Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Zimbabwe vs Stars itakuwa live on Azam TV

$
0
0

img-20161112-wa0043-2

Jumapili November 13 timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itakuwa ugenini ikicheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Zimbabwe mjini Harare.

Kituo cha Azam TV kupitia channel zake za Azam TWO na Azam Sports HD zitaonesha mtanange huo moja kwa moja (mubashara) kuanzia saa 10:00 jioni saa za Afrika Mashariki.

Lipia kifurushi chako sasa ili usipitwe na mechi kali zitakazooneshwa weekend hii na kuanzia wiki ijayo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>