Safari ya Sturridge kuachana na Liverpool imeiva
Akiwa bado hajafunga bao hata moja hadi sasa kwenye ligi ya England (EPL), striker wa Liverpool Daniel Sturridge huenda akaachana na kikosi cha Jurgen Klopp. Alitupia kambani wakati England ikiibuka...
View Article‘Nimepona ila siwezi kusaini timu yoyote hivi sasa – Mazanda’
Na Baraka Mbolembole KIUNGO ‘maestro’ Steven Mazanda ametupilia mbali mpango wa kusaini timu yoyote katika dirisha hili la usajili Tanzania Bara na badala yake amejipa muda zaidi wa kupumzika hadi...
View ArticlePep Guardiola anawapangia ratiba ya kufanya mapenzi wachezaji.
Mchezaji Samir Nasri amezungumza jinsi gani kocha Pep alifanikiwa kuwafundisha Messi na Lewandowski na kupata matokeo mazuri kwa wachezaji hao. Nasri amesema kocha huyo amefanikiwa kwa kufanya mambo...
View ArticleSimba waje tuzungumze kuhusu kipa wetu Owen Chaima – Dismas Ten
Na Baraka Mbolembole KOCHA mkuu wa Mbeya City FC, Mmalawi, Kinnah Phiri amenukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari akisema timu yake itaachana na golikipa, Juma Kaseja baada ya kumaliza mzunguko wa...
View ArticleLos Angeles Clippers hawashikiki.
Wana kila sababu ya kujivunia kama klabu bora kwa sasa kwenye NBA. Takwimu hazijadanganyi kwa upande wao. L.A Clippers imetimia kwa maana ya wachezaji wake kufanya kile wanachotakiwa kufanya kwa...
View ArticleVIDEO: Wawa ametaja kisa cha kuitosa Azam
Jumatatu November 14, picha za beki wa kati wa Azam FC Pascal Wawa zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii zikionesha nyota huyo raia wa Ivory Coast akisaini mkataba wa kurejea kwenye timu yake ya...
View ArticleHans Poppe amkingia kifua Mavugo
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya klabu ya Simba Zacharia Hans Poppe amewaondoa hofu mashabiki wa klabu hiyo juu ya mshambuliaji wao kipenzi Laudit Mavugo na kuwasisitiza kutulia na kusubiri matunda...
View ArticleVIDEO: Messi alivyopiga bao la ‘hatari’ Argentina vs Colombia
Matumaini ya Argentina kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2018 bado yapo mashakani lakini Leo Messi ameonekana kupambana kuhakikisha timu yake inakwenda Russia. Akiwa amerejea kutoka kustaafu soka, nyota...
View ArticleVIDEO: Spain ilivyoinyang’anya ushindi England dakika za usiku
Ulikuwa ni mchezo wa kirafiki, lakini huenda kocha wa England Gareth Southgate hakufurahishwa na kikosi chake kushindwa kulinda ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Spain. Kiungo wa Real Madrid Isco alifunga...
View ArticleVIDEO: Goli mbili za Sanchez zilivyomnyamazisha Suarez (Chile vs Uruguay)
Star wa Chile Alexis Sanchez hakuwepo kwenye kikosi kilichotoka suluhu na Colombia Alhamisi iliyopita lakini usiku wa jana alikuwa fiti kwenye mechi muhimu dhidi ya Uruguay ya kutafuta tiketi ya...
View ArticleMatteo Darmian hamuelewi-elewi Mourinho
Matteo Darmian haelewi kwanini mpaka sasa kocha Jose Mourinho amekuwa hana imani naye na kumpa nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza cha Manchester United. Kwa sasa Darmian amekuwa mnufaika wa...
View ArticleAngban, Manyika, kuletewa mgeni, Mavugo, Ajib, wajipange
Katibu Mkuu wa klabu ya Simba Patrick Kahemele amethibitisha kuwa, kocha wa klabu hiyo Joseph Omog alihitaji golikipa mwenye uzoefu kabla ya kuanza kwa msimu huu lakini klabu hiyo ilikwama pale...
View ArticleSio mapenzi tu, yajue mambo 5 yalioanzishwa na Pep Guardiola kwenye soka
Na Athumani Adam Kiungo wa Manchester City anayecheza kwa mkopo kwenye klabu ya Sevilla ya kule nchini Hispania, Samir Nasri siku mbili zilizopita alitoa siri ya kocha wake Pep Guardiola kuwakataza...
View ArticleEmmanuel Okwi ni biashara ‘kichaa zaidi’ Simba
Na Baraka Mbolembole MIEZI 18 iliyopita Simba SC ilimuuza mshambulizi, Mganda, Emmanuel Okwi kwa ada ya uhamisho dola za Marekani 110,000 kwenda timu ya Sonderjyske ya nchini Denmark. Akiwa amecheza...
View ArticleBarca walamba dili nono jipya kutoka kwa kampuni la kijapan
Barcelona wametangaza kupata dili jipya la udhamini wa miaka minne kutoka kampuni ya Biashara ya Kijapani ya Rakuten ambayo itachukua nafasi ya Qatar Airways kama mdhamini wa jezi kuanzia msimu ujao....
View ArticleMan United vs Arsenal: Mourinho ana sufuria, Wenger ana mwiko nani ataivisha...
Mapambano katika vita sikuzote ni kuhakikisha tusitegemee katika kuamini kuwa, adui hata kuja upande wetu lakini tumsome na kujifunza kumpokea pale anapowasili. Usiwaze kuwa hatokushambulia kwanza...
View ArticleBrazil yakwea nafasi ya pili.. viwango vipya vya FIFA
Argentina watabaki kileleni kwenye viwango vya FIFA siku ambayo msimamo mpya utakapotoka Nov. 24, lakini Brazil ndio imekuja vingine na inaonekana kuja kwa kasi na itapanda mpaka nafasi ya 2. Brazil...
View ArticleTetesi : Theo Walcott anaweza kukosa mechi ya Manchester.
Umekua mwanzo mzuri wa msimu kwa Walcott ambae alianza kwa maswali mengi kutoka kwa mashabiki kwa nafasi yake ndani ya club hiyo. Hatimaye aliweza kuwanyamazisha kwa kufanya vizuri baada ya kufunga...
View ArticleWarriors waharibu Usiku wa Drake…
Klabu ya Golden State Warriors haikujali kama Toronto Raptors waliuandaa usiku wa kuamkia leo kuwa usiku wa Drake. Walimaliza kazi waliyotakiwa kuifanya. Ikumbukwe kuwa rapa huyu raia wa Canada ambaye...
View ArticleWenger asema hajasahau alichofanya Rashford mwaka jana.
Tukielekea kwenye mechi ya Manchester Vs Arsenal kuna habari nyingi zinatokea. Moja ya habari kubwa ya leo ni kuhusu Wenger alivyomzungumzia mchezaji Rashford. Akizungumza kwenye press kuhusu kikosi...
View Article