Yanga imefunga dirisha la usajili wa dirisha dogo
Ikiwa dirisha dogo linafungwa usiku wa December 15, klabu ya Yanga imeweka wazi wachezaji iliowasajili kuingia katika klabu hiyo pamoja na waliotoka ndani ya klabu hiyo inayopambana kutetea mataji...
View ArticleOFFICIAL: Ngasa amerejea VPL
Mrisho Ngasa amefanya mazoezi kwa mara ya kwanza katika kikosi cha Mbeya City chini ya kocha mkuu Kinnah Phiri katika harakati za kujiandaa na mechi yao ya kwanza ya mzunguko wa ligi kuu Tanzania bara...
View ArticleCristiano Ronaldo kaweka rekodi mpya
Star wa Real Madrid na mshindi wa Ballon d’Or 2016 Cristiano Ronaldo amefunga goli la 500 wakati Real Madrid ikipata ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Club America katika mchezo wake wa nusu fainali ya...
View ArticleNgasa hakujielewa 2009, tunamuelewaje 2016?
Na Abdul Mkeyenge MOJA ya nukuu ninazozipenda ni ile inayosema ukimuelewa Mwanamke umeielewa dunia. Hii ni nukuu inayopendwa kutumiwa na rafiki yangu Ally Kamwe katika maandiko yake matakatifu. Dunia...
View ArticleYanga imemkataa mchezaji wa Zambia
Obrey Chirwa kutolewa kwa mkopo kwenda FC Platinum na klusajiliwa kwa Winston Kalengo katika kikosi cha Yanga ni taarifa ambayo imekuwa ikisambaa kwa kasi sana tangu jana usiku. Lakini hadi dirisha la...
View ArticleJicho la 3: Yanga inakwenda kileleni kwa mara ya kwanza, hawatashuka tena…
Na Baraka Mbolembole BAADA ya kukamilisha usajili wa washambuliaji Emmanuel Martin na kiungo mkabaji raia wa Zambia, Justine Zulu kocha mpya wa kikosi hicho Mzambia, George Lwandamina ataisimamia...
View ArticleIkiwa waamuzi, makocha, wachezaji na bodi ya ligi watafanya haya, VPL itakuwa...
Na Baraka Mbolembole LIGI Kuu Tanzania Bara (Vodacom Premier League) inataraji kuendelea tena siku ya kesho Jumamosi na siku ya Jumapili hii. Michezo minne itachezwa kesho katika miji ya Dar es Salaam...
View ArticleWataalamu Waweka Wazi.. Paundi Milioni 60 za Oscar ni sahihi sio Wizi
Usifanye kosa lolote wakati huu, sio muda wake. Wengi wanaweza kulitizama hili kama ilivyokuwa Qatar, UAE na Urusi kwa kipindi cha miaka 20 iliyopita: umwagaji fedha kutoka katika vilabu tofauti. Ni...
View ArticleAzam yatambulisha wakali wapya
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo imetambulisha nyota wapya sita waliosajiliwa kwenye usajili wa dirisha dogo uliofungwa usiku wa kuamkia leo. Zoezi hilo lilihudhuriwa na viongozi...
View ArticleTFF imetoa tahadhari VPL
Duru la Pili la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inatarajiwa kuanza kesho Jumamosi Desemba 17 kwa michezo minne kabla ya michezo mingine minne kufanyika siku ya Jumapili Desemba 18, mwaka huu. Katika...
View ArticleBarua ya TFF kwa Simba kuhusu kesi iliyopo mahakamani
Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limeiandikia Simba barua ya kuomba ufafanuzi juu ya hatua zilizochukuliwa na klabu hiyo kuhusu kuwepo na kesi mahakamani inayoihusu klabu hiyo. Baraza la wadhamini...
View ArticleSanchez: Ninapapenda Arsenal, nitabaki hapa kama….
Alexis Sanchez mchezaji muhimu sana kwenye kikosi cha Arsenal sasa hivi na furaha kubwa ya mashabiki wa club hii ni kuona mchezaji huyu anasaini mkataba mpya. Sanchez amesema wazi kwamba hakuna sehemu...
View ArticleKapombe na siri ya kutupia nyavuni
Inawezekana kabisa umeshawahi kujiuliza swali kwamba kwanini beki wa kulia wa Azam FC alikuwa na uwezo mkubwa wa kufunga magoli mengi msimu uliopita pengine na kuwazidi baadhi ya washambuliaji,...
View ArticleMshahara mpya wa Sanchez utata…£250,000..£300,000 au £500,000?
Kwa sasa moja ya midahalo inayoendelea kwenye ulimwengu wa michezo ni kuhusu mshahara mpya wa Sanchez ambae labda anaweza ku sign mkataba mpya na Arsenal hivi karibuni kama wakikubaliana. Sasa kitu...
View ArticleKaburu anatuhumiwa ni mamluki
Katibu wa tawi la Simba (Ngurumo za Simba) Felix Makau amemtuhumu makamu mwenyekiti wa Simba Geoffrey Nyange ‘Kaburu’ kuwa ni mamluki wa Yanga kutokana na Kaburu kudai kutomtambua Mzee Hamisi Kilomoni...
View ArticleTicket za mechi ya Manchester zimepigwa stop kuuzwa
St Etienne wamepia stop kuuza ticket za mechi ya Europa dhidi ya Manchester United masaa machache baada ya kuanza kuziuza. Kufunga huko kumetokana watu wengi kujazana wakitaka kununua hizo ticket...
View ArticleJishindie zaidi ya milioni 20 kutoka kwa Floyd Mayweather.
Floyd ameamua kuwapa zawadi mashabiki wake wanaom follow instagram kwa kuwapa changamoto ndogo sana. Kwa sasa maneno mengi yanatokana na kumfananisha Mayweather na bingwa UFC Mc Gregor Conor. Kitu...
View ArticleSuarez atalipwa £230,000 kwa miaka mitano ijayo ndani ya Barca
Barcelona wamefanikiwa kupata saini muhimu ya mchezaji wao Luis Suarez na kujihakikishia kwamba atakuwepo na club hiyo hadi mwaka 2021. Suarez alikua ni mmoja ya wachezaji ambao wanatakiwa sana...
View ArticleHivi ndivyo Yanga ilivyomsaini Wazir Mahadhi ‘Mendieta’ kutokea Coastal Union
Na Baraka Mbolembole UNAMKUMBUKA, Wazir Mahadhi ‘Mendieta’? Kiungo maridadi sana miaka ya mwanzoni mwa 2000. Upande wangu nakumbuka mengi sana mazuri kuhusu kiungo huyo namba 6 wa zamani wa timu ya...
View ArticleMsuva ‘on fire’ Yanga kileleni
Yanga imepaa hadi kileleni mwa msimamo wa ligi kuu Tanzania bara mara baada ya ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya JKT Ruvu katika mchezo wa kwanza wa raundi ya pili uliochezwa kwenye uwanja wa Uhuru, Dar...
View Article