Simba haijaacha wala haijasajili mchezaji – Manara
Klabu ya Simba SC imesema haijaacha mchezaji yeyote wala kusajili mchezaji yeyote hadi sasa, kama wakifanya hivyo watatoa taarifa rasmi kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wao. Msemaji wa Simba Haji...
View ArticleNje ya pitch: Ni wakati wa Azam kutathimini upi mfumo sahihi wa kujenga timu
Na Athumani Adam Juzi kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya benchi la ufundi la klabu ya Azam liliendesha majaribio na hatimaye kuwapata wachezaji kumi ambao wataungana na wengine hamsini kutoka mikoa...
View ArticleRonaldo: Kutoka kuishi hostel mpaka kumiliki Pestana CR7 Hotels
Mnamo mwaka 2001, kijana wa miaka 16 Cristiano Ronaldo alikuwa akipanda treni kutoka hostel mpaka mazoezini kila siku, wakati huo akiwa mchezaji wa Sporting CP Academy – akiwa na matumaini ya kupata...
View ArticleKauli ya Kiganja kuhusu Mkutano Mkuu wa dharura wa Simba
Mohamed Kiganja-Katibu Baraza la Michezo Tanzania Siku moja baada ya klabu ya Simba kutangaza mkutano mkuu wa dharura kwa ajili ya kufanya mabadiko ya katiba yao, Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo...
View ArticlePluijm akumbana na rungu la TFF
Kocha wa Yanga, Hans van Pluijm amepigwa faini ya sh. 500,000 na kufungiwa mechi tatu baada ya wakati wa mapumziko kuwazonga waamuzi na kuwatolea maneno ya kashfa. Pia baada ya mechi kumalizika...
View ArticleSimba yapigwa faini
Mechi namba 60 (Tanzania Prisons Vs Simba). Klabu ya Simba imepigwa faini ya sh. 500,000 kutokana na timu yake kuchelewa kwenye kikao cha maandalizi ya mechi (pre match meeting) na kufika wakati...
View ArticleSaanya na wenzake waendelea kuchunguzwa
Uchunguzi dhidi ya waamuzi Martin Saanya, Samuel Mpenzu (mechi ya Yanga Vs Simba), Thomas Mkombozi (mechi ya Coastal Union Vs KMC) na Rajab Mrope (mechi ya Mbeya City na Yanga) umekaribia kukamilika....
View ArticleKocha wa Azam afungiwa mechi tatu
Zeben Hernandez (kulia) kocha mkuu Azam FC Mechi namba 116 (Mbao FC Vs Azam FC). Kocha wa Azam FC, Zeben Hernandez amefungiwa mechi tatu na faini ya sh. 500,000 baada ya kuondolewa kwenye benchi la...
View ArticleTFF yatoa adhabu matukio ya kinidhamu VPL
MATUKIO YA LIGI KUU Mchezo namba 90 (Simba Vs Toto Africans). Klabu ya Toto Africans imepewa onyo kali kutokana na timu yake kuchelewa kufika uwanja kwa dakika saba. Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa...
View ArticleSamatta atemwa tuzo za Caf
Shirikisho la soka barani Africa (Caf) limetoa orodha ya majina ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika mwaka 2016, jina la mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta halipo...
View ArticleKinachoendelea Twitter baada ya Spurs kutupwa nje UCL
Tottenham Hotspur wameendelea kuudhihirishia ulimwengu namna gani michuano mikubwa kama Ligi ya Mabingwa Ulaya si saizi yao licha kuwa na kikosi bora msimu huu. Kwa mara nyingine tena wameshindwa...
View ArticleBorussia Dortmund ilivyozisambaratisha rekodi za Champions League
Borussia Dortmund na Legia Warsaw wameandika historia kwenye kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya baada ya mchezo wao kwa kuzalisha jumla ya magoli 12 usiku wa Jumanne Novemba 22. Kikosi cha...
View ArticleCristiano Ronaldo ameamua kujiweka kwa model wa Madrid
Jarida la udaku la Italia linalofahamika kwa jina la Chi limezifuma picha mpya za superstar wa Madrid Cristiano Ronaldo akiwa amerejea tena kwenye game ya mahusiano. Hivi karibuni Ronaldo alimwagana...
View ArticleBale hatihati kuikosa El Clasico Desemba 3
Bosi wa Real Madrid Zinedine Zidane amekiri kwamba Gareth Bale anaweza kuukosa mchezo wa El Clasico baada ya kuumia jana katika mchezo dhidi ya Sporting Lisbon. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Wales...
View ArticleMaamuzi mapya ya Ivo Mapunda baada ya kimya kirefu
Ivo Mapunda ambaye ni golikipa wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania na vilabu vikongwe nchini vya Simba na Yanga ameamua kurejesha uwezo wake uwanjani kwa kuwajenga vijana wadogo kwa kwa ajili ya...
View ArticleAchaneni na migogoro ya Simba na Yanga, igeni kutoka Azam FC – Makonda
Akiwa kwenye ziara yake inayofahamika kama Dar Mpya, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda Novemba 22 alitembelea makao makuu ya klabu ya Azam FC yaliyopo Chamazi wilayani Temeke. Katika ziara...
View Article‘Ronaldo ana maadui wengi nchini kwake’
Paulo Futre amesisitiza kuwa mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ana maadui wengi sana katika nchi yake, huku idadi kubwa ya raia wa nchi hiyo wakidaiwa kupenda Messi ashinde tuzo ya Ballon...
View ArticleTetesi za Drogba kurejea Stamford Bridge
Baada ya legend wa Liverpool Steven Gerrard, ikafata zamu ya mkongwe wa Chelsea Frank Lampard. Siku ya Jumatano asubuhi Novemba 23 Didier Drogba ameungana na makamanda hao wa Premier League kutangaza...
View ArticleHuenda Neymar akahukumiwa miaka miwili jela
Huenda Superstar wa Barcelona Neymar Jr akaenda jela kutokana na adhabu ambayo imependekezwa na mwendesha mashtaka wa Hispania baada ya mchezaji huyo wa Brazil kuhusishwa na rushwa wakati wa uhamisho...
View ArticleAUDIO: Hatutacheza dhidi ya Yanga kama waamuzi hawatatoka nje ya nchi- Manara
Uongozi wa klabu ya Simba umesema, haukotayari timu yao kucheza dhidi ya Yanga kama mchezo wao utachezeshwa na waamuzi wa ndani (Tanzania). Afisa habari wa Simba Haji Manara amesema, Simba ipo tayari...
View Article