Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Sissoko anachemka kuonyesha thamani ya £30m

$
0
0

screen-shot-2016-11-28-at-6-50-33-pm
Mchezaji Moussa Sissoko baada ya kutoka Newcastle dakika za mwisho za kipindi cha usajili mwezi September anashindwa kuonyesha thamani ya pesa zilizotumika kumsajili.

Kocha wa Spurs amezungumzia kiwango cha mchezaji huyo akisema,“Mpira sio swala la pesa, inahitaji uonyeshe uwezo kwenye uwanja wa mazoezi kwamba wewe ni mkali zaidi ya mchezaji mwenzako ili uweze kucheza.”

Sissoko amejiunga na Spurs kwa mkataba wa miaka mitano akiwa na miaka 27,“Ukimsajili mchezaji unahitaji matokeo ya kitu flani, vipi kama hautakipata hicho kitu. Unajaribu kwa wachezaji wengine uliokua nao kwasababu wote wameletwa waje kuhusishwa kwenye kikosi. Anahitaji kufanya mazoezi kwa bidii na kujituma hata kama ataanzia benchi”


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>