“Mrisho Ngassa amewasili Mbeya kukamilisha taratibu za kujiunga na kikosi cha Mbeya City FC,” ni ujumbe unaosomeka kwenye ukurasa wa facabook wa timu ya Mbeya City.
Hivi Karibuni, afisa habari wa Mbeya City Dismas Ten ali-post picha na ujumbe mfupi kwenye ukurasa wake Isnagram ulioashiria kwamba Ngasa atajiunga na Mbeya City.