Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video: Penati za Simba zilizoifungashia Yanga virago Mapinduzi Cup 2017

Simba iliing’oa Yanga kwenye Mapinduzi Cup kwa mikwaju ya penati 4-2 baada ya pambano lao la nusu fainali kumalizika bila timu hizo kufungana. Simba walifanikiwa kukwamisha kambani penati 4 ambazo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maneno ya JB baada ya ushindi wa Simba vs Yanga

Msanii maarufu wa Bongo Movies Jacob Steven ‘JB’ amesema Simba kuifunga Yanga si jambo la ajabu na itaendelea kufungwa kila itakapokutana na mnyama. JB ambaye ni shabiki wa kutupwa wa Simba alikuwepo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Agyei ameyasema aliyoambiwa na Manyika Jr kabla ya ‘matuta’ vs Yanga

Camera ya shaffihdauda.co.tz ilinasa picha ya golikipa namba mbili wa Simba Manyika Jr akimnong’oneza jambo golikipa mwenzake Mghana Daniel Agyei wakati timu yao ikielekea kwenye changamoto ya penati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Je wajua Azam wameingia fainali bila kuruhusu hata bao moja Mapinduzi Cup?

Na Abubakar Khatib ‘Kisandu’, Zanzibar. Timu ya Azam FC imeweka rekodi kuwa timu pekee kufika fainali katika mashindano ya kombe la Mapinduzi 2017 bila kuruhusu kufungwa hata bao moja. Azam wametinga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hii ni barua ya Ronaldinho kwa Gaucho.

Ronaldinho Gaucho moja kati ya vipaji vya soka bora kabisa kuwahi kutokea duniani mzaliwa wa Porta Alegre nchini Brazil mwaka 1980.Kipaji chake cha soka ameshakua kombe la dunia na timu ya taifa ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dawa ya Simba ipo tayari, bado kuwanywesha tu – Kocha Azam FC

Baada ya mishemishe za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar, kesho Ijumaa January 13 ndio kilele cha kombe la Mapinduzi michuano ya 11 ambayo ilizinduliwa rasmi December 30. Kuelekea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Alichokisema Mayanja kuhusu Azam kuelekea fainali ya Mapindu Cup2017

Kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja amewatoa shaka mashabiki wa mnyama kuhusiana na kasi ya Azam hususan baada ya mtani wao kuchezea kipondo cha maana. Mayanja amesema, mechi ya Azam na Simba ina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rasmi Chelsea wawasilisha mpango mpya wa Stamford Bridge.

Baada ya juhudi na wazo la muda mrefu sasa ni rasmi klabu ya soka ya Chelsea imewasilisha wazo la uwanja wao mpya kwenye Halmashauri ya mji wa Fulham kitongoji cha Hammersmith huko London,inaeleweka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Olivier Giroud mzee wa Scorpion kick aongeza mkataba.

Wenger na mashabiki wa Arsenal wamepata tabasamu baada ya wachezaji watatu muhimu wa club hiyo kuongeza mkataba wa kuendelea kuicheze club hiyo. Wachezaji hao ni Coquelin, Giroud na Koscienlny ambao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Website ya club gani inatembelewa zaidi duniani? Hii hapa top 20.

Kwa club kubwa zenye maendeleo duniani website(tovuti) ni sehemu muhimu kwenye biashara yake. Mara nyingi hutumika kama duka la mtandaoni kuuza vitu mbalimbali vyenye chapa ya club hiyo kwenye soko la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Itambue AFCON kwa namba kabla haujaangalia mechi.

1; Timu moja itacheza kwa mara ya kwanza kwenye michuano ya mataifa ya Africa ambayo ni Guines Bissau. Hii inapunguza idadi ya nchi ambazo hazijawai kucheza AFCON kutoka 16 hadi 15. 2; Wanaume wawili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aliyekuwa kocha wa England afariki dunia.

Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza Graham Taylor amefariki dunia,Graham ambae ameshawahi kuwa kocha wa vilabu kama Aston Villa na Watford amefariki akiwa na umri wa miaka 72. Taylor...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makundi kufuzu Afcon2019 Yapangwa. TAIFA STARS, Sasa Afcon Inawezekana, Iwapo...

Inawezekana kabisa timuya Taifa ya Tanzania haikuwhai kupata nafasi ya namna hii kama iliyofika wakati huu. Baada ya kukosa kufuzu mashindano kadhaa ya Mataifa ya AFrika, sasa imepangwa katika kundi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Matukio matano ya kukumbukwa kwenye Afcon zilizopita.

Kabla haujasoma chochote kuhusu jezi za ajabu za Cameroon na mengineyo, nakukumbusha kwamba jiandae na ZBC2 ili uone maajabu yote ya kwenye michuano hii ya AFCON. Kwenye king’amuzi cha Azam cheki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Herve Renard kocha pelee mwenye Afcon mbili nchi tofauti. Je, atachukua ya tatu?

Mashindano ya kombe la mataifa ya Africa maarufu kama Afcon yatafanyika nchini Gabon. Mashindano haya yatashirikisha nchi 32 kutoka Africa huku Ivory Coast ikienda kama bingwa mtetezi kujaribu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Umeisikia hii kuhusu Mkwasa na Yanga

Klabu ya Yanga inatajwa kuwa kwenye mazungumzo na kocha wao wa zamani Charles Boniface Mkwasa kwa ajili ya kumrudisha kwenye benchi la ufundi la klabu hiyo. Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Yanga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pishori  mchezaji mwenye rekodi ya aina yake Mapinduzi Cup 

Na Abubakar Khatib ‘Kisandu’, Zanzibar Suleiman Ali ‘Pishori’ ambae kwasasa ni mchezaji wa Kilimani City akitokea Miembeni katika dirisha dogo la usajili ndiye mchezaji anayeongoza kucheza mara nyingi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kauli ya Floyd Mayweather yakatisha tamaa kuhusu pambano lake la 50.

Ukiacha na pambano la Chris Brown Vss Soulja Boy basi pambano la ukweli ambalo watu wengi wanataka litokee ni kati ya Mayweather Vs UFC star Conor. Conor ambae ameonekana kuwa mbabe kwenye UFC...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Umeshajipanga na kuangalia AFCON 2017 kwenye ZBC 2?

Kuanzia mechi ya kwanza hadi ya mwisho ya fainali utaweza kuziona live kupitia ZBC2 ambapo utaweza kuangalia mechi zote za AFCON 2017. ZBC 2 ni channel ambayo unaweza kuangalia mechi zote za AFCON...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Road to AFCON : Hii ni historia tarehe ya leo kwenye AFCON.

Najua unajipanga kuangalia historia mpya itakayoandikwa kwenye michuano ya AFCON ndani ya Gabon. Naomba nikukumbushe kwa gharama nzuri ambayo mtanzania wa kawaida anaimudu kuangalia michuano hii ni...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>