Usifanye kosa lolote wakati huu, sio muda wake. Wengi wanaweza kulitizama hili kama ilivyokuwa Qatar, UAE na Urusi kwa kipindi cha miaka 20 iliyopita: umwagaji fedha kutoka katika vilabu tofauti. Ni wazi tumesoma sana kuhusiana na umwagaji fedha kutoka China, kuhusiana na Rais, Xi Jinping anayetaka kuibadili nchi hiyo kuwa baba na kumwaga fedha kwa wachezaji wengi wa Amerika ya Kusini.
Lakini ukweli lazima usemwe, kulikuwa na kila sababu ya kupata shaa. China kushindana na Ulaya ilikuwa ni ongezeko la joto: tishi. Na sasa limekuja ombi la Oscar kuhitjika kutoka Chelsea kuelekea Shanghai SIPG ambalo yeye mwenyewe anakiri kuwa limekamilika kwa asilimia 90. KKinachoshitua hapa ni kiwango cha fedha za usajili paundi milioni 60, (£60 million, ($75m).
Unataka taarifa? Hii inamaanisha kuwa Oscar atakuwa mchezaji wa 7 ghali zaidi duniani.
Miezi 16 iliyopita, fedha kama hii ingemtwaa Kevin De Bruyne na chneji kubwa inabaki. Rudi nyuma kidogo na ungeweza kumpata Luis Suarez mwaka 2014. Na sasa Shanghai SIPG wanalipa kiasi hiki kwa Oscar, mtu aliyeanza michezo 17 pekee ya ligi kwa klabu yake ya Chelsea, huku akiwa hajacheza timu yake ya Taifa kwa zaidi ya miezi 12.
Sio vigumu kuona msingi wa hili kwa upande wa Chelsea. TWaliwahi kupitia haya, kwa Ramires, ambaye aliuzwa kwenda Jiangsu Suning mwaka mmoja uliopita kwa kiasi cha paundi milioni 23.4 (£23.4m).
Kwa mahesabu ya leo hii hawezi kuwa na thamani ya zaidi ya paundi milioni 8 ambayo maana yake ni kuwa kuna faida ya paundi milioni 52 kama wakimuuza.
Lakini ni kipi klabu ya Shanghai SIPG na soka la China vinapata au ndio wanafanyiwa biashara ya wizi wa upofu?
Kuhitimisha tofauti, inatakiwa ukumbuke kuwa Mbrazil huyo ni mchezaji anayebadili matokeo, sio kwa muda huu bali kwa alivyowahi kuwa. Mchezaji ambaye angeweza kuibeba timu na kuifikisha mbali.
Oscar alifikisha miaka 25 mwezi Septemba. Amecheza michezo 48 kwa Brazil na pamoja kuwa hajaichezea kwa mwaka mmoja bado aliitwa mwezi Oktoba kuonyesha kuwa Tite bado ana imani nae.
Unaweza kuwa na hoja pia kama Hulk, Jackson Martinez, Freddy Guarin, Graziano Pelle au Ramires walimzidi majina wakati wanaelekea huko (nitakwambia hapana) au kama Alex Teixeira au Ricardo Goulart kama walikuwa wanamzidi. Na unaweza kusema hakuna anayemkaribia ndo maana tunazungumzia fedha nyingi hivyo.
Kipi anatakiwa kufanya hili aishi gharama hiyo?
Kwa uchumi mwepesi haiwezekani kwa namna yoyote. Taarifa za kifedha za Shanghai SIPG hazipo wazi. Hata akifika akafunga mabao 20 kwa msimu kwa muongo mmoja na akawa klabu bingwa Asia bado hakuna namna utapata thamani hiyo atakayouzwa nayo.
Lakini kuna manufaa mawili katika hili. Mosi ni kuwa Oscar atakuwa na thamani ya kuuzika tena… kwa miaka michache walau. Na ikitokea kacheza vyema, na kwa sababu atapata nafasi ya kufanya hivyo. Tite hajaonyesha chuki dhidi ya wachezaji wanaocheza China na aliwaingiza wachezaji watatu (Renato Augusto, Gil and Paulinho) katika kikosi chake kilichopita.
Kama akicheza vyema huko China, kombe la Dunia mwaka 2018 na Copa America 2019 vitatosha kuonyesha kipi ambacho Shangai wanaweza kukipata kutoka kwenye fedha walizomwaga.
Na sababu nyingine ni wazi kuwa huu ni mchezo wa muda mrefu, hivyo tutizame kipi anaweza kukileta kama kipo kwenye mpango wa Uchina..
Hapa tunaongelea tabiri na matarajio, na kuna viashiria vingi kuwa lolote linaweza kutokea kwa kuanza na sababu kuwa, Xi Jinping ni dereva wa 63 anayesukuma mapinduzi ya soka China. Hutakiwi kuwa mtabiri wa uchumi kutambua kuwa soka la China limepaa kwa kusaidiwa kwa kiasi na serikali, na matajiri wanaolisukuma pia wana ukaribu mkubwa na vyombo vya serikali.
Kama Rais wa China anayefuata kwa mfano aamue tuseme mchezo wa mpira wa kikapu, rugby ndo njia ya kufuata hapo kila kitu kitachukua njia yake tofauti na kugeuka. Hivyo yanayotokea China ni tofauti na mifano?majaribio mengine kwenye nyumva ya soka.
Nchi za huba kwa kuanzia zilikuwa ndogo mno, wakati Urusi walitegemea sana uchumi wa gesi na mafuta. Marekani wao walichukua mbinu ya kukua taratibu kwa sababu serikali haikuchukua kitu, na ligi kuu nchini humo (MLS) ilikuwa inaendeshwa na wawekezaji binafsi ambao.
Na China wanataka kunufaika, kama ikiwa mchezo wa muda mrefu na sehemu ya manufaa hayo ni Oscar.