VIDEO: Giroud, Cavani, walivyotaka kuzichapa kavu-kavu
Wakati timu zikielekea kwenye vyumba vya kubadilishia nguo wakati wa mapumziko, iliibuka sintofahamu kati ya Cavani na Giroud kuzinguana wakati wa kipindi cha kwanza na kuamuliwa na wachezaji wanzao....
View ArticleVIDEO: HATARI YA MESSI UCL: Mechi 4 goli 9
Barcelona walijitengenezea mazingira mazuri dhidi ya Celtic kwenye mchezo wa awali kwenye uwanja wa Camp Nou pale walipoibamiza bao 7-0. Pia haikuchukua muda mrefu kupata bao la uongozi kwenye uwanja...
View ArticleAUDIO: Maguli ameeleza tofauti ya soka la Tanzania na Oman
Aliyekua mshambuliaji wa klabu za Ruvu Shooting, Simba SC pamoja na Stand United Elias Maguli ameelezea tofauti ya uendeshaji wa soka wa Tanzania na Oman anakocheza soka kwa sasa katika klabu ya...
View ArticleEto’o matatani, kifungo cha miaka 10 jela kinamuhusu
Baada ya jana kutoka kwa Neymar, leo mambo yamehamia kwa Samuel Eto’o. Superstar huyo wa Cameroon ambaye aipata kuvitumikia vilabu vya Real Madrid, Mallorca na Barcelona wakati akiwa nchini Hispania...
View ArticleSteven Gerrard hatimaye katundika daruga
Mchezaji wa zamani wa Liverpool na timu ya taifa ya England Steven Gerrard ametundika daruga baada ya miaka 19 ya kusukuma gozi la ng’ombe. Gerrard, 36, aliichezea Liverpool katika mechi 710 na...
View ArticleSimba wamaliza ubishi, Tshabalala aangusha dolegumba Msimbazi
Mlizi wa kushoto wa Simba SC na timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ maarufu kama Tshabalala amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kusalia kwenye klabu hiyo ya mtaa...
View ArticleTanzania imezidi kujichimbia bondeni viwango vya FIFA
Tanzania imezidi kudidimia chini katika viwango vya soka Duniani ambavyo hutolewa na shirikisho la soka ulimwenguni FIFA. Kwa sasa Tanzania ipo nafasi ya 160 Duniani ikiwa imeshuka kwa nafasi 16 baada...
View ArticleAnderson arusha kijembe kwa Gerrard siku moja tu kabla ya kustaafu
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Manchester United Anderson alirusha kijembe kwa nahodha wa zamani wa Liverpool Steven Gerrard siku moja tu kabla ya kutangaza kustaafu rasmi kucheza soka. Gerrard (36)...
View ArticleArsene Wenger amesema hakuna haja ya kupanic baada ya mechi ya PSG.
Manager wa Arsenal amewambia mashabiki wa club yake kwamba haina haja ya kupanic baada ya kutoa draw na wakiwa kwenye harakati za kumaliza juu ya group lao la UEFA. Manager Wenger alisema,“Haina haja...
View ArticleOFFICIAL: Lwandamina akabidhiwa Yanga
Geroge Lwandamina ametambulishwa rasmi kuwa kocha mpya wa Yanga SC akirithi nafasi ya kocha wa zamani wa klabu hiyo Hans van der Pluijm ambaye amepewa majukumu mapya ya kuwa Mkurugenzi wa Ufundi ndani...
View ArticleEl Hadji Diouf amchana Steven Gerrard
Baada ya Steven Gerrard kutangaza rasmi amechana na maisha soka wachezaji wengi wametumia nafasi mbalimbali kumpa pongezi kwa maisha yake ya soka. Mashabiki wa Liverpool wengi walimshukuru kwa muda...
View ArticleWilfried Bony kufata mapesa China
Kocha wa Stoke Mark Hughes ameelezea wasi wasi wake kwamba anaweza kumkosa mchezaji wake tena ikifika January. Pep alimruhusu Bony kusepa na kuanza ku-share mshahara wake wa £125,000 na Stoke city kwa...
View ArticleGerrard hana lolote- Diouf
El Hadji Diouf kwa mara nyingine tena amemkandia mchezaji mwenza wa zamani wa Liverpool Steven Gerrard baada ya legend huyo kutangaza kustaafu rasmi soka. Muingereza huyu ,36, ambaye alishinda taji la...
View ArticleStyle ya kushangilia yampa dili la tangazo Antoine Griezmann
Kwa wale ambao wanamfatilia Antoine Griezmann wanajua jinsi anavyoshangilia magoli yake pale anapofunga. Griezmann huwa anacheza kama Drake na nyimbo ya Hotline Bling. Style hiyo hiyo Puma wameichukua...
View ArticleAubameyang amezungumzia tena tetesi za kuhamia Real Madrid
Star wa Borussia Dortmund mara nyingi amehusishwa na story za kutaka kujiunga na club ya Real Madrid. Aubameyang ambae anaendelea kuonyesha kiwango kwa kufunga magoli 15 kwenye mechi 16 msimu huu...
View ArticleSijaongea na Jack Wilshere tangu asepe Arsenal.
Manager kuelekea mechi yake dhidi ya Bournemouth amesema kwamba hajawai kuongea na mchezaji Jack Wilshere tangu aondoke Arsenal. Mchezaji huyo ameondoka Arsenal kwa mkopo na manager wenger anasema...
View ArticleMourihno kumleta star huyu wa Chelsea ndani ya O.T.
Bila shaka kila mtu anajua kwamba Jose ni shabiki mkubwa sana wa brazilian star Willian kutokana na perfomance aliyoonyesha wakati yupo naye. Sasa hivi ameonekana kuto shine chini ya kocha mpya...
View ArticleAUDIO: Kumbe Pluijm sio mara yake ya kwanza kuwa Mkurugenzi wa Ufundi
Mkurugenzi wa Ufundi wa klabu ya Yanga Hans van Pluijm amesema kwake ni poa tu kupewa majukumu hayo ndani ya klabu na atafanya kazi kwa kushirikiana na kocha mpya aliyekuja ili kuendelea kuleta...
View ArticleLwandamina amtosa Misheck Chaila
Kocha mkuu wa Yanga George Lwandamina amepiga chini uvumi wa ujio wa kiungo mkabaji Meshack Chaila kutoka Zesco United baada ya kusambaa kwa habari kwenye mitandao ya kijamii kwamba kocha huyo...
View ArticleLondon derby- Je, Spurs kufuta rekodi mbaya dhidi ya Chelsea Darajani?
Ligi Kuu ya England leo inaendelea kwa michezo sita kuchezwa katika viwanja tofauti. Ndani ya michezo hiyo kuna pambano la mahasimu wa jadi wa jiji la London Chelsea dhidi ya Tottenham Hotspur...
View Article