![img-20161214-wa0010]()
Uongozi wa Simba umempa Mzamiru Yassin tuzo ya mchezaji bora wa mwezi October.
![img-20161214-wa0015]()
Kocha Joseph Omog amekabidhi tuzo na pesa taslim shilingi laki tano (500,000).
Tuzo hiyo imekabidhiwa kwa Mzamiru wakati wa mazoezi ya klabu hiyo kujiandaa na raundi ya pili ya ligi kuu Tanzania bara.
![img-20161214-wa0013]()