Quantcast
Channel: ShaffihDauda
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CAF Yatoa Maamuzi Ya Uchaguzi, Tenga Ndani.

Kamati Kuu ya Utendaji ya CAF ilikutana Alhamisi, 12 January 2017 katika mji mkuu wa Gabon, Libreville. Baada ya maongezi na makubaliano yafuatayo yaliafikiwa.  1. Wagombea katika nafasi ya Urais wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

“KIJEBA” Wa Congo Aitwa Tena Na CAF. Ni Yule Aliyecheza Dhidi Ya Serengeti Boys.

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (CAF), limewapa  nafasi ya kujitetea ya mwisho kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Jamhuri ya Congo (FECOFOOT) wakitakiwa kumpeleka mchezaji wao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ripoti kutoka Gabon: Wananchi wagomea AFCON ikiwa yamebaki masaa machache.

Nikiwa hapa Gabon naona maandalizi ya AFCON yamekamilika kwenye ngazi zote hadi Rais wa hapa anahusika kwa kiasi kikubwa sana. Lakini baadhi ya wanaonchi wanagoma kuhusu uwezo wa Gabon kuweza kuandaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Simba, Yanga, asanteni kwa kuja Zanzibar

Hatimaye timu ya Azam imefanikiwa kutwaa ubingwa wa taji la Mapinduzi baada ya ushindi wa goli 1-0 kwenye mchezo wa fainali uliochezwa kwenye uwanja wa Amaan, Zanzibar. Bao safi la Himidi Mao akipasia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kuzifunga Simba na Yanga ni sawa na kukamata Kambale – Kocha Azam FC

Baada yashinda kuiongoza Azam kushinda ubingwa wa Mapinduzi Cup kwa kuifunga Simba 1-0 kwenye mechi ya fainali, kocha wa muda wa Azam FC Idd Cheche amesema, kuzifunga Simba na Yanga ni kama kumkamata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mayanja amekubali yaishe…

Kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja amekubaliana na matokeo ya kufungwa na Azam kwenye mechi ya fainali ya ya Mapinduzi Cup, amesema imekuwa kama bahati mbaya tu timu yake kupoteza mchezo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wachezaji walioshinda tuzo binafsi Mapinduzi Cup 2017

Mdau wa soka Raza Lee akikabidhi viatu na kombe dogo kwa Agrey Morris (Azam FC) ambaye alitangazwa kuwa man of the match wa mchezo wa fainali ya Mapinduzi Cup 2017 Baada ya mashindano ya Mapinduzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Omog amelivulia kofia goli la Himid Mao

Ule ‘muwa’ uliopigwa na Himid Mao kuiandikia bao Azam dakika ya 13 kipindi cha kwanza hakua wa mchezo-mchezo kabisa. Himid aliachia kombora kali ambalo golikipa wa Simba Daniel Agyey hakujua lilipita...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA4: Nyuso za Simba baada ya kupoteza fainali Mapinduzi Cup 2017

Hakuna timu inayopenda kupoteza mchezo hasa mechi ya fainali huku kombe likiwa limewekwa tayari kwa ajili ya bingwa. Hiki ndicho kimewatokea Simba usiku wa Ijumaa January 13 kwenye uwanja wa Amaan,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha 17 za Diamond na timu yake wakifanya rehearsal Gabon.

Leo ndio siku ambayo ufunguzi wa michuano ya AFCON unafanyika hapa Gabon. Michuano hii haituhusu kwenye mechi za soka kwasababu hatuna uwakilishi lakini bila shaka Diamond ataiwakilisha Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ripoti kutoka Gabon: Vikosi vya Congo na Zimbabwe vyagomea AFCON

Timu ya taifa ya DR CONGO wanatarajia kuwa na mchezo wao wa kwanza zidi ya Morocco siku ya Jumatatu.Lakini kumetokea hali ya sintofahamu katika kambi ya timu hiyo.Hali hiyo ya sintofahamu imekuja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pogba atengeneza historia mpya kwenye biashara ya soka.

Baada ya kuwasili toka Juventus ya Italia kwa dau la rekodi ya dunia,Paul Pogba anaonekana kama hajaletwa United kuleta tu mafanikio ya uwanjani bali pia ya nje ya uwanja.Kiwango chake uwanjani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ripoti za Gabon : Claude Le Roy AFCON 9 akiwa na timu 6

Najua sasa wakati umefika na macho yote yanaelekezwa kule Gabon ambako michuano ya mataifa ya Afrika inaenda kuanza,kuna rekodi nyingi na matukio mengi yakukumbukwa ikiwemo rekodi ya kocha wa timu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Costa hayupo kwenye mechi dhidi ya Leicester…ni upenyo au?

Diego Costa ni kati ya wachezaji waliokuwa wakorofi sana.Msimu huu baada ya kuja kwa kocha Antonio Conte alionekana kutulia,Costa inasemekana alikuwa kati ya wachezaji waliokuwa kwenye mgomo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutoka Gabon : Backstage interview na Diamond,Mohombi na manager Salam kabla...

Tupo huku tayari na sherehe za ufunguzi zimeshaanza, kila kitu kipo on point na wasanii wapo tayari kwa ajili ya kutumbuiza. Hii hapa ni video fupi ya kuonyesha jinsi wasanii walivyo tayari kwa ajili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hii ni full video ya show ya Diamond na Mohombi

Hatimaye tayari Diamond Platnumz amesha perform kwenye AFCON na ameweza kutumia vema bendera ambayo alikabidhiwa na Mh Nape NNauye. Hii ni video ya wimbo wa pamoja na Mohombi ambao ni soundtrack ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fairid Musa amefunga kwenye mechi yake ya kwanza Hispania

Kijana Farid Musa ameanza vyema maisha yake ya soka nchini Hispania baada ya kufanikiwa kuifungia magoli mawili timu yake ya Tenerife B wakati akicheza mechi yake ya kwanza tangu awasili kwenye klabu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Twite wa Yanga amesajiliwa timu moja na mchezaji wa Simba

Kiraka wa zamani wa Yanga Mbuyu Twite pamoja na kiungo wa zamani wa Azam FC Michael Balou wamesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya Fanja FC ya Oman. Wote wawili walikuwa wakicheza ligi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wachezaji hawa birthday zao zitawakuta ndani ya AFCON.

Michuano ya mataifa Africa maarufu kama Afcon imeanza jana,huku tukishudia Pierre Aubemeyang akiwa mchezaji wa kwanza kuweka mpira nyavuni.Katika mechi zilizochezwa jana tulishuhudia timu mwenyeji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFCON: Hii itakua hatari sana Senegal Vs Tunisia leo.

Moja kati ya mechi bora katika hatua hizi za makundi ni mechi kati ya Senegal Vs Tunisia ambayo inafanyika leo kwa kukutanisha timu mbili zenye talent kubwa. Tunisia inaongozwa na kocha Henri...

View Article
Browsing all 9000 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>