Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Habari njema kuhusu Mapinduzi Cup 2016

$
0
0

dsc_0015

Abubakar Khatib ‘Kisandu’, Zanzibar

Kamati ya kusimamia mashindano ya Kombe la Mapinduzi (Mapinduzi Cup) imo katika matayarisho ya michuano hiyo baada ya kuzinduliwa rasmi na Katibu Mkuu Wizaraya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo.

Mashindano ya Mapinduzi Cup yatakayoshirikisha timu tisa kutoka Uganda, Tanzania Bara na wenyeji Zanzibar yatafanyika katika uwanja wa Amani kuanzia  tarehe 30 mwezi huu.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kombe la Mapinduzi ni Sharifa Khamis na Katibu wa Kamati hiyo ni Khamis Abdalla Said.

Wajumbe wa Kamati ni Ali Khalil Mirza, Khamis Mzee Ali, Juma Mmanga, Ravia Idarous Faina, Mohammed Ali, Mohammed Ali Hilal, Issa Mlingoti Ali, Dk. Ally Saleh Mwinyikai na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Omar Hassan Omar ‘King’.

 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>