Shinji Kagawa anaelezea future yake ndani ya Borussia Dortmund.
Shinji Kagawa amepoteza nafasi yakee kwenye kikosi cha kwanza na kumfanya aanze mara tatu yu kwenye mechi za Bundesliga ndani ya uwanja wa Signal Iduna Park. Kwenye mechi ya UEFA ambapo BVB wameshinda...
View ArticleJose Mourinho ampa makavu Anthony Martial
Inasemekana kwamba Martial hakufurahishwa na kitendo cha namba 9 kupewa Zlatan wakati yeye akiwa anajiandaa kuanzisha logo yake ya Martial 9. Lakini hayo yote hayamhusu Morihno ambae anataka kila...
View ArticleCheki video ya Partick Viera mpya, Arsenal wanataka kumsajili.
Ana miaka 20 na uwezo wake na muonekano wake umewapa watu sababu ya kumuita Partick Viera mpya kama harakati za Arsenal zikifanikiwa kumpeleka Emirates Stadium. Jina lake ni Riechedly Bazoer kwa sasa...
View ArticleAntonio Conte azungumzia kiwango cha Willian
Kwa mashabiki wa Chelsea wanakumbuka kwa kiasi kikubwa wakati Willian alivyokua anafanya vizuri wakati yupo chini ya Jose. Muda wa Willian chini ya Conte umekua mgumu sana na anashindwa kuonyesha uwezo...
View ArticlePigo kubwa kwa Liverpool
Philippe Coutinho amepata majeraha mabaya wakati wa kipindi cha kwanza kwenye mchezo wa Liverpool dhidi ya Sunderland. Uwanja wa Anfield ulizizima kwa ukimya wakati fundi huyo wa kibrazil akiwa chini...
View ArticleLeicester yadhihirisha soka kakika 90
Bao la dakika za majeruhi la Islam Slimani limeipa pointi moja Leicester ilipotoka nyuma mara mbili dhidi ya Middlesbrough. Alvaro Negredo alikata ukame wa mabao baada ya kufunga goli lake la kwanza...
View ArticleSwansea, Palace, mechi ya 21 kuzalisha magoli 9 EPL
Swansea wamepata ushindi kwenye uwanja wao wa nyumbani dhidi ya Crystal Palace mchezo ambao umeshuhudiwa ukimalizika kwa kuzalisha jumla ya magoli 9. Liberty Stadium ulishuhudia magoli 7 yakifungwa...
View ArticleVIDEO: Chelsea imemaliza ubishi wa Spurs
Chelsea wamerejea tena kwenye usukani wa ligi ya England wakitoka nyuma na kuinyuka Tottenham ambayo imepoteza mchezo wa Premier League kwa mara ya kwanza msimu huu. Christian Eriksen aliifungia Spurs...
View ArticleAUDIO: Comment ya Lwandamina kuhusu game ya Simba na Yanga
Kama ulikuwa unadhani kocha mpya wa Yanga George Lwandamina hajui kitu kuhusu mechi ya watani wa wajadi wa soka la Bongo yaani Simba na Yanga basi umekosea, jamaa anajua kila kitu kuhusu hiyo game,...
View ArticleUnajua jezi ya Madrid ya jana imetengenezwa na nini? sababu ya kuvaa jezi...
Wanasema ilikuwa business as usual jana katika Uwanja wa Santiago Bernabeu, wakati Cristiano Ronaldo alitumbukiza mabao mawili wakati Real Madrid iliposhinda mabao 2-1 dhidi ya Sporting Gijon. Lakini...
View ArticleHuyu Kamusoko mnyime kilakitu ila sio Chapati
Kama unafatilia soka la Tanzania hususan ligi kuu Tanzania bara basi jina la Thabani Kamusoko ‘rasta’ sio geni kwako kwa namna yeyote ile. Mzimbabwe huyu amejizolea umaarufu mkubwa kwa uwezo wake...
View ArticleBarcelona kumaliza laana dhidi ya Real Sociedad Anoeta tangu mwaka 2007?
Ni jambo la kushangaza kidogo. Licha ya kutawala La Liga kwa miaka kadhaa ya hivi karibuni ikiwa ni pamoja na kushinda mara kadhaa katika Uwanja wa Santiago Bernabeu, Mestalla na viwanja vingine,...
View ArticleAUDIO: Lwandamina amesema kitu alichokiona kwa wachezaji wa Bongo
Tayari kocha mpya wa Yanga George Lwandamina ameshawasoma baadhi ya wachezaji wanaocheza Tanzania. Lwandamina amesema asilimia kubwa ya wachezaji wa Bongo wanacheza huku wanapumzika wakati mchezo wa...
View ArticleVIDEO: Welbeck alichomfanyia Wilshere baada ya Arsenal kufunga bao la kwanza
Arsenal walianza kupata bao la kuongoza dhidi ya Bournemouth baada ya Alexis Sanchez kuinasa back pass ya Steve Cook na kuandika bao. Baada ya goli hilo, camera za TV zikamuonesha Danny Welbeck na...
View ArticleNje ya pitch: Lwandamina ameshika makali, Plujim usivute kisu
Na Athumani Adam Iliwahi kutokea hali ya kutoelewana kwenye klabu ya Newcastle kati ya aliyekuwa kocha kipindi hicho Kevin Keegan na mkurugenzi wake wa ufundi kiungo wa zamani wa klabu ya Chelsea...
View ArticleMan United itakaa kwenye mstari lakini Mourinho aache utoto
Manchester United wamekuwa katika wakati mgumu kunako Ligi ya England kutokana na matokeo yasiyoridhisha hasa kutokana na ukubwa na hadhi ya klabu ya hiyo. Mourinho amepoteza kujiamini na kuamini timu...
View ArticlePICHA 6: Lwandamina alivyoongoza mazoezi Yanga kwa mara ya kwanza
Jumatatu November 28, Kocha mpya wa Yanga George Lwandamina ameanza majukumu yake kwa kuwaongoza wachezaji katika mazoezi kwa mara ya kwanza tangu atambulishwe kama kocha mkuu wa klabu hiyo. Baada ya...
View ArticleUamuzi wa Zaha ili kucheza timu ya taifa ya Ivory Coast
Winga wa Crystal Palace Wilfred Zaha amerejesha maombi FIFA ya kubadili utaifa wake kutoka England kwenda Ivory Coast. Zaha ambaye alizaliwa Abidjan lakini akakulia England, ameshaitumikia England...
View ArticleShabiki wa Chelsea anusurika kifo nje ya Stanford Bridge.
Mechi ya Chesea Vs Spurs haikuisha kwa furaha kwa mashabiki wote wa Chelsea. Wengine walipata matokeo ya mechi wakiwa hospital kuokoa maisha yao. Shabiki mmoja wa Chelsea ambae alikua na wakina dada...
View ArticlePicha ya Philippe Coutinho akiingia hospitali kufanya scanning.
Baada ya story za kuhusishwa na kujiunga na Barcelona ku-trend kwa muda sasa story imegeuka. Sasa hivi headline ya Countinho ni kuhusu jeraha alilopata kwenye mechi. Coutinho amefika leo kufanyiwa...
View Article