Habari nzuri kwa Arsenal, wachezaji wawili wamekubali kuongeza mikataba
Habari kubwa kutoka Ufaransa inawahusu wachezaji wawili ambao sio Sanchez na Ozil wanaosubiriwa na mashabiki wengi. Taarifa kutoka RMC Sports zinawahusu wachezaji Olivier Giroud na Francis Coquelin...
View ArticleMkhitaryan; Mkali wangu wa EPL ni Thierry Henry.
Maisha yanaanza kumnyookea Henrikh Mkhitaryan ndani ya Manchester United baada ya kuanza kufumania nyavu hasa kwenye mechi muhimu. Mchezaji huyu mwenye umri wa miaka 27 amesema wazi kwamba yeye akiwa...
View ArticleShanghai SIPG ya China kumununua mchezaji huyu kwa £52million.
China Super League au unaweza kuiita kama ligi ya pesa nyingi inafanya maajabu mengine kwa kumnunua mchezaji wa Chelsea Oscar kwa kiasi cha £52million. Midfielder huyu kutoka Brazil hajaanza kwenye...
View ArticleSimba imemnasa mshambuliaji kutoka Stand United
Kupitia ukurasa wa Instagram ya afisa habari wa Simba Haji Manara, kuna picha ambayo inasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha rais wa klabu hiyo akikabidhi mkataba wa usajili kwa...
View ArticleYaya Toure apewa hukumu hii mahakamani kwa kosa la kuendesha amelewa.
Yaya Toure ambaye amekua akionyesha picha ya kuwa muumini mzuri wa dini ya “Uislamu” amekutwa na kosa la kuendesha kwa speed kali akiwa amelewa pombe. Yaya baada ya kupewa hukumu alisisitiza kwamba...
View ArticleMrisho Ngassa zimebaki hatua chache awe mchezaji wa Mbeya City
Habari zilizonifika hivi sasa ni kwamba Mrisho Ngassa amefika Mbeya kwa ajili ya mazungumzo na Mbeya City ambao wanataka kumpa mkataba wa miaka miwili. Taarifa za ndani zinasema kwamba Mrisho Ngassa...
View ArticleNdanda Liuzio kutua Simba SC
Juma Liuzio-Mshambuliaji wa ZESCO United ya Zambia Na Baraka Mbolembole SIMBA SC ipo katika mazungumzo na klabu ya Zesco United ya Zambia ili kumsaini mshambulizi Mtanzania, Juma Ndanda Liuzio. Kwa...
View ArticleNyota 7 wa kigeni, Zahoro Pazzi ‘wataibeba’ Mbeya City?
Na Baraka Mbolembole LIGI Kuu ya kandanda Tanzania Bara inataraji kuendelea tena wikendi hii baada ya mwezi mmoja wa mapumziko uliombatana na usajili wa dirisha dogo. Mbeya City FC itacheza na Kagera...
View ArticleDuncan Fergusson: Mhuni aliyegeuka Malaika
Kama umependa soka kwa muda mrefu na kama unavutiwa na soka la kibabe basi jina la Duncan Fergusson haliwezi kuwa geni machoni na kwenye ngoma za masikio yako. Mshambuliaji huyu ambaye alishuhudia...
View ArticleJuma Kaseja na wachezaji wengine wapya Kagera Sugar
Na Baraka Mbolembole GOLIKIPA mzoefu na nahodha wa zamani wa Taifa Stars, Juma Kaseja amesajiliwa katika timu ya Kagera Sugar FC. Lakini kocha Mexime Mexime hajaishia hapo ameongeza nguvu zaidi katika...
View ArticlePICHA 5: Ngasa amekaribishwa Mbeya City
“Mrisho Ngassa amewasili Mbeya kukamilisha taratibu za kujiunga na kikosi cha Mbeya City FC,” ni ujumbe unaosomeka kwenye ukurasa wa facabook wa timu ya Mbeya City. Hivi Karibuni, afisa habari wa...
View ArticlePICHA 3: Mzamiru Yassin alivyokabidhiwa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi
Uongozi wa Simba umempa Mzamiru Yassin tuzo ya mchezaji bora wa mwezi October. Kocha Joseph Omog amekabidhi tuzo na pesa taslim shilingi laki tano (500,000). Tuzo hiyo imekabidhiwa kwa Mzamiru wakati...
View ArticleYanga imemng’oa mbaya wao wa JKU
Na Abubakar Khatib ‘Kisandu’, Zanzibar Klabu ya Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (JKU) imethibitisha kumalizana kila kitu na klabu ya Yanga kwa Mshambuliaji wao Emanuel Martin Joseph. Katibu mkuu wa...
View ArticleStand United mbioni kumsajili kiungo wa Zanzibar
Na Abubakar Khatib “Kisandu”, Zanzibar Kiungo mshambuliaji wa Taifa Jangombe Abdallah Mundhihir ‘Mido’ huenda akajiunga na timu ya Stand United ya Shinyanga ya ligi kuu soka Tanzania bara. Baada ya...
View ArticleHabari njema kuhusu Mapinduzi Cup 2016
Abubakar Khatib ‘Kisandu’, Zanzibar Kamati ya kusimamia mashindano ya Kombe la Mapinduzi (Mapinduzi Cup) imo katika matayarisho ya michuano hiyo baada ya kuzinduliwa rasmi na Katibu Mkuu Wizaraya...
View ArticlePost ya Mwana FA baada ya mechi za EPL December 14, 2016
Usiku wa December 14 ligi ya England maarufu kama EPL iliendelea kwa michezo nane kuchezwa kwenye viwanja tofauti. Timu zote zenye majina makubwa zilipata ushindi kwenye michezo yake, kwa mfano...
View ArticleMchezaji wa VPL ameomba kuvunja mkataba na timu yake
Baada ya kutolipwa mishahara yake kwa miezi minne, mchezaji Venance Joseph Ludovic wa klabu ya Mbao FC ya mkoani Mwanza ameomba kuvunja mkataba na klabu hiyo. Barua iliyoandikwa tarehe 13.12.2016...
View ArticleChelsea: Kuleni, Shangilieni lakini Msilale kwenye Sherehe
Kwa Msaada wa Daily Mail. Mwaka mmoja una siku 365, siku ambazo zinaweza kuwa na mabadiliko kwa kiasi kikubwa, siku ambazo jua linazama, linachwea, kunatokea mvua kisha kiangazi. Mojawapo ya...
View ArticleWilfried Bony amtaja Wakala Tapeli.. Amfikisha Kizimbani
Mchezaji wa klabu ya Manchester City ambaye yupo kwa mkopo katika klabu ya Stoke City, Wilfried Bony amejipanga kumfungulia mashitaka wakala wake wa zamani pamoja na klabu ya Swansea City katika...
View ArticleManara kawataja walioingia na kutoka Simba – Dirisha dogo
Klabu ya Simba inapenda kutangaza marekebisho madogo ya usajili iliyoyafanya kutokana na mapendekezo ya benchi la ufundi chini ya kocha Mkuu Joseph Omog. Kwenye maboresho hayo klabu imewapandisha...
View Article