Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Klabu ya Young Star Club ya Sudan Kusini yavamiwa na watu wenye silaha.

Basi liliokuwa limebeba wachezaji wa klabu ya Sudani Kusini, Young Star Club walivamiwa na watu wasiojulikana wenye silaha wakiwa njiani kuelekea nyumbani kwao Torit ikiwa ni umbali wa takribani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zimbabwe vs Stars itakuwa live on Azam TV

Jumapili November 13 timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itakuwa ugenini ikicheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Zimbabwe mjini Harare. Kituo cha Azam TV kupitia channel zake za Azam TWO...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Exclusive: Hali ya Chidiebere ikiwa ni siku 32 baada ya kuvunjika taya

Mke wa Chidiebere aliamua kumchukua mumewake kutoka Shinyanga na kumpeleka Mwanza (kwenye nyumba yao) ili amuuguze kwa ukaribu zaidi Jumatano October 12 mwaka huu huenda ikawa siku mbaya kupata kutokea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Arsene Wenger agonga mwamba

Inaonekana uhusiano kati ya club ya Arsenal na timu ya taifa ya Chile hauoo vizuri kutokana na kushindwa kuelewana kutokana na ishu ya mchezaji wao Alexis Sanchez. Mapema wiki hii Kocha Wenger alituma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Usain Bolt na ndoto za soka…ameanza ku-train na Borussia.

Akiwa na umri wa miaka 30 na medali za dhahabu lakini bado anaishi na ndoto za kucheza soka la kulipwa tangu zamani. Bolt ambae ni shabiki mkubwa wa Manchester united, alionyesha hamu yake ya kucheza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Memphis Depay huyooo kwenye Club hii ya EPL.

Memphis Depay ambae ameonekana hana nafasi kabisa kwenye kikosi cha Jose Mourihno labda atafuata hili chaguo ili apate nafasi ya kucheza. Hata striker wa zamani wa United Robin van Persie amecheza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tetesi za January : Chris Smalling yupo kwenye target ya Arsenal.

Kwenye habari ambayo ambayo watu wengi wanaweza kuona kama ni kitu ambacho inawezekana isitokee, lakini tetesi za kutoka za usajili ni kwamba Arsenal wanaweza kutoa ofa ya kumsajili mchezaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkwasa ametaja sababu ya Stars kudoda Zimbabwe

Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Charles Boniface Mkwasa amesema timu yake imepoteza kwa bahati mbaya mchezo dhidi ya Zimbabwe huku akitaja magoli mawili ya haraka ya kipindi cha kwanza na kipindi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Olivier Giroud ana njia mbili za kutoka Arsenal.

Frenchman Olivier Giroud ni chaguo la pili la kocha Arsene Wenger ambae mara nyingi huchagua kumtumia Sanchez kama central striker. Ripoti moya kuelekea January ni kwamba Giroud kama anataka kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dalili ziko wazi Depay kusepa Manchester United.

Juzi nilikupa habari kuhusu kocha wa Everton kuonyesha uhutaji wake wa service ya Memphis Depay kwenye kikosi chake. Depay sasa hivi amekua anahusishwa sana na Everton hadi club yenyewe imeanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Donald Trump na Arsenal

Vyombo vikubwa vya habari huko Ufaransa vimeingia kwenye aibu ya muda mfupi kwa kuparamia habari ambazo baadae iliwabidi wazitoe kwenye mitandao yao. Sio Ufaransa peke yake hata mitandao mikubwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Cazorla ampa mbwa wake jina la mchezaji wa Manchester

Kupitia channel ya Youtube ya Arsenal, kuna video mbalimbali zinawekwa zikionyesha maisha ya wachezaji wa Arsenal. Kwenye moja ya kipengele cha channel hiyo inamuonyesha mchezaji Santi Cazorla akijibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sanchez aingia mazoezini na “Bandage”

Moja ya story kubwa weekend hii ni mvutano kati ya Arsene Wenger na kocha wa timu ya taifa ya Chile kuhusu mchezaji Alex Sanchez. Kama ilikupita ni kwamba upande wa Wenger anataka mchezaji huyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Cleveland On Fireee

LeBron James hakumuhitaji Kevin Love au Kyrie Irving ili kumaliza mchezo dhidi ya Charlotte Hornets na hii hutokea kwa vilabu vichache ambavyo wachezaji wake wanaaminiana. James,alikuwa ndiye mchezaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Warriors waonyesha wanachomaanisha.

Kuna kila ukweli kuwa klabu ya Golden State Warriors inahofiwa kutokana na wachezaji wake nyota ambao wakiwa katika fomu na viwango vyao haishikiki hasa katika ushambuliaji. Alfajiri ya leo almanusura...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

‘Mafundi’ wa kuchezea mpira hii ni fursa yenu

Jacob Mbuya Mratibu wa mashindano ya Freestyle Football Tanzania Freestyle Football Tanzania kwa kushirikiana na kipindi cha Sports Bar cha Clouds TV wamezindua rasmi sindano la kumtafuta bingwa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jicho la 3: Jicho langu la 3, litaona vibaya ila halitakosea katika Simba SC...

Na Baraka Mbolembole Kitu muhimu katika maisha ni uhai, muda ni jambo maalumu. Katika mipango ya mafanikio uvumilivu ni jambo la kipekee, hekima na busara. Ulimsikiliza mwenyekiti wa Kamati ya usajili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Awadh Juma amewataja ‘wanaompoteza’ Simba

Mtandao wa boiplus.blogspot.com umeripoti kuwa, viwango bora vya viungo wapya wa  Simba, Mzamiru Yassin na Mohamed Ibrahim ndivyo vinavyompa presha kubwa Awadh Juma anayecheza nafasi hiyo huku tayari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wawa kaikacha Azam FC

Habari zinazidi kusambaa kwa kasi kupitia mitandao ya kijamii kwamba beki wa kati wa Azam Pascal kurejea kwenye timu yake ya zamani ya El Emerreikh ya Sudan kwa mkataba wa miaka miwili. Raia huyo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nje ya pitch:  Acha Calisto Paswa awe na jeuri kuwaacha kina Donald Ngoma

Na Athumani Adam Siku ya Jumapili iliyopita timu ya taifa ya mpira miguu ya Tanzania, Taifa Stars ilikuwa kule nchini Zimbabwe kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya nchi hiyo. Zimbabwe...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>