Ligi kuu nchini England imeendelea leo kwa kushudia michezo kadhaa ikipigwa kwenye viwanja tofauti huku timu hizo zikiwania pointi tatu muhimu ili kujiweka sawa kwenye msimamo wa ligi hiyo ambayo inazidi kuchukua sura mpya kila kukicha.
Haya hap[a ni matokeo ya mechi zote zilizochezwa Jumamosi ya November 1