Leo ndio siku ambayo ufunguzi wa michuano ya AFCON unafanyika hapa Gabon. Michuano hii haituhusu kwenye mechi za soka kwasababu hatuna uwakilishi lakini bila shaka Diamond ataiwakilisha Tanzania kwenye stage ya muziki kwenye huu uwanja.
Kabla ya show yenyewe Diamond na timu yake walipata nafasi ya kufanya mazoezi kabla ya show yenyewe. Pia waliweza kukutana na wasanii kama Davido na Akon pamoja na Rais wa Gabon.
Enjoy kuangalia picha hizi na ujiandae kuangalia mechi baadae kupitia ZBC 2.