Tupo huku tayari na sherehe za ufunguzi zimeshaanza, kila kitu kipo on point na wasanii wapo tayari kwa ajili ya kutumbuiza. Hii hapa ni video fupi ya kuonyesha jinsi wasanii walivyo tayari kwa ajili ya show ya ufunguzi.
Usikose kumcheki Diamond kwenye jukwaa kupitia ZBC2, njia rahisi ya kuipata ni kupitia king’amuzi cha Azam Tv