MKWASA ATAJA KIKOSI CHA STARS KITAKACHOIVAA ALGERIA, AONGEZA WAPYA SITA…
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Charles Boniface Mkwasa akitangaza kikosi cha timu ya taifa Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Charles Boniface Mkwasa leo...
View ArticleNANI KUTWAA MVP KATIKA NBA? HUU NI UTABIRI WANGU NA WA WACHAMBUZI MBALIMBALI...
Na Nicasius N Agwanda (Nicasius Coutinho Suso) Kuelekea msimu mpya unaotarajiwa kuanza rasmi alfajiri ya kuamkia kesho, kumekuwa na tabiri tofauti kuhusiana na nani anaweza kuwa MVP au mchezaji mwenye...
View ArticleMANCHESTER UNITED WANAJIPANGA KUTOA OFA KWA MCHEZAJI HUYU WA BRAZIL
January inakaribi na club mbalimbali zina nafasi ya kufanya usajili ili kuimalisha vikosi vyao. Habari zilizotoka kwenye Gazzetta dello Sport la Italy, inasema kwamba Manchester wanajipanga kutoa ofa...
View ArticleJE, TUTANAKARIBIA KUONA KANISA LA KUMUABUDU KING ZLATAN IBRAHIMOVIC
Moja ya swali ambalo Zlatan aliwai kuulizwa kwenye PSG Tv lilikua ni kwamba anatamani kuwa na Super power za Character gani. Watu walitegemea jibu lingekua labda superman au spiderman lakini Zlatan...
View ArticleCRISTIANO RONALDO KUCHEZA TENA NA WAYNE ROONEY.
Wayne Rooney na CR7 ni marafiki wa karibu sana hadi sasa hivi licha ya kucheza club tofauti na kupitia mambo mengi kwenye mchezo wa soka. Sasa kuna uwezekano mkubwa ambapo Wayne Rooney na Cristiano...
View ArticleEXCLUSIVE INTERVIEW: SULEIMAN NDIKUMANA, “KUTOKA KULIPWA LAKI TATU SIMBA...
Suleiman Ndikumana (kulia) kizungumza na Shaffih Dauda (katikati) na Alex Lwambano (kushoto) wakati wa kipindi cha Sports Xtra ndani ya Clouds FM Jina la Suleiman Ndikumana si geni masikioni mwa...
View ArticleHEADLINE MPYA YA PEP GURDIOLA KUHUSU EPL
Mchambuzi makini wa soka na aliyekua mshambuliaji tegemezi wa Arsenal Thiery Henry amesema kwamba Pep Gurdiola atahamia EPL hivi karibuni tofauti na watu wanavyodhania. Kocha wa Bayern Munich kuna...
View ArticleMWADUI FC Vs YANGA…MECHI KALI YA MASTAA WAZAWA Vs MAPROO
Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Yanga SC watakuwa wageni wa Mwadui FC katika mchezo wa raundi ya 8 na 9 siku ya Jumatano hii katika uwanja wa...
View ArticleKERR AMEPEWA MECHI 2 SIMBA SC, STRAIKA WATAMUANGUSHA?
Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam Vipigo viwili katika mechi 7 za ligi kuu tayari zimewafanya viongozi wa klabu ya Simba SC kumpatia mechi mbili kocha wao raia wa Malta, Dylan Kerr kabla ya kufikia...
View ArticlePICHA: MKWASA, MOROCCO, WAISHUHUDIA AZAM IKITOA DOZI
Kocha mkuu Charles Boniface Mkwasa (kulia) akiwa na kocha msaidizi Hemed Morocco (kushoto) akifatilia kwa karibu mchezo kati ya Azam vs JKT Ruvu Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Charles Boniface...
View Article‘HIVI NDIVYO VPL INAVYOKUWA NA USHINDANI UDHAIFU’
Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam ‘Dakika 90 ni kama vita ndani ya uwanja, vita ya wachezaji 22 kila mmoja akitaka kuhakikisha timu yake inapata ushindi. Lakini baada ya michezo 135 kuchezwa na...
View ArticleMKALI WA ARSENAL KANU NWANKWO KUSAMBAZA STARTIMES AFRICA NZIMA
Star wa soka ambae alifanya vizuri sana akiwa na club ya Arsenal kwenye EPL na baadae kwenye club nyingine amekua balozi wa Startimes kwa bara Africa kuanzia October 29 hadi miaka 3 ijayo. Startimes...
View ArticleSCHOLES AMTETEA ROONEY, APIGA DONGO STAILI YA VAN GAAL
Kiungo wa zamani wa Manchester United na England, Paul Scholes amemtetea nahodha wa Manchester United Wayne Rooney na kudai kuwa ni vigumu kwa straika yeyote yule kufunga kwa mfumo na staili ya Van...
View ArticleORODHA YA MA-STAR SABA WA SOKA DUNIANI WANAOFANANA NA WATU WENGINE
Watafiti wa mambo wanasemakuwa, kila mtu anafanana na mtu mwingine duniani bila kujalisha ni mahali gani. Sasa umejua juu ya hilo, unadhani wewe unafanana na nani? Hawa ni wachezaji saba ambao...
View ArticleVIDEO : SAFARI YA TP MAZEMBE KWENYE NDEGE BINAFSI KUELEKEA ALGERIA
TP Mazembe hivi sasa ipo Marrakech Algeria tayari kwa ajili ya first leg ya fainali ya mechi ya club bingwa Africa. Club ya Mazembe ilisafiri kwenye ndege binafsi wakiweko nyota wa Tanznaia Mbwana...
View ArticleXAVI AMTABIRIA MAKUBWA JACK WILSHERE
Mkongwe wa Barcelona Xavi Hernandez, anaamini kuwa Jack Wilshere ni moja kati ya wachezaji wa Arsenal na Uingereza wenye ubora wa hali ya juu sana pale tu anapokuwa fiti bila ya kusumbuliwa na...
View ArticleMAADUI MARK CUBAN NA DEANDRE WAKUTANA, CLIPPERS IKIMUUA MAVERICKS
Ulikuwa usiku wa kufurahisha kutokana na mahasimu wa ghafla kukutana sehemu moja. Wakati wa maandalizi ya msimu mpya mmiliki wa klabu ya Dalls Mavericks Mark Cuban aliamini kuwa ameshapata saini ya...
View ArticleKNICKS WAANGUKIA PUA KWA MWEWE WA ATLANTA
Walau sasa Atlanta Hawks unaweza kuwaita mwewe hawa walipata ushindi wao wa kwanza baada ya kupoteza mchezo wa awali na hatimaye tulishuhudia ile njaa ya msimu uliomalizika na fomu iliyowafanya...
View ArticleHili ndio dau walilotoa kampuni ya kichina kuinunua Man United
Kama ulikuwa unahitaji uthibitisho mwingine juu ya ukubwa wa ligi kuu ya England na klabu ya Manchester United katika ulimwengu wa soka basi story hii itakupa picha halisi. Kuna taarifa kutoka...
View ArticleMEMPHIS GRIZZLIES YAFANYA KWELI MBELE YA INDIANA PACERS
Baada ya kuangukia pua vibaya mbele ya Cleveland Cavaliers katika mechi yake ya ufunguzi, timu ambayo siku zote imekuwa ngumu na bora sana, Memphis Grizzlies usiku wa leo imepata ushindi mbele ya...
View Article