Tukio hili lilistahili kuwa ‘tuta’?
Lilikuwa ni tukio ambalo liliacha maswali mengi kwa wadau wa soka kwa ni penati au haikuwa penati? Hiyo ilikuwa ni katika mchezo kati ya Manchester United dhidi ya Arsenal kwenye uwanja wa Old...
View ArticleMashabiki wa Arsenal wamefurahia Ramsey kumcheka Mourinho
Inaonekana kama Mourinho alikuwa kituko kwenye uwanja wa Old Trafford kwasababu vitendo vyake vilimfanya mchezaji wa Arsenal Aaron Ramsey ashindwe kujizuia kucheka mbele ya sura ya Mourinho. Jose...
View ArticleGoli la Giroud limevunja rekodi ya Mourinho ya miaka tisa
Giroud amekuwa mchezaji wa kwanza wa Arsenal kufunga bao dhidi ya timu inayofundishwa na Mourinho ndani ya Premier League tangu May 2007 ambapo Gilberto Silva alifunga kwenye sare ya 1-1 dhidi ya...
View ArticlePICHA 4: MalimiBusungu alivyonusurika kwenye ajali mbaya
Jumamosi ya November 19 jioni, zilisambaa picha kwenye mitandao ya kijamii zikionesha mshambuliaji wa Yanga Malimi Busungu amepeta ajali mbaya. Katika ajili hiyo, Busungu alitoka salama salimini licha...
View ArticleRonaldo amevunja rekodi ya Madrid derby
Cristiano Ronaldo amefunga hat-trick yake ya 39 iliyoipa Real Madrid ushindi kwenye mchezo wa Madrid derby dhidi ya mahasimu wao Atletico Madrid na kuwafanya waongoze kwenye msimamo wa La Liga Raia...
View ArticlePICHA 10: Wadau wa Mbagala walivyoshuhudia game ya Man United vs Arsenal
Jana Jumamosi November timu nzima ya shaffihdauda.co.tz iliungana na ile ya Sports Extra ya Clouds FM kwenda kushuhudia mechi mbalimbali za ligi za Ulaya zilizopigwa kuanzia saa 9:30 alasiri. Tulikuwa...
View ArticleMdau kasafiri kutoka Vikindu ili ashuhudie Sports Extra ikiruka ‘Live’ Mbagala
Watangazaji wa kipindi cha Sports Extra cha Clouds FM, kutoka kushoto ni Edger Kibwana, Alex Luambano, Issa Maeda na aliyesimama nyuma (mwenye T-shirt ya blue) ni Yahaya Mohamed ‘Mkazuzu’ Malata John...
View ArticleHii ndiyo siri ya Mama Yanga ‘kuzima’ uwanjani Yanga ikifungwa
Shabiki wa klabu ya Yanga anayefahamika kwa jina maarufu la Mama Yanga, amefichua siri ambayo huenda wengi huwa wanajiuliza bila kupata majibu sahihi na kubaki na maswali mengi vichwani mwao. Mama...
View ArticleDogo aliyezaliwa mwaka 2000 ameweka rekodi Serie A
Moise Kean amekuwa mchezaji wa kwanza aliyezaliwa mwaka 2000 kucheza kwenye moja ya ligi nne bora barani Ulaya baada ya kuingia kwenye mchezo wa Juventus dhidi ya Pescara. Kinda huyo wa miaka 16...
View Article10 Wafuzu majaribio Azam FC U-17 Mbeya
VIJANA 10 wenye umri chini ya miaka 17, wamefanikiwa kuchaguliwa kwenye majaribio ya wazi yaliyoendeshwa na Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, jana Jumamosi katika Uwanja wa Sokoine,...
View ArticleManeno ya Mourinho kuhusu msimu wa mwisho wa Carrick
Kama unakumbuka nilikupa habari ya Carrick kusema kwamba anadhani huu utakua ni msimu wake wa mwisho ndani ya OT. Carrick alisema hayo akielezea pia kuja kwa damu changa kwenye kikosi cha manager Jose...
View ArticleStyle mpya ya kushangilia ya Ronaldo yazua gumzo mtandaoni.
Ilikua ni Jumamosi nzuri kwa Cristiano Ronaldo baada ya kufunga hatrick yake ya 39 tangu aanze kucheza soka la kulipwa. Ronaldo alipiga magoli yote matatu kwenye mechi dhidi ya Atletico kwenye mechi...
View ArticleTevez Kuwa Mchezaji Anayelipwa Zaidi Duniani.
Carlos Tevez atakuwa anafikisha miaka 33 mwezi February 2017, lakini ofa kutoka katika ligi kuu ya China maarufu kama Chinese Super League inaweza kumfanya akasherekea siku yake ya kuzaliwa kama...
View ArticleSuso Kutembea Kwa Mguu Umbali Mrefu Kutimiza Ahadi.
Mapema wiki hii kiungo mshambuliaji wa klabu ya Ac Milan, Suso alitoa ahadi kuwa angetembea kwa mguu kurudi nyumbani iwapo kama angefunga magoli mawili na kuendelea dhidi ya wapinzani wao Inter Milan...
View ArticleSamir Nasri aliniletea watu wanipige shoti nipooze – William Gallas
Samir Nasri na William Gallas waliwahi kucheza wote katika klabu ya Arsenal huku wakiwa wote kwa nyakati kadhaa katika timu ya Taifa, ingawa mahusiano yao yalikuja kuingia doa mwaka 2008 siku ambayo...
View ArticleAbdi Banda aaga Msimbazi
Ujumbe ambao unaenea kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu post ya mchezaji kiraka wa Simba Abdi Banda ambaye inaonesha amepost ujumbe kwenye account yake ya Instagram unaoashiria safari yake...
View ArticleMourinho ametoa sababu ya kutomuanzisha Rooney kwenye mchezo dhidi ya Arsenal
Jose Mourinho ameeleza sababu ya kumwacha Wayne Rooney kwenye benchi katika mchezo dhidi ya Arsenal na kusema sababu kubwa ni kwamba mchezaji huyo anacheza taratibu sana. Rooney alikuwa moja ya...
View ArticleTaarifa mpya kutoka uongozi wa Simba SC
Uongozi wa Simba SC kupitia kwa afisa habari wake Haji Manara, umetoa taarifa kwa wanachama wake kuwajulisha kuhusu mkutano mkuu wa dharura kwa ajili ya kurekebisha katiba yao utakaofanyika December...
View ArticleViatu vya Curry 3 vyafanya vibaya sokoni.
Taarifa za kibiashara zinaripoti kuwa kampuni ya Under Armour imepoteza takribani kiasi cha dola za Kimarekani milioni 600 ($600m) ya thamani yake kama kampuni mpaka kufikia Ijumaa, huku stoko yake...
View ArticleMatokeo ya Jumla ya NBA, Novemba 20.
Final 1 2 3 4 ATL9-4 20 21 25 28 94 NYK6-7 24 22 29 29 104 Watch Highlights Box Score ATL NYK PTS 4Paul Millsap 19 7Carmelo Anthony 31 REB 8Dwight Howard 18 6Kristaps Porzingis 11 AST 24Kent Bazemore...
View Article