Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Makundi kufuzu Afcon2019 Yapangwa. TAIFA STARS, Sasa Afcon Inawezekana, Iwapo tu!!!

$
0
0

CAF Troph

Inawezekana kabisa timuya Taifa ya Tanzania haikuwhai kupata nafasi ya namna hii kama iliyofika wakati huu. Baada ya kukosa kufuzu mashindano kadhaa ya Mataifa ya AFrika, sasa imepangwa katika kundi ambalo linaweza kumpa kila Mtanzania nafasi ya kupumua.

Katika Droo iliyofanyika usiku wa Alhamis ya hatua za awali za makundi za kufuzu AFCON 2019 Tanzania imepangwa katika kundi L na nchi nyingine za Uganda, Lesotho pamoja na Cape Verde.

Ni moja ya makundi ambayo pamoja na kuonekana kuwa rahisi lakini kitendo cha nchi hizi kuwa na viwango vinavyokaribiana kinaweza kufanya iwe ngumu zaidi kwa maana ya kukamiana.

Hata hivyo jukumu linabaki kwa TFF na wachezaji pamoja na jopo la kiufundi kuamua kusuka ama kunyoa na pengine muda wa lawama unaweza kuwekwa kando kiasi, ingawa ukweli unabaki palepale kuwa laiti tungejiandaa miaka yote iliyopigiwa kelele, hizi ni aina ya droo ambazo unaweza kuamini moja kwa moja na pengine kuishukuru CAF kwa wakati huu. Itawezekana iwapo tutaamua kipindi hiki.

caf

OFFICIAL DRAW AFCON 2019- CAMEROON

KUNDI A
1. Senegal
2. Guinea Equator
3. Sudani
4. Sao Tome & Principe

KUNDI B
1. Cameroon
2. Morroco
3. Malawi
4. Mauritius

KUNDI C
1. Mali
2. Gabon
3. Burundi
4. South Sudan

KUNDI D
1. Algeria
2. Togo
3. Benin
4. Gambia

KUNDI E
1. Nigeria
2. South Africa
3. Libya
4. Seychelles

KUNDI F
1. Ghana
2. Ethiopia
3. Sierra Leon
4. Kenya

KUNDI G
1. Congo DRC
2. Congo
3. Zimbabwe
4. Liberia

KUNDI H
1. Cōte d’Ivoire
2. Guinea
3. Central Africa
4. Rwanda

KUNDI I
1. Burkinafaso
2. Angola
3. Botswana
4. Maurtania

KUNDI J
1. Tunisia
2. Egypt
3. Niger
4. Swaziland

KUNDI K
1. Zambia
2. Mozambique
3. Guinea Bisau
4. Namibia

KUNDI L
1. Cape Verde
2. Uganda
3. Tanzania
4. Lesotho

 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9000

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>