GIANLUIGI DONNARUMMA ANAWAKUMBUSHA AC MILAN WAPI WALIPOTOKA.
Mwanadamu husifiwa kwa vitu vingi sana katika maisha yake.Miongoni mwa sifa ambazo mwanadamu huweza kupewa ni kitendo cha kuwa na maamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Nasema hivyo kwa kumpongeza Kocha wa...
View ArticleUNAZO BILIONI 30 ZA MADAFU? MUONE JORDAN AKUACHIE MJENGO WAKE WA CHICAGO, NA...
jumba la kifahari la Michael Jordan Mjengo wa kifahari wa Michael Jordan wuliopo kwenye eneo la futi 56,000 za mraba sawa na mita 520 za mraba umekuwa ukiwekwa sokoni kwa kipinid cha takribani miaka...
View ArticleYANGA Vs KAGERA, SIMBA Vs MAJIMAJI, MTIBWA Vs MWADUI…KIVUMBI KINAENDELEA
NA Baraka Mbolembole, Dar es Salaam, Mabingwa watetezi wa ligi kuu Bara, Yanga SC watakuwa na nafasi ya kurejea kileleni mwa msimamo Jumamosi hii kama tu watafanikiwa kuishinda Kagera Sugar katika...
View ArticleDONALD NGOMA ANAWEZA KUVUNJA REKODI YA AMIS TAMBWE VPL?
NA Baraka Mbolermbole, Dar es Salaam Msimu wa 2013/14 mshambulizi raia wa Burundi, Amis Tambwe alifanikiwa kuvunja rekodi ya ufungaji katila ligi kuu Tanzania Bara kwa wachezaji raia wa kigeni....
View ArticleKAMATI YA MUDA YA ZFA YAPOKEA KWA MIKONO MIWILI BARUA YA CAF
Hussein Ali Ahmada mwenyekiti wa muda wa kamati inayosimamia soka la Zanzibar Na. Abubakar Kisandu Mwenyekiti wa kamati ya muda inayosimamia soka hapa visiwani Hussein Ali Ahmada amesema wanalishukuru...
View ArticleRATIBA YA MECHI ZOTE ZA VPL, EPL NA LA LIGA JUMAMOSI NA JUMAPILI HII
Ligi mbalimbali bado zinaendelea duniani, wapenda soka wanapenda kujua ratiba za gili mbalimbali hasa katika siku za mwisho wa wiki ili wapate kufuatilia baadhi ya michezo itakayopigwa kwa...
View ArticleEXCLUSIVE VIDEO INTERVIEW: “NIKIMALIZA SHULE NAKUJA KUWAONESHA KAZI KABLA YA...
Amir Maftah, mchezajin wa zamani wa Mtibwa Sugar, Yanga, Simba na timu ya taifa ya Tanzania Amir Maftah ni jina kubwa kwenye tasnia ya soka la Tanzania, ni mchezaji aliyewahi kucheza kwenye vilabu...
View ArticleSIHOFII KIBARUA CHANGU – JOSE MOURINHO
Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amesema huwa hakai na kufikiria kuhusu kibarua chake Stamford Bridge huku akiviambia vyombo vya habari kwamba vinajaribu kuweka presha kwake lakini havitaweza. Chelsea...
View ArticleCLEVELAND CAVS YAICHAPA MIAMI HEAT
James alifunga 29 pointi wakati Kwvin Love aliongeza 24 kwa 14 rebounds na Cavaliers Cleveland ikashinda mchezo wake wa kwanza wa nyumbani, 102-92. Dwyane Wade aliiongoza Miami akifunga point 25 huku...
View ArticleOKC CHUPUCHUPU, YAICHAPA ORLANDO MAGIC
Russell Westbrook na Kevin Durant wamefikisha mengi makubwa na yanayovutia ambayo mara nyingi yamekuwa mambo ya muhimu kwa klabu yao ya Oklahoma City Thunder katika NBA. Mojawapo ni kazi...
View ArticleCURRY AMFUNIKA HARDEN WARRIORS IKIIADHIBU ROCKETS
Curry alifunga pointi 25 na Golden State Warriors ikiwaadhibu 112-92 Houston Rockets. Hii ilikuwa mechi ambayo ilikuwa rejea au kumbukumbu ya fainali za mwaka jana za kanda ya magharibi amvazo...
View ArticleMATOKEO YOTE YA NBA TAREHE 30/10 HAYA HAPA
FINAL MIA 92 CLE 102 1 2 3 4 T 23 19 25 25 92 29 18 29 26 102 FINAL OKC 139 ORL 136 1 2 3 4 OT1 OT2 T 31 22 22 42 9 13 139 35 32 26 24 9 10 136 FINAL UTA 99 PHI 71 1 2 3 4 T 28 22 24 25 99 19 14 20 18...
View ArticleHALI YA LAMAR ODOM YAIMARIKA, KHLOE KARDASHIAN NA JAMES HARDEN KATIKA...
Lamar Odom Miujiza kutokea , na pengine Lamar Odom anapokea miujiza hiyo. Khali ya Lamar Odom imekuwa na unafuu ghafla hasa baada ya madaktari kuthibitisha kuwa hatohitaji tena kupandikizwa Figo kama...
View ArticleKLOPP HAONI KAMA MECHI YA LIVERPOOL VS CHELSEA NI KUBWA
Kocha wa Liverpool Mjerumani Jurgen Klopp amesema kwa mtazamo wake inachezwa mechi kati ya timu zilipo katika nafasi ya 9 na 15 kwenye msimamo wa ligi, hivyo kama ni ukubwa labda kihistoria. Chelsea...
View ArticleRooney anavyochangia kuidhoofisha Man United
Katika mchezo wa Manchester Derby wikiendi iliyopita, kuna wakati ndani ya kipindi cha kwanza mshambuliaji na nahodha wa Manchester United alipata mpira akiwa upande wa kushoto wa lango la City na...
View ArticleRonaldo ndani ya msimu wake bora zaidi na Madrid – hizi hapa rekodi zake
Katika msimu mpya wa soka barani ulaya Real Madrid wana rekodi ya kupiga mipira mingi zaidi langoni mwa wapinzani – mara 150 – na wamefunga magoli mengi (21) kuliko timu yoyote katika La Liga msimu...
View ArticleSIMBA YAFANYA BALAA UWANJA WA TAIFA…YAICHAKAZA MAJIMAJI YA SONGEA
Kocha wa Simba Dylan Kerr akishangilia na wachezaji wake Simba imetoa kipigo cha mbwa mwizi leo baada ya kuichapa timu ya Majimaji ya Songea ‘wanalizombe’ kwa goli 6-0 kwenye mchezo wa ligi kuu ya...
View ArticleAJIB APIGA HAT-TRICK YA PILI VPL
Ajib akibusu mpira wake aliokabidhiwa n a mwamuzi wa mchezo wa leo Alex Mahagi baada ya kupiga goli tatu Mshambuliaji kinda wa Simba Ibrahim Ajib amefanikiwa kufunga hat-trick wakati timu yake ikiibuka...
View ArticleMAMBO BADO YAENDELEA KUMDODEA MOURINHO
Jose Mourinho ameendelea kupata wakati mgumu tena katika kibarua chake mara baada ya kushuhudia timu yake ya Chelsea leo ikipokea kipigo kitakatifu cha mabao 3-1 kutoka kwa Majogoo wa Liverpool,...
View ArticleMATOKEO YA MECHI ZOTE ZA EPL JUMAMOSI NOVEMBER 1
Ligi kuu nchini England imeendelea leo kwa kushudia michezo kadhaa ikipigwa kwenye viwanja tofauti huku timu hizo zikiwania pointi tatu muhimu ili kujiweka sawa kwenye msimamo wa ligi hiyo ambayo...
View Article