D’Antoni ambaye kambadili na kuwa Point Guard. Harden alikuwa na triple-double kwa...
View ArticleLos Angeles Clippers wa Moto Kweli.
Blake Griffin alikuwa na pointi 22 na rebound 13 rebounds, Chris Paul akaongeza pointi 19 na wote wakaisaidia Los Angeles Clippers kuichapa Portland Trail Blazers 111-80 na sasa wana rekodi bora...
View ArticleWarriors maji kupwaa maji kujaa. Leo Wamejaa.
Klay Thompson siku zote amekuwa akisubiriwa kuonyesha ubora wake. Warriors walionekana kumkosa kwa muda mrefu na hatimaye akajibu alfajiri ya leo. Klay alipata mitupo yake 7 ya kwanza na kuwa na...
View ArticleYanga yamfunga mdomo Masau Bwire, yaichapa Ruvu Shooting 2-1 Uhuru
Wachezaji wa Yanga Obrey Chirwa (kushoto) na Simon Msuva wakimpongeza Haruna Niyonzima (katikati) baada ya kuifungia timu yao bao la pili na la ushindi katika mchezo wa leo dhidi ya Ruvu Shooting...
View ArticleYANGA WALIVYOMALIZA MZUNGUKO WA KWANZA WA LIGI KWA KUIMALIZA RUVU SHOOTING.
Yanga wamefanikiwa kumaliza vyema mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara kwa kuwandika Maafande wa Ruvu Shooting kwa mabao 2-1, mchezo uliofanyika katia Uwanja wa Uhuru jijini Dar es...
View ArticleBrazil waichimbia kaburi Argentina
Brazil wametoa kipigo kikali dhidi ya mahasimu wao Argentina kwa kuwafunga mabao 3-0 kwenye mchezo wa kuwania kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Russia uliofanyika Uwanja wa...
View ArticleGolden State Warriors gari yaanza kushika kasi.
Steve Kerr, kocha wa Golden State Warriors yupo makini sana kwa sasa. Hajali rekodi bali hali ya timu yake kwa sasa. Alfajiri ya leo, Kevin Durant alihitaji kikapu kimoja tu kuendeleza rekodi yake ya...
View ArticleWenger aonya juu Alexis Sanchez na Chile
Ilikua inajulikana kwamba mchezaji Sanchez ana tatizo la calf peke yake, Wenger ametoa taarifa zaidi kwamba mchezaji huyo ana matatizo zaidi ya hilo. Boss wa Chile Antonio Pizzi amesema kwamba Sanchez...
View ArticleAUDIO: Tutatumia mchezo dhidi ya Zimbabwe kujipandisha FIFA – Bocco, Mkwasa
Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) leo mchana kimeondoka nchini kuelekea mjini Harare nchini Zimbabwe tayari kwa mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya nchi hiyo...
View ArticleVIDEO: Rekodi 5 zilizowekwa baada ya ushindi wa England vs Scotland
Kocha wa England Gareth Southgate baada ya kupewa mkataba wa kudumu kama kukinoa kikosi cha Simba watatu, usiku wa November 11 alikongoza kupata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Scotland katika mchezo...
View ArticleVIDEO: Lewandowski alivyozimishwa na mashabiki
Mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski ilibidi apatiwe matibabu baada ya kupigwa na flare (fataki) lililotupwa na mashabiki wake wa nyumbani na kulipuka karibu yake wakati wa mchezo wa kutafuta...
View ArticleGnabry aizodoa Arsenal Ujerumani ikitoa kipigo cha mbwa mwizi
Kiungo wa zamani wa Arsenal Serge Gnabry amefunga hat-trick yake ya kwanza wakati Ujerumani ikiifedhehesha timu ya taifa ya San Marino kwa kipigo cha magoli 8-0 wakati wa mchezo uliokuwa wa upande...
View ArticleCristiano Ronaldo azungumzia Ballon d’Or.
Star wa Real Madrid Cristiano kwa kiasi kikubwa ana nafasi ya kushinda tuzo maarufu ya Ballon d’Or inayofuata kutokana na perfomance yake kwenye msimu uliopita. Mchezaji huyu mwenye miaka 31...
View ArticleBenzema anazidi kujiongezea magari makali.
Ukiwa na pesa nyingi basi lazima utafanya vitu flani ambayo vinakufurahisha ili maisha yako yawe vizuri kabisa kutokana na kipato unachoingiza. Kwa upande wa Karim Benzema ni mpenzi mkubwa sana wa...
View ArticleRio Ferdinand asema Cristiano ni mkali zaidi ya Ronaldinho
Mchezaji wa zamani ambaye sasa hivi amekua ndugu mchambuzi wa michezo amekua aki make headline na maneno yake mengi sana hasa akiwa anazungumzia mastaa wenzake wa soka. Rio akiwa kwenye mahojiano na...
View ArticleReal Madrid watuma scouts kumcheki Marcus Rashford
Kwa historia ya Manchester united na Real Madrid ni kitu cha kawaida kwa mastaa wa club hizi mbili kuhama kwenda moja kati ya hizi club. Sasa kwenye mechi ambayo England imeshinda, imeripotiwa kwamba...
View ArticleRonaldo De Lima amtaja mchezaji bora aliyewai kucheza nae.
Ronaldo De Lima amecheza na wachezaji wengi sana wakali na wameshafanikiwa kushinda mataji mengi sana pamoja. Kwa mashabiki wanaweza kufikiria kwamba ni ngumu sana kwa Ronaldo kumtaja mchezaji gani...
View Article