Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Picha ya Philippe Coutinho akiingia hospitali kufanya scanning.

$
0
0

screen-shot-2016-11-28-at-6-19-06-pm
Baada ya story za kuhusishwa na kujiunga na Barcelona ku-trend kwa muda sasa story imegeuka. Sasa hivi headline ya Countinho ni kuhusu jeraha alilopata kwenye mechi.

Coutinho amefika leo kufanyiwa scanning kwenye hospital ya Sprite Liverpool. Inaripotiwa kwamba mchezaji huyu anaweza kuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi kadhaa ambayo ni hasara kubwa sana kwa kikosi cha Liverpool.

Jamie Carragher legend wa Liverpool aliwai kusema kwamba hana uhakika kama kikosi kitaenda vizuri bila uwepo wa Coutinho. Jamie alisema,“Kukosekana kwake kunawezak uwa ni tatizo kubwa, yeye ni mchezaji muhimu sana wa Liverpool. Nadhani kikosi cha kwanza cha Liverpool kinachocheza kila wiki kitakuwa sana, nina wasiwasi wataathirika kwa kumkosa.”.

Wakati huo huo Coutinho amewashukuru mashabiki wa kuwa pamoja nae wakati huu,“Napenda kuwashukuru mashabiki, familia yangu na marafiki kwa ujumbe mzuri wanaonitumia wakati huu. Ni muhimu sana kwangu nawashukuru wote”

screen-shot-2016-11-28-at-6-19-13-pm

screen-shot-2016-11-28-at-6-54-06-pm screen-shot-2016-11-28-at-6-54-13-pm screen-shot-2016-11-28-at-6-54-21-pm


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles