Justice Majabvi kaeleza sababu iliyomfanya aondoke Simba SC
Mtandao wa Millardayo.com umeripoti kuhusu sababu iliyotolewa na mchezaji wa zamani wa Simba Justice Majabvi kuamua kuachana na klabu hiyo ya msimbazi licha ya kufanya vizuri kwenye mechi ligi kuu...
View ArticleKlopp aichimba mkwala Barcelona kuhusu Coutinho
Moja ya habari ya moto kuhusu swala zima la uhamisho ni kuhusu tetesi za Countinho kuhusishwa na ishu ya kutakiwa na Barcelona. Tetesi hizi zimepamba moto baada ya mchezaji wa zamani wa Barca Xavi...
View ArticleHabari mbaya kwa Arsenal kuhusu Hector Bellerin
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amethibitisha kwamba Hector Bellerin anatarajiwa kuwa nje kwa wiki nne baada ya kupata majeraha katika mchezo dhidi ya Tottenham. Beki huyo wa kulia Mhispania aliumia...
View ArticleRais wa Barcelona amesema hivi kuhusu tetesi za mkataba wa Messi.
Lionel Messi anamaliza mkataba wake wa sasa ifikapo 30 JUne 2017, kutokana na ripoti za gazeti la Marca mchezaji huyo mwenye miaka 29 anaweza kusepa. Messi ambaye analipwa pesa nyingi zaidi kwenye...
View ArticleWayne Rooney aomba radhi kwa picha zake kusambaa
Wayne Roonye ameingia kwenye vichwa vya habari siku hizi mbili zilizopita kutokana na picha zake kusambaa akiwa ameonekana kalewa. Picha hizo zinamuonyesha Rooney akiwa amelewa na mashabiki zilitolewa...
View ArticleUamuzi wa Azam FC kuhusu Kipre Balou
Klabu ya Azam FC imethibitisha kwamba, haitoendelea na mchezaji wao Michael Balou ambaye mkataba wake unamalika katika klabu hiyo ya inayoshikilia ubingwa wa AFrika Mashariki na Kati (Cecafa Kagame...
View ArticleMamilioni watakayopoteza Man United wakimaliza nje ya Top Four
Msimu uliopita Man United ilisaini deal la miaka 10 na kampuni ya michezo ya Adidas ya Ujerumani. Udhamini ambao unatajwa kuwa na thamani ya pound milioni 750. Man United ilithibisha kwamba, malipo ya...
View Article#MadridDerby – Miaka 3 bila ushindi vs Atletico: Zidane + BBC wana kazi nzito...
Katika mchezo vs Atletico Madrid jumamosi hii, Real Madrid na Zinedine Zidane kwa mara nyingine watakuwa wakitegemea silaha zao za ushambuliaji kupata ushindi muhimu katika Derby na kujiongezea wa...
View ArticleJicho la 3: Baada ya kuwasaini, Lwandamina, Hans van der Pluijm, Yanga itatisha…
Na Baraka Mbolembole SIJUI uwezo wa kocha mpya wa Yanga SC, Mzambia, George Lwandamina lakini naamini kitendo cha uongozi wa timu hiyo kumng’ang’ania na kumshawishi mkufunzi raia wa Holland, Hans van...
View ArticleMapya yaibuka kuhusu kijana aliyesimamishwa na TFF kwa tuhuma za kusaini timu...
Na Baraka Mbolembole SIKU chache baada ya Shirikisho la soka nchini-TFF kumsimamisha mchezaji, Christopher Paschal Mshanga aliyeichezea Kagera Sugar U20 vs Yanga SC katika mchezo wa ufunguzi wa ligi...
View ArticleVIDEO IMEVUJA: Hotuba ya Ronaldo dressing room baada ya kutwaa Euro 2016
Ureno kutwaa kombe la Euro mwaka 2016 iliwashangaza wengi. Timu hii haikupata ushindi hata kwenye mechi moja katika hatua ya makundi, kitu ambacho kingewafanya utupwa nje ya mashindano kwenye fainali...
View ArticleKauli za Mourinho na Wenger kuelekea mchezo wa Man United vs Arsenal jioni ya...
Ligi kuu ya England leo imerejea tena baada ya kupisha wiki ya michezo ya timu za taifa mbalimbali kwa mujibu wa kalenda ta Fifa duniani. Urejeo wake umekuja na utamu wa aina yake pale jioni ya leo saa...
View ArticleTop 10 ya ma-star wa soka wanaomiliki mijengo ghali zaidi duniani
Kwa hakika mchezo wa soka unawalipa sana wanachezaji na hiyo imewafanya wengine kumiliki mijengo ya maana pengine sawa na matajiri wengine wakubwa duniani. Hapa tunaangalia mijengo 10 ya wachezaji ya...
View ArticlePep Guardiola: Ni ngumu kuwa mcheza soka mzuri kama hau-sex na partner wako.
Samir Nasri alisema kitu ambacho kili make headline kubwa wiki hii kwamba manager Pep huwa anawambia wachezaji wafanye mapenzi kabla ya usiku wa manane ili wapate muda mrefu wa kupumzika. Nasri sasa...
View ArticleTetesi za January: Antoine Griezmann kuelekea Manchester United.
Rais wa Real Madrid Enrique Cerezo ameendelea kupangua nafasi za mchezaji wa Griezmann kuhama club hiyo ukifika muda dirisha dogo mwezi January. Mchezaji huyu ambae alifanya vizuri kwenye michuano ya...
View ArticleBest Quote za uadui kati ya Wenger na Mourinho.
Jose Mourinho na Wenger leo wanaziongoza timu zao kucheza mechi nyingine kwenye ligi ya England. Sasa kutokana na historia ya ugomvi wao wa maneno hizi hapa ni Quote ambazo zimetokana na maneno kati...
View ArticleHawa ndio watu 6 ambao Ronaldo hatawasahau kwenye maisha ya soka hadi sasa.
Kila mtu anafika kwenye level ya juu ya mafanikio kwa juhudi zake na pia kwa msaada wa watu wake wa karibu. Cristiano Ronaldo leo hii anaonekana kuwa ni mchezaji wa kiwangi cha juu lakini hawa hapa ni...
View ArticleMessi awalipa walinzi wa Argentina kwasababu chama hakijawalipa.
Chama cha soka cha Argentina hakijawalipa walinzi wa timu kwa muda wa miezi sita lakini walinzi hao wakuacha kufanya kazi. Kazi yao ilikua ni kulinda kikosi hicho kiwe salama kokote wanapoenda....
View ArticleAzam FC: ‘Subirini moto, tutakuwa tishio eneo la ushambuliaji’
Habari na AzamFc.com NYOTA mpya wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Samuel Afful, ameweka wazi kuwa kikosi hicho kitakuwa moto kuelekea michuano mbalimbali itakayoshiriki kuanzia...
View ArticleWenger na Mourihno wapeana mikono kiukavu
Kila mtu anajua kwamba Wenger na Mourinho hawapatani kwa muda mrefu sana kutokana na maneno walikua wanatupiana. Lakini kabla ya mechi ni kitendo cha kiungwana kupeana mikono kwa managers. Siku ya leo...
View Article